Lissu yuko wapi?

Lissu yuko wapi?

Stayfar

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2016
Posts
1,088
Reaction score
2,287
Mimi ni mfuasi wa upinzani, sijui Lissu yupo wapi? Nilimsikia na kumuona alipotoka Belgium na kufanya mkutano wa hadhara hapa Dar. Baada ya hapo hajasikika tena.

Nimekuja hapa JF kwa kujua nitapata majibu alipo Lissu, tafadhali naomba kujua.
 
Mimi ni mfuasi wa upinzani,Sijui Lissu yupo wapi.Nilimsikia nakumuona alipotoka Belgium nakufanya mkutano wa hadhara hapa Dar,baada ya hapo hajasikika tena.Nimekuja hapa JF kwa kujua nitapata majibu alipo mheshimiwa Lissu,Tafadhali naomba kujua
Amerudi Ubelgiji kumuona daktari wake
 
Inakusaidia nini kumfuatilia mwanaume mwenzako,hachana naye pambana na hali yako,kama ambavyo Lisu anapambana na hali yake.
 
Ubishi ubishi wake usio na mana ,anatuudhi Sana tunapenda kumsikiliza na kufatilia utumishi wake

Dr wake alisema atapona na hatakimbia ,ameenda kwao singida anaanza kudua kudua na kukimbia Bora kipi
 
Mimi ni mfuasi wa upinzani, sijui Lissu yupo wapi? Nilimsikia na kumuona alipotoka Belgium na kufanya mkutano wa hadhara hapa Dar. Baada ya hapo hajasikika tena.

Nimekuja hapa JF kwa kujua nitapata majibu alipo Lissu, tafadhali naomba kujua.
Yupo kwa mjomba ako
 
Ulimsikia Dar ila Ikungi hukumsikia?
 
Atakuwa kivutio wakati Mbowe akiwahutubia Wananchi.....
12/4 Kilwa kaskazini na Kilwa kusini

Nilishasahau, tunaanza kumuona na kumsikia kuanzia kesho.
 
Back
Top Bottom