Nina mashaka na list,haiwezekani SA anampita NigeriaZijue nchi 14zinazoongoza kwa uchawi duniani
14.Tanzania
13. Gambia
12. Nepal
11. India
10. Papua New Gambia
9. West india
8. Colombia
7. Ghana
6. DRC
5. Nigeria
4. S.A
3. Chile
2. Mexico
1. Romania
Sent using Jamii Forums mobile app
umerukia mada mkuu, nilikuwa nauluza Tanga hamo kumbe imo no 5 sasa kuuliza ndiyo kudanganya? hehehe pole soma vema elewa kabla ya kuandika comment! barikiwaKawadanganye wasiopajua Tanga
Nina mashaka na list,haiwezekani SA anampita Nigeria
Ndiyo nilichomaanisha,katika list ya mdau SA inaonekana kumpita Nigeria kitu ambacho hakiwezekani,Nigeria anakimbiza AfrikaKwahio mkuu unataka kusema S.A imeipita Nigeria, mkuu wanaigeria WACHAWI sana na wanajulikana Dunia nzima
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo nilichomaanisha,katika list ya mdau SA inaonekana kumpita Nigeria kitu ambacho hakiwezekani,Nigeria anakimbiza Afrika
Hii mbeya naona inapewa chapio sana na wadau, basi kwa sasa tunaipa heshima ya kuwa namba 11
Mkuu kama matambiko, mizimu, tiba nayo ni ushirikina basi Tanzania ni namba moja kwa ushirikina. Hizo huitwa imani za asili sio ushirikina. Hawa bwana zenu mnaowaabudu wazungu walivyoleta dini zao waliita zenu ni ushirikina na mpaka leo mkapoteza nuru na kuita asili yenu ushirikina. Uzi wangu ni uchawi kwa tafsiri pana yake ile unaweza kumtoa nyeti mtu, kumtumia mwenzio simba, kusuka radi n.k. Sasa mimi nimechimba mzizi kama dawa nimekunywa unaniita mshirikina mkuu tafadhali bana tuheshimiane.
kijana wangu huijui mbeya vizur wewHii mbeya naona inapewa chapio sana na wadau, basi kwa sasa tunaipa heshima ya kuwa namba 11
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda uchawi wenu wa punje na kuku tukijana wangu huijui mbeya vizur wew
Basi wewe sio mtu wa shy na kama uko shy basi wewe ni born town nenda huko vijijini ndo utaelewa. Kuna jamaa alienda kwa mganga wakakimbia kutokipa wakakimbiza gari lakini bada ya masaa 2 walikuta wamerudi pale pale mzee anawaambie nipeni changu vijana hahahTiba ya asili ina makundi mawili.
1. Sayansi (mf dawa za mitishamba)
2. Imani (mf kuvaa hirizi, kutoa kafara nk)
Ushirikina ni imani hivyo tiba ya asili ya kisayansi haiingii katika ushirikina sababu sayansi si imani, nafikiri umenielewa.
Pia kwa hiyo tafsiri yako ya uchawi unamaanisha kwamba watu wa shinyanga wanapigana radi, wanatoana nyeti, na wanageuzana simba??[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] kama kweli haya mambo mbona hatuyaoni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu ndio mikoa kipenzi kwa kile chamaHalafu ndio inaongoza kwa umaskini na kiwango kidogo cha ufaulu
Jr[emoji769]
Mbona hiyo list ni karibu nusu ya Tz, yaani karibu Tz yote ni washirikina?Hii ni list ya mikoa kumi inayoongoza kwa uchawi Tanzania. Kama warning ukielekea huko kuwa na tahadhari.
1.Shinyanga
2. Rukwa
3. Kigoma
4. Mtwara
5. Tanga
6. Simiyu
7. Lindi
8. Tabora
9. Ruvuma
10. Katavi
Sent using Jamii Forums mobile app