Hamna viwango huko Mbeya na Njombe. Watu mnaotoka kusini njanda za juu mnajua tu wakina Mwandulami kuna watu huko sumbawanga wanaweza hamisha mpaka mto maji yanapanda mlima, violation of gravitational law. Nyie cha mtoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Mimi nilitegemea kuiona Nigeria kwenye tatu bora.Napata wakati mgumu kuamini Romania wanaongoza duniani. Wana uchawi upi na kwa lipi? Halafu Nigeria ya 5?
Naomba ufafanuzi...
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu ndio inaongoza kwa umaskini na kiwango kidogo cha ufaulu
Jr[emoji769]
Haha watu wana wivu sana na makuhani. Washindwe na walegeeJamani sasa kama hiyo mikoa 10 imeizidi Mbeya na Njombe na yeye kataka kuweka top 10 tu?? Binadamu bana!!
Heaven Sent njoo uone jinsi binadamu walivyo na husuda na wivu juu yetu sisi makuhani tulioteuliwa na muumba
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kunatofauti kubwa kati ya uchawi na ushirikina.Halafu ndio inaongoza kwa umaskini na kiwango kidogo cha ufaulu
Jr[emoji769]
Na hayo ndio madhara ya kushinda kwa waganga wa kienyeji.Hii ni list ya mikoa kumi inayoongoza kwa uchawi Tanzania. Kama warning ukielekea huko kuwa na tahadhari.
1.Shinyanga
2. Rukwa
3. Kigoma
4. Mtwara
5. Tanga
6. Simiyu
7. Lindi
8. Tabora
9. Ruvuma
10. Katavi
Sent using Jamii Forums mobile app
Bagamoyo kule kuna wazee hatali plus kisarawe huko kote ni kugumu tu
Haha kule shinyanga na mwanza ukisafiri kwa njia ya basi utaona jinsi walivyo na waganga wengi. Yaani pembeni mwa barabara ukiona kijumba kidogo cha majani na jumba kubwa nasikia ni kwa waganga. Ni vingi utadhani ni vyoo. Hali hiyo inaashiria hali ya imani ya kichawi ilivyo kt, maeneo hayo.wachawi kwa wachawi lazima mjuane tu..maana ni ngumu kwa mimi nisiye mchawi kufanya utafiti kuhusu uchawi.
We kuwa na tahadhari usipende kujifanya nunda ukamtukana mtu au kumpiga au kumtishia just be cool. Unaweza kutana na watu wapole hata umtukane anakuchekea hapo uanza kulia tu.Ni tahadhari gani nitumie kuepukana na hayo makitu, nitembee na bastola yangu???
Kawadanganye wasiopajua TangaTanga Haimo
Mbeya hakuna ushirikina. Ni wafanyabiashara wachawi tu wanakuja Mbeya kupiga dili za kishirikinaUnaachaje Mbeya na Njombe?
ze farmer
Unaachaje Geita na Mwanza kwa mfano?Hii ni list ya mikoa kumi inayoongoza kwa uchawi Tanzania. Kama warning ukielekea huko kuwa na tahadhari.
1.Shinyanga
2. Rukwa
3. Kigoma
4. Mtwara
5. Tanga
6. Simiyu
7. Lindi
8. Tabora
9. Ruvuma
10. Katavi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16] nilikuwa nimeinua mikono juu kumshukuru Mungu baada ya kuona hatumoUnaachaje Mbeya na Njombe?
ze farmer