Almendezz
Senior Member
- Aug 17, 2020
- 160
- 405
Salaam.
Wapenzi wa manukato nimewaandalia list ya Perfume maarufu (na zenye bei mbaya) na clones zake zinazofanana kwa asilimia 60 mpaka 90.
Unaweza kuwa ni mpenzi wa perfume fulani lakini hali ya kifedha ikawa hairuhusu hivyo unaweza kupata clone au wenyewe wanaita dupes ambazo zinakuwa bei rahisi.
Baadhi ya hizi clone performance zake zinakuwa chini kidogo na kuna nyingine performance zake zinazidi hata OG yenyewe.
Mathalan creed aventus (bei yake est 700,000) ina clones karibia 5 lakini best ambazo zinaizidi hata creed yenyewe ni Club de Nuit intense man (bei estimation 85,000) na Club de Nuit intense man limited edition parfum ( bei estimation inakaribia 150,000).
Perfumes zipo nyingi sana so inawezekana unayoipenda haipo kwenye list, basi kuwa huru kuuliza. na nitaendelea ku update hii list kadri nitavyoweza.
Ushauri, recommendations, maoni na maswali yanakaribishwa.