Lissu: Wanaharakati wanastahili maua yao. Wanasiasa ni watu waongo waongo, waswahili waswahili, rushwa rushwa - wanakula!

Lissu: Wanaharakati wanastahili maua yao. Wanasiasa ni watu waongo waongo, waswahili waswahili, rushwa rushwa - wanakula!

Ggy4VqEWcAEdkcH.jpeg
 
Wewe una akili kweli..?

Kwani mafao ya ubunge (kama alipewa kweli) ni hongo? Ni rushwa?

Wewe kichwa chako ni EMPTY SET bila shaka...?

Unataka kuwadhalilisha walimu wetu?

Wewe ulishawapelekea hao unaowaita "Walimu" shilingi ngapi..?

Argument yako ni kama mtoto wa darasa la pili vile...
Huyo msema kweli akiguswa kwenye ukweli mbona manpanic!!
 
mwendelezo wa mada zikiongelewa humu kwa muda mrefu
Wanaharakati walio wengi Wana fadhiliwa na watu wa Nje wenye Nia ya kuendelea kututawala , wao wanalipwa rushwa kubwa kuuza utu wao na kutusaliti sisi wenzao!!
 
Wanaharakati walio wengi Wana fadhiliwa na watu wa Nje wenye Nia ya kuendelea kututawala , wao wanalipwa rushwa kubwa kuuza utu wao na kutusaliti sisi wenzao!!
Sasa hivi hutawaliwi na hao watu wa nnje uwasemao!!??
 
We una
Nimekuuliza maswali..

Jibu swali la "una akili kweli?" Ili u - prove kuwa una akili...

Pia Jibu na hili: Mafao ya ubunge wanayopata Wabunge ni hongo au rushwa kwani...?

Si ndivyo ulivyosema Mr Usoka ??
ona yeye kuchukua ml 200 kwa miaka mitano wakati mwalimu ndani ya miaka 30 anapata ml 70 ndio utetezi kwa ninj asitetee hao waalimu!!.Sasa niambie akili unayoitaka ni ipi!!Turaore amepindua nchi akabaki na mshahara wake wa jeshi hataki mshahara wa rais.Elewa haki ni matendo sio maneno
 
Wanaharakati walio wengi Wana fadhiliwa na watu wa Nje wenye Nia ya kuendelea kututawala , wao wanalipwa rushwa kubwa kuuza utu wao na kutusaliti sisi wenzao!!

Kuliko hawa?

Gf8b-vhawAEan-I.jpeg

Hoja yako inanuka u CCM mwanzo Mwisho!
 
Back
Top Bottom