Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Hahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha
JIbu la Lissu ni murua kabisaLong live TAL:
View attachment 3196790
Huu ni mwendelezo wa mada zikiongelewa humu kwa muda mrefu:
Pia soma: Tuzitambue tofauti za vyama vya upinzani (ACT, CHADEMA, CUF, nk) na Wanaharakati
Pia soma: Ukombozi dhidi ya CCM utapatikana na wanaharakati sio na wanasiasa
Mungu ametupa zawadi Pekee ya Tunfu Lissu
Huyo msema kweli akiguswa kwenye ukweli mbona manpanic!!Wewe una akili kweli..?
Kwani mafao ya ubunge (kama alipewa kweli) ni hongo? Ni rushwa?
Wewe kichwa chako ni EMPTY SET bila shaka...?
Unataka kuwadhalilisha walimu wetu?
Wewe ulishawapelekea hao unaowaita "Walimu" shilingi ngapi..?
Argument yako ni kama mtoto wa darasa la pili vile...
Huyo msema kweli akiguswa kwenye ukweli mbona manpanic!!
Nimekuuliza maswali..Huyo msema kweli akiguswa kwenye ukweli mbona manpanic!!
Wanaharakati walio wengi Wana fadhiliwa na watu wa Nje wenye Nia ya kuendelea kututawala , wao wanalipwa rushwa kubwa kuuza utu wao na kutusaliti sisi wenzao!!mwendelezo wa mada zikiongelewa humu kwa muda mrefu
Sasa hivi hutawaliwi na hao watu wa nnje uwasemao!!??Wanaharakati walio wengi Wana fadhiliwa na watu wa Nje wenye Nia ya kuendelea kututawala , wao wanalipwa rushwa kubwa kuuza utu wao na kutusaliti sisi wenzao!!
ona yeye kuchukua ml 200 kwa miaka mitano wakati mwalimu ndani ya miaka 30 anapata ml 70 ndio utetezi kwa ninj asitetee hao waalimu!!.Sasa niambie akili unayoitaka ni ipi!!Turaore amepindua nchi akabaki na mshahara wake wa jeshi hataki mshahara wa rais.Elewa haki ni matendo sio manenoNimekuuliza maswali..
Jibu swali la "una akili kweli?" Ili u - prove kuwa una akili...
Pia Jibu na hili: Mafao ya ubunge wanayopata Wabunge ni hongo au rushwa kwani...?
Si ndivyo ulivyosema Mr Usoka ??
Wanaharakati walio wengi Wana fadhiliwa na watu wa Nje wenye Nia ya kuendelea kututawala , wao wanalipwa rushwa kubwa kuuza utu wao na kutusaliti sisi wenzao!!