List mpya: Mikoa kumi (Bara) kinara kwa uchawi

List mpya: Mikoa kumi (Bara) kinara kwa uchawi

Basi na ndiyo maana hatupo kwa hiyo top 10 maana sie bado cha mtoto
Hamna viwango huko Mbeya na Njombe. Watu mnaotoka kusini njanda za juu mnajua tu wakina Mwandulami kuna watu huko sumbawanga wanaweza hamisha mpaka mto maji yanapanda mlima, violation of gravitational law. Nyie cha mtoto

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napata wakati mgumu kuamini Romania wanaongoza duniani. Wana uchawi upi na kwa lipi? Halafu Nigeria ya 5?
Naomba ufafanuzi...

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Mimi nilitegemea kuiona Nigeria kwenye tatu bora.
Halafu hizo nchi za wazungu ukiniambia zinaongoza kwa uchawi Mimi siamini.
Mbona hatuwaoni kupoteza muda kurogana na kurudishana nyuma kimaendeleo zaidi ya kuwaona wakisonga mbele.
Labda ukiniambia uchawi wao wanautumia kwenye sayansi zao za kubuni ndege na kwenye ujenzi wa miundombinu yao.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu ndio inaongoza kwa umaskini na kiwango kidogo cha ufaulu

Jr[emoji769]
Mkuu kunatofauti kubwa kati ya uchawi na ushirikina.
-Ushirikina unaweza kuonekana either kwa matendo au kwa maneno, mara nyingi ushirikina ni sehemu ya tamaduni za jamii fulani. Kama alimaanisha ushirikina ( kutokua na uhakika wa unachoandika kunafanya tafiti yote kuwa feki) nakubaliana nae, maana mikoa mingi aliyoitaja ni mikoa ambayo jamii bado zinasimamia tamaduni zao.

- Uchawi hauonekani ispokua kwa wachawi wenyewe, huyo jamaa kama anahakika hizo takwimu ni za kweli basi na yeye ni mchawi. Paka umri huu sijawahi kushuhudia uchawi sasa inawezekana vipi mtu kama mimi nitoe takwimu za uchawi.[emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni list ya mikoa kumi inayoongoza kwa uchawi Tanzania. Kama warning ukielekea huko kuwa na tahadhari.

1.Shinyanga
2. Rukwa
3. Kigoma
4. Mtwara
5. Tanga
6. Simiyu
7. Lindi
8. Tabora
9. Ruvuma
10. Katavi

Sent using Jamii Forums mobile app
Na hayo ndio madhara ya kushinda kwa waganga wa kienyeji.
 
wachawi kwa wachawi lazima mjuane tu..maana ni ngumu kwa mimi nisiye mchawi kufanya utafiti kuhusu uchawi.
Haha kule shinyanga na mwanza ukisafiri kwa njia ya basi utaona jinsi walivyo na waganga wengi. Yaani pembeni mwa barabara ukiona kijumba kidogo cha majani na jumba kubwa nasikia ni kwa waganga. Ni vingi utadhani ni vyoo. Hali hiyo inaashiria hali ya imani ya kichawi ilivyo kt, maeneo hayo.
 
Back
Top Bottom