List mpya: Mikoa kumi (Bara) kinara kwa uchawi

List mpya: Mikoa kumi (Bara) kinara kwa uchawi

Kawadanganye wasiopajua Tanga
umerukia mada mkuu, nilikuwa nauluza Tanga hamo kumbe imo no 5 sasa kuuliza ndiyo kudanganya? hehehe pole soma vema elewa kabla ya kuandika comment! barikiwa
 
wazungu ndio wachawi namba moja ndio maana waliwaweza hadi machifu wakawafanya vijakazi wao

kitochi
 
Mkuu kama matambiko, mizimu, tiba nayo ni ushirikina basi Tanzania ni namba moja kwa ushirikina. Hizo huitwa imani za asili sio ushirikina. Hawa bwana zenu mnaowaabudu wazungu walivyoleta dini zao waliita zenu ni ushirikina na mpaka leo mkapoteza nuru na kuita asili yenu ushirikina. Uzi wangu ni uchawi kwa tafsiri pana yake ile unaweza kumtoa nyeti mtu, kumtumia mwenzio simba, kusuka radi n.k. Sasa mimi nimechimba mzizi kama dawa nimekunywa unaniita mshirikina mkuu tafadhali bana tuheshimiane.

Tiba ya asili ina makundi mawili.
1. Sayansi (mf dawa za mitishamba)
2. Imani (mf kuvaa hirizi, kutoa kafara nk)

Ushirikina ni imani hivyo tiba ya asili ya kisayansi haiingii katika ushirikina sababu sayansi si imani, nafikiri umenielewa.

Pia kwa hiyo tafsiri yako ya uchawi unamaanisha kwamba watu wa shinyanga wanapigana radi, wanatoana nyeti, na wanageuzana simba??[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] kama kweli haya mambo mbona hatuyaoni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi wewe sio mtu wa shy na kama uko shy basi wewe ni born town nenda huko vijijini ndo utaelewa. Kuna jamaa alienda kwa mganga wakakimbia kutokipa wakakimbiza gari lakini bada ya masaa 2 walikuta wamerudi pale pale mzee anawaambie nipeni changu vijana hahah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom