List Expensive Perfumes na clones zake kwa wenye vipato vya chini

Hii nadhani ni ya Creation Lamis. na bei yake sidhani kama inazidi 20k. ukitafuta clone yake unaweza kupewa maji matupu. Perfumes za bei affordable mara nyingi huwa hazina clone.
Nina miaka takribani 8 hivi sijatumia pafyumu ila mpaka naachana na masuala ya unyunyu iyo ndo pafyumu niliyokua naitumia bei yake ilikua 15k so nikawa nafikiri iyo ndio clone yake kwa maana iyo origino ni bei kubwa zaidi
 
Yah upo sahihi. Hiyo unaweza ifananisha harufu na A* men (Angel men) ya Thierry Mugler.
 
Club de Nuit urban elixir. Unaweza kupata kuanzia 80k mpaka 130k. Office yetu itakuwa tayari baada ya miezi 3. Sasa hivi tupo kwenye negotiations ya kupewa udistributor. So tegemea bei za chini zabisa kutoka kwetu hapo baadae Inshaallah
Club de nuit zimefika 80k? Wanazichakachua sana zile toleo la mwanzo zilikuwa supa sana. Feki za kutosha.

Hiyo Amber & Leather naweza kuipata wapi na bei ipoje.
 
Salaam.
Wapenzi wa manukato nimewaandalia list ya Perfume maarufu (na zenye bei mbaya) na clones zake zinazofanana kwa asilimia 60 mpaka 90.

Unaweza kuwa ni mpenzi wa perfume fulani lakini
Salaam.
Wapenzi wa manukato nimewaandalia list ya Perfume maarufu (na zenye bei mbaya) na clones zake zinazofanana kwa asilimia 60 mpaka 90.

Unaweza kuwa ni mpenzi wa perfume fulani lakini hali ya kifedha ikawa hairuhusu hivyo unaweza kupata clone au wenyewe wanaita dupes ambazo zinakuwa bei rahisi.

Baadhi ya hizi clone performance zake zinakuwa chini kidogo na kuna nyingine performance zake zinazidi hata OG yenyewe.

Mathalan creed aventus (bei yake est 700,000) ina clones karibia 5 lakini best ambazo zinaizidi hata creed yenyewe ni Club de Nuit intense man (bei estimation 85,000) na Club de Nuit intense man limited edition parfum ( bei estimation inakaribia 150,000).

Perfumes zipo nyingi sana so inawezekana unayoipenda haipo kwenye list, basi kuwa huru kuuliza. na nitaendelea ku update hii list kadri nitavyoweza.

Ushauri, recommendations, maoni na maswali yanakaribishwa.
Asante kwa uzi huu
 
Naomba ufafanuzi kuhusu hizi perfume za kupima ambazo zina majina ya brand names kama Tomford nk. Zinapimwa kwa ujazo tofauti na bei zake ni ndogo sana ukilinganisha na zile zinazokuja zikiwa zimefungwa na wenye brand zao. Kwa utafiti mdogo nilifanya kuhusu bei ya hizi za kupima haizidi elfu 60. Wakati perfume zenye brand names bei inafika hadi sh. Mil.1. Tofauti ya bei ni kubwa sana.
Sasa je, hizi oil perfume inawezekana nazo ni fake? Au zile Original zina vitu vingine vya ziada tofauti na hizi za kupima ambazo tunaambiwa oil inakuwa concentrated. Wanakupimia ujazo unaohitaji na wanaongeza na Ethanol basi biashara inakuwa imekwisha.
Cc. Almendezz na wengine wenye ujuzi na haya mambo.
 
Sasa mbona copy ndio zimechangamka kuliko OG
 
Nimeamua nikuwekee kama ulivyo kaka.

The quality of perfume oils, especially those sold in bulk or as alternatives to original brand perfumes, can vary significantly. Here's a detailed comparison to help you understand the differences:

---

### 1. Composition and Ingredients
- Original Brand Perfumes:
- These are carefully crafted by professional perfumers and often contain a blend of natural and synthetic ingredients.
- They are typically diluted in alcohol (ethanol) and may include fixatives, stabilizers, and other additives to enhance longevity and sillage (the trail of scent left behind).
- Perfume Oils:
- Perfume oils are usually more concentrated and may lack the alcohol base found in traditional perfumes.
- Some perfume oils are "dupes" or inspired by popular brand-name fragrances, aiming to replicate the scent but not the exact formulation.
- Quality can vary widely—some are made with high-quality ingredients, while others may use cheaper synthetics.

---

### 2. Scent Accuracy
- Original Brand Perfumes:
- The scent profile is precise and consistent, as it is developed by the brand's perfumers.
- Perfume Oils:
- Some perfume oils are excellent at replicating the scent of original brand perfumes, while others may smell slightly different due to variations in ingredient quality or blending techniques.
- "Dupes" or inspired oils may capture the essence of the original but often lack the complexity and depth of the brand-name fragrance.

---

### 3. Longevity and Projection
- Original Brand Perfumes:
- Designed to have balanced longevity and projection, with top, middle, and base notes that evolve over time.
- Perfume Oils:
- Perfume oils are often more concentrated, which can make them longer-lasting on the skin.
- However, they may not project as strongly as alcohol-based perfumes because they lack the alcohol that helps disperse the scent into the air.

---

### 4. Price and Value
- Original Brand Perfumes:
- Generally more expensive due to branding, packaging, and marketing costs.
- Perfume Oils:
- Typically more affordable, especially when purchased in bulk.
- However, the lower price may reflect differences in ingredient quality or production methods.

---

### 5. Quality Control
- Original Brand Perfumes:
- Subject to strict quality control and regulatory standards to ensure consistency and safety.
- Perfume Oils:
- Quality control can vary depending on the supplier. Some companies maintain high standards, while others may cut corners to reduce costs.

---

### 6. Skin Safety
- Original Brand Perfumes:
- Formulated to be safe for skin application, though some individuals may still experience sensitivities.
- Perfume Oils:
- Not all perfume oils are skin-safe. Some are intended for use in candles, diffusers, or other non-skin applications. Always check the product description and perform a patch test before use.

---

### 7. When Perfume Oils Can Match Original Brands
- Some niche or high-quality perfume oil manufacturers create products that are very close to original brand perfumes in terms of scent and quality. These are often marketed as "inspirations" or "dupes."
- Examples of reputable brands that sell high-quality perfume oils include:
- Universal Perfumes & Cosmetics
- Perfume Parlour
- Arabian Oud (known for their luxurious fragrance oils)

---

### Conclusion
While perfume oils can come close to replicating the scent of original brand perfumes, they are not always identical in quality, complexity, or performance. If you're looking for a budget-friendly alternative or a concentrated version of a popular fragrance, perfume oils can be a great option. However, for the exact experience of a brand-name perfume, the original product is usually the best choice.
 
Club de nuit zimefika 80k? Wanazichakachua sana zile toleo la mwanzo zilikuwa supa sana. Feki za kutosha.

Hiyo Amber & Leather naweza kuipata wapi na bei ipoje.
kama una jamaa au mshkaji ndani ya UAE ndio unaweza kupata kwa bei hizo kuanzia 70k- 80k.
Screenshot_20250307-044031~2.png
Screenshot_20250307-044105~2.png
Screenshot_20250307-044045~2.png
 
Asante sana ndugu. Nimekupata vema sana. Swali la nyongeza. Kuna tangazo nimeona huko Instagram. Mhusika anatangaza mauzo ya baadhi ya Perfume zenye brand names lakini zimeandikwa ni Tester na anauza kwa wastani wa sh. Elfu 70 hadi laki. Unaweza kutoa maelezo kidogo kuhusiana na hilo? Naweka baadhi ya picha kwa ajili ya urahisi wa rejea.
 
Attachments

  • IMG-20250305-WA0010.jpg
    IMG-20250305-WA0010.jpg
    43.6 KB · Views: 2
  • IMG-20250305-WA0072.jpg
    IMG-20250305-WA0072.jpg
    76.7 KB · Views: 1
  • IMG-20250305-WA0053.jpg
    IMG-20250305-WA0053.jpg
    167 KB · Views: 3
  • IMG-20250306-WA0040.jpg
    IMG-20250306-WA0040.jpg
    100.1 KB · Views: 2
  • IMG-20250307-WA0023.jpg
    IMG-20250307-WA0023.jpg
    80.6 KB · Views: 3
  • IMG-20250307-WA0016.jpg
    IMG-20250307-WA0016.jpg
    58.6 KB · Views: 2
  • IMG-20250307-WA0019.jpg
    IMG-20250307-WA0019.jpg
    83.6 KB · Views: 1
  • IMG-20250307-WA0021.jpg
    IMG-20250307-WA0021.jpg
    118 KB · Views: 2
Asante sana ndugu. Nimekupata vema sana. Swali la nyongeza. Kuna tangazo nimeona huko Instagram. Mhusika anatangaza mauzo ya baadhi ya Perfume zenye brand names lakini zimeandikwa ni Tester na anauza kwa wastani wa sh. Elfu 70 hadi laki. Unaweza kutoa maelezo kidogo kuhusiana na hilo? Naweka baadhi ya picha kwa ajili ya urahisi wa rejea.
Hapa wanamaanisha ni copy ya hizo brand..yaani zinafanana lakini hazina ubora kama ule original..
 
Asante sana ndugu. Nimekupata vema sana. Swali la nyongeza. Kuna tangazo nimeona huko Instagram. Mhusika anatangaza mauzo ya baadhi ya Perfume zenye brand names lakini zimeandikwa ni Tester na anauza kwa wastani wa sh. Elfu 70 hadi laki. Unaweza kutoa maelezo kidogo kuhusiana na hilo? Naweka baadhi ya picha kwa ajili ya urahisi wa rejea.
tester kama tester original jibu ni Ndiyo. Ni manukato sawa sawa. Tofauti zozote za harufu zinaweza kuhusiana na chupa kuwa exposed kwenye mwanga kwa muda mrefu kuliko zile zilizo kwenye package yake original. Ila sasa kuna wahuni wanakwambia ni tester kumbe sio tester bali ni copy au fake. Ukipata duka unaloliamini na ukakuta wana tester basi jua harufu ni the same na Og. Pale kwenye packaging ndo panapofanya bei iende juu zaidi
 
Asante sana ndugu. Nimekupata vema sana. Swali la nyongeza. Kuna tangazo nimeona huko Instagram. Mhusika anatangaza mauzo ya baadhi ya Perfume zenye brand names lakini zimeandikwa ni Tester na anauza kwa wastani wa sh. Elfu 70 hadi laki. Unaweza kutoa maelezo kidogo kuhusiana na hilo? Naweka baadhi ya picha kwa ajili ya urahisi wa rejea.
Na pia testers kama testers lengo lake sio kuuzwa bali ni kama jina lake linavyomaanisha. Makusudio yake ni kutest kwa wateja kabla ya kununua Og ili kujua inanukiaje. Ndio maana huwa haziji kwenye package kwa sababu lengo ni kutumika pale pale dukani. Sasa ikitokea zimebaki tester kadhaa ndipo wenye maduka wanapoamua kuziuza maana wao wanapewa kwa bei ya chini sana na baadhi ya makampuni yanawapa bure kabisa. Ila kuwa makini na vijana wa hovyo, wasikuwekee copy halafu wakakwambia tester.
 
Back
Top Bottom