List Expensive Perfumes na clones zake kwa wenye vipato vya chini

Almendezz

Senior Member
Joined
Aug 17, 2020
Posts
160
Reaction score
405
Salaam.
Wapenzi wa manukato nimewaandalia list ya Perfume maarufu (na zenye bei mbaya) na clones zake zinazofanana kwa asilimia 60 mpaka 90.

Unaweza kuwa ni mpenzi wa perfume fulani lakini hali ya kifedha ikawa hairuhusu hivyo unaweza kupata clone au wenyewe wanaita dupes ambazo zinakuwa bei rahisi.

Baadhi ya hizi clone performance zake zinakuwa chini kidogo na kuna nyingine performance zake zinazidi hata OG yenyewe.

Mathalan creed aventus (bei yake est 700,000) ina clones karibia 5 lakini best ambazo zinaizidi hata creed yenyewe ni Club de Nuit intense man (bei estimation 85,000) na Club de Nuit intense man limited edition parfum ( bei estimation inakaribia 150,000).

Perfumes zipo nyingi sana so inawezekana unayoipenda haipo kwenye list, basi kuwa huru kuuliza. na nitaendelea ku update hii list kadri nitavyoweza.

Ushauri, recommendations, maoni na maswali yanakaribishwa.
 
Attachments

Diable bleu?
 
Low budget kunukia
9f8bc8c9-8a22-40d0-b400-fe71323bd7cc.jpeg
 
Hii nimechemka kamanda. labda ucheki kwenye list ya "duabrand" ni ya marekani. wana clone nyingi sana na best quality kuliko za syria
Nishauro perfume ya kutumia as a gentleman, isiyozidi 250,000 lakinj iwe quality ikiwezekana genuine... Mi hua natumia zaidi One Million ila nataka kubadili sasa
 
Back
Top Bottom