mkuu mbona povu jingi...kwanini unabishana na ukweli? computer science ni computer science tu! huwezi fananisha na biashara kwani hiyoni science na sio biashara! labda kama mnafanya kifishara zaidi mnaamua ulazimisha biashara kuwa science kwakuchakachua!
naukweliutabaki pale pale IFM ina mchango sana katika maendeleo ya nchi lakini hii ni taasisi kama taasisi nyingine mfano taasisi ya kuzuia rushwa,taasisi ya elimu tanzania na nyinginezo..
sina muda wa kubishana na wewe kaka jua ujuavyo na mimi nijue nijuavyo zaidi ya hayo sina mengine zaidi.
. Udom c Wanajiuza pale mabibo hostel!!
sina muda wa kubishana na wewe kaka jua ujuavyo na mimi nijue nijuavyo zaidi ya hayo sina mengine zaidi.
na hicho ndicho tunataka...lakin taasisihizi uzisemeazo zimechangia lipi?? embu cheki TRA hawa watu wanaosoma kwenye taasisi hizi tuzijuazo wanachangia nini zaidi ya wizi na kutunyonya sisi wananchi wa chini kwa kutuwekea kodi juu!!! je haya ndo maendeleo uyasemeayo??? naiman una uwezo wa kufikiri zaidi ya hapo,embu ongeza juhudi kidogo mkuu!!!!Mchango wa taasisi siku zote ni zaidi ya Universities
mh!! odom mpaka mabibo??? kufanya nini??Kwahiyo huwa wanatoka Dodoma kuja mpaka Dar Mabibo Hostel au wana branch Dar siku hizi
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na moja ya NGO inayojihusisha na masuala ya utafiti wa masuala ya elimu,yenye makao yake makuu mjini arusha- tanzania..matokeo ya uchunguzi wao yamebaini kwamba,ingawa tanzania ina utitiri wa vyuo vikuu lakin ni 6 tu ndo vyenye kutoa degree zenye kukubalika ndani na nje ya nchi..list yenyewe ni hii
1}UDSM
2}SUA
3}Muhimbili
4}mzumbe
5}ardhi
6}ifm
Nadhani hujui usemacho, umebaki na mawazo ya kihafidhina tu.
Nijuavyo, chuo chochote kina
popata Ithibati ya NACTE hadhi sawa na vyuo ulivyovitaja.
sijaelewa hapa...ina maana comptuter science na IT ya IFM unazisemeaje?? maana unasema wanabase kwenye biashara!!! embu nieleweshe tafadhali...
embu tulia! unajua maana ya NACTE? unavyosema haiusiani na vyuo vikuu unamaana gani? st joseph unaijua? je ni chuo? Mbeya university of science and techn inaitwaje? ni chuo au? na kama ni vyuo kwa nini viwe chini ya NACTE? embu ongeza juhudi kidogo ya kufikiria...ili tuendelee!!nafikiri wewe ndo umepotea kabisaaaaaaaa...NACTE hawahusina na vyuo vikuu,may be ungesema TCU sawa.NACTE wanahusiana na elimy ya ufundi,na hata kama vyoo vinathibitishwa na mamlaka moja lkn ukweli unabaki pale pale,kuna vyuo ni bora kuliko vingine
na hicho ndicho tunataka...lakin taasisihizi uzisemeazo zimechangia lipi?? embu cheki TRA hawa watu wanaosoma kwenye taasisi hizi tuzijuazo wanachangia nini zaidi ya wizi na kutunyonya sisi wananchi wa chini kwa kutuwekea kodi juu!!! je haya ndo maendeleo uyasemeayo??? naiman una uwezo wa kufikiri zaidi ya hapo,embu ongeza juhudi kidogo mkuu!!!!
sasa kama unafundishwa kufanya kazi uwapo kazini ina maana gani kusomea miaka mitatu tena kwa shida nyingi alafu leo unakuja kazini unasema unatekeleza policies?? ivi hawajui ethics za kazi zao?? na kama hawajui utanishawishi vipi niamini kwamba wana mchango kwenye maendeleo ya nchi yetu! mkuu una mawazo mazuri sana ila kwa hili kamwe sintoweza amini!!!!mkuu wao ni watekelezaji wa policies zilizowekwa! They just call, a spade, spade and NOT a big spoon! Policy makers ni wabunge mkuu
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na moja ya NGO inayojihusisha na masuala ya utafiti wa masuala ya elimu,yenye makao yake makuu mjini arusha- tanzania..matokeo ya uchunguzi wao yamebaini kwamba,ingawa tanzania ina utitiri wa vyuo vikuu lakin ni 6 tu ndo vyenye kutoa degree zenye kukubalika ndani na nje ya nchi..list yenyewe ni hii
1}UDSM
2}SUA
3}Muhimbili
4}mzumbe
5}ardhi
6}ifm