List of prestige universities in tanzania.

List of prestige universities in tanzania.

Status
Not open for further replies.
mkuu mbona povu jingi...kwanini unabishana na ukweli? computer science ni computer science tu! huwezi fananisha na biashara kwani hiyoni science na sio biashara! labda kama mnafanya kifishara zaidi mnaamua ulazimisha biashara kuwa science kwakuchakachua!
naukweliutabaki pale pale IFM ina mchango sana katika maendeleo ya nchi lakini hii ni taasisi kama taasisi nyingine mfano taasisi ya kuzuia rushwa,taasisi ya elimu tanzania na nyinginezo..

sina muda wa kubishana na wewe kaka jua ujuavyo na mimi nijue nijuavyo zaidi ya hayo sina mengine zaidi.
 
sina muda wa kubishana na wewe kaka jua ujuavyo na mimi nijue nijuavyo zaidi ya hayo sina mengine zaidi.

mkuu jukwaa la elimu hili, asiyependa kujifunza basi atakuwa funza!
 
Mchango wa taasisi siku zote ni zaidi ya Universities
na hicho ndicho tunataka...lakin taasisihizi uzisemeazo zimechangia lipi?? embu cheki TRA hawa watu wanaosoma kwenye taasisi hizi tuzijuazo wanachangia nini zaidi ya wizi na kutunyonya sisi wananchi wa chini kwa kutuwekea kodi juu!!! je haya ndo maendeleo uyasemeayo??? naiman una uwezo wa kufikiri zaidi ya hapo,embu ongeza juhudi kidogo mkuu!!!!
 
mh!! odom mpaka mabibo??? kufanya nini??

quote_icon.png
By Jawason jawa
. Udom c Wanajiuza pale mabibo hostel!!

KUNA MDAU ALITOA HIYO HAPO JUU NDIO NIKAULIZA MKUU SEMA SIKUWEKA HII KITU (?)
 
Ile dhambi ya Ubaguzi aliyosema mwalimu kuwa haiishi. mtabaguana weeeee kwa kabila, dini usomi n.k mwisho chuo, masomo na hata mwaka wa kumaliza masomo. tutoe maoni namna ya kuboresha vyuo vyetu maana kama ni dhaifu tujue vinato wasomi ambao wanatuhudumia, kama wahasibu, mameneja, mainjinia, walimu n.k
 
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na moja ya NGO inayojihusisha na masuala ya utafiti wa masuala ya elimu,yenye makao yake makuu mjini arusha- tanzania..matokeo ya uchunguzi wao yamebaini kwamba,ingawa tanzania ina utitiri wa vyuo vikuu lakin ni 6 tu ndo vyenye kutoa degree zenye kukubalika ndani na nje ya nchi..list yenyewe ni hii
1}UDSM
2}SUA
3}Muhimbili
4}mzumbe
5}ardhi
6}ifm

hao majamaa zko kweli makenge maji!!wanaweka ifm,then wameacha udom!
 
Nadhani hujui usemacho, umebaki na mawazo ya kihafidhina tu.
Nijuavyo, chuo chochote kina
popata Ithibati ya NACTE hadhi sawa na vyuo ulivyovitaja.

nafikiri wewe ndo umepotea kabisaaaaaaaa...NACTE hawahusina na vyuo vikuu,may be ungesema TCU sawa.NACTE wanahusiana na elimy ya ufundi,na hata kama vyoo vinathibitishwa na mamlaka moja lkn ukweli unabaki pale pale,kuna vyuo ni bora kuliko vingine
 
sijaelewa hapa...ina maana comptuter science na IT ya IFM unazisemeaje?? maana unasema wanabase kwenye biashara!!! embu nieleweshe tafadhali...

wewe jamaa kweli mbishi!!hyo IT imekuja hata miaka mi5 bdo. Mambo yakuvamia kozi imekuwa kama fasheni kwa vyuo vya bongo.Na ukitaka kuamini kama kile ni chuo cha finance and management,nenda kafuatilie hyo IT inavyofundisha,na kiwango cha elimu cha hao walimu!
 
nafikiri wewe ndo umepotea kabisaaaaaaaa...NACTE hawahusina na vyuo vikuu,may be ungesema TCU sawa.NACTE wanahusiana na elimy ya ufundi,na hata kama vyoo vinathibitishwa na mamlaka moja lkn ukweli unabaki pale pale,kuna vyuo ni bora kuliko vingine
embu tulia! unajua maana ya NACTE? unavyosema haiusiani na vyuo vikuu unamaana gani? st joseph unaijua? je ni chuo? Mbeya university of science and techn inaitwaje? ni chuo au? na kama ni vyuo kwa nini viwe chini ya NACTE? embu ongeza juhudi kidogo ya kufikiria...ili tuendelee!!
 
na hicho ndicho tunataka...lakin taasisihizi uzisemeazo zimechangia lipi?? embu cheki TRA hawa watu wanaosoma kwenye taasisi hizi tuzijuazo wanachangia nini zaidi ya wizi na kutunyonya sisi wananchi wa chini kwa kutuwekea kodi juu!!! je haya ndo maendeleo uyasemeayo??? naiman una uwezo wa kufikiri zaidi ya hapo,embu ongeza juhudi kidogo mkuu!!!!

mkuu wao ni watekelezaji wa policies zilizowekwa! They just call, a spade, spade and NOT a big spoon! Policy makers ni wabunge mkuu
 
mkuu wao ni watekelezaji wa policies zilizowekwa! They just call, a spade, spade and NOT a big spoon! Policy makers ni wabunge mkuu
sasa kama unafundishwa kufanya kazi uwapo kazini ina maana gani kusomea miaka mitatu tena kwa shida nyingi alafu leo unakuja kazini unasema unatekeleza policies?? ivi hawajui ethics za kazi zao?? na kama hawajui utanishawishi vipi niamini kwamba wana mchango kwenye maendeleo ya nchi yetu! mkuu una mawazo mazuri sana ila kwa hili kamwe sintoweza amini!!!!
 
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na moja ya NGO inayojihusisha na masuala ya utafiti wa masuala ya elimu,yenye makao yake makuu mjini arusha- tanzania..matokeo ya uchunguzi wao yamebaini kwamba,ingawa tanzania ina utitiri wa vyuo vikuu lakin ni 6 tu ndo vyenye kutoa degree zenye kukubalika ndani na nje ya nchi..list yenyewe ni hii
1}UDSM
2}SUA
3}Muhimbili
4}mzumbe
5}ardhi
6}ifm

Moderators tafadhali, Jamii Forum itaonekana ya kihuni, mtu anajisikia anaweka post haina kichwa wala miguu,mfano hii post ya huyu jamaa kwa nini iendelee kuwepo wakati haina hata source?Tafadhali sana ondoeni huu uchafu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom