List of Rostam and Akram Aziz companies & Mohamed Enterprises



Umesahau kuna wakina SHY ambao wako migingoni kwa mafisadi wakiwatetea kutokana na kuendekeza NJAA ZAO bila kujali maslahi ya nchi.
 
I would love to have all his company memorandums posted here tuone section ya Directors, Shareholders and Banking Details. Mafisadi waliokubuhu never leave behind their finger prints!!!!

Unaambiwa hata ile pesa ya Kagoda ilipelekwa ofisini kwa Rostam na ikapokelewa bila yeye kuwepo na baada ya muda tu mara waliopeleka pesa wameshaondoka ndipo akajitokeza akabeba mabulungutu yake!!! I said Fisadi Mafia never leave a finger print!!!!

Angefungwa tairi fisadi moja akachomwa kama kibaka aliyekwapua pochi iliyo na mia 500 basi wangeogopa!!! Nani atajitoa mhanga kwa hili!!!!?? Mimi na wewe ni lazima tupate jibu!!
 
Zikiwa zimebaki siku sita tu kufikia siku ya kupiga kura jimboni Busnda. Zipo tetesi kuwa CCM inatarajiwa kuwatauma makada wake mashuhuri Mhe Rostam Aziz na Mhe Andrew Chenge kwenda huko kuokoa jahazi la CCM linaloeleka kuzama kutokana na tuhuma mbali mbali za ufisadi.

Hii inafuatia mafaniko makubwa aliyoyapata Mhe Anne Kilango jimboni humo katika siku za hivi karibuni.

Sifa kubwa ya makada hawa wanaotarajia kutumwa mwishoni ni kuwa wantoka kanda ya ziwa na mi matajiri wakubwa. Sifa hizo zinatosha?

Nini maoni yenu wana JF?
 

excuse me mr mnyamahodzo and what is your exact point,not to be offence?.. mimi point yangu ni kama ifuatavyo: THIS IS RACISM. nimejielezea mimi ni nani ili nikuonyeshe tofauti kati yangu mimi na mtanzania mweusi. wote wawili tukinunua magari kwa jasho letu wenyewe, mimi nitanyooshewa kidole kama fisadi wakati mwenzangu atatukuzwa kwa hard-work yake. ila kwa mtz mwenye asili ya ki-asia, its always fisadi. sawa, labda rostam sio Mtakatifu,ila for one i know.. he is not as bad as of your own kind. but this is not mentioned,because rostam ana asili ya kiarabu. that is RACISM. by the way,hata kazi ya uyaya nayo ni kazi,as long as inakidhi mahitaji. you are very shallow minded,endelea na box nitakuja kukaujiri pindi hapo baadae.
 
mkuuu punguza hasira. Jibu hoja kwa kutoa hoja. Halafu kuwa mwangalifu na sentesi zako maana humu kuna mabingwa wa ku-unmask mafisadi ambapo nikisema na wewe UNANUKIA naweza nikawa RACIST?
Tatizo la ndugu zetu wa kiasia ni kwamba zaidi ya asilimia 70 wanafanikisha mambo yao kwa mbinu chafu hivyo inatupa imani kwamba mnarithishana michongo michafu ili kudidimiza uchumi wa nchi na pia kujijengea himaya yenu ya kifisadi hapa nchini.
Kama hapa jamvini umeona kauli zetu ni za kibaguzi ambapo mimi napinga, je matendo yenu ya kibaguzi tuyape daraja gani?? Si ndio ninyi mnaokataa mabinti zenu wasimegwe na ngozi nyeusi? Si ndio ninyi mnaojitenga kuishi ktk mitaa au kuwa na majirani wengi weusi? maana mmejazana pale town na hata miji yote mmerundikana city centre kwenye nyumba za NHC mnalipa kodi ndogo huku mnaiibia jamii mapato mengi kwa kutotoa risiti au hata kubadili nyaraka ili msilipe kodi stahiki. Pia nakuomba sana usiongee ubaguzi humu maana utaanza kuichefua jukwaa na utajuuuta kujijua.
 

Tatizo sio wewe kuwa mwarabu, inawezekana wewe unafanya kazi katika kampuni ya mjomba wako au cousin yako au close relative , na unaweza ukawa unafanya kazi kwa bidii kuendeleza hiyo biashara yake, lakini tatizo sio hiyo biashara ,tatizo ni jinsi gani huyo ndugu yako alivyopata huo mtaji wa kuendesha hiyo biashara nakuweza kukuajiri wewe, and most of the time inakuwa through ulaghai na wizi wa mali za masikini wa Tanzania.Ila wewe kwasababu ni kibaraka cha ndugu yako huwezi hata kumwuliza alipataje mtaji, unachojali ni kwamba anakupa pesa ya kula na anakuozesha. For the case of RA we just asking simple question , hizo peza alizo zipata through EPA amezimwekeza wapi? na ndio maana tukaunganisha dots ya uhusiano wake na Mohamed Enterprises......
 
hela nyingi zinatokana na vizazi na vizazi na zinarithishwa. as years go by, the wealthier one becomes. do your homework.

simuongelei rostam aziz or anything,im just speaking on behalf of all asian-tanzanians who are clean
 
huwezi kunikataza kusema ni ubaguzi wa rangi kama ni ubaguzi na kila mtu ana uhuru wa kuishi pale atakapo.
 
- ... The only authority humu wa how to fight hivi vita?

fmes!


Huyu ....

 

It is a time ya Kupambana na white colour crime, Wasomi wetu wengi hawajajiandaa au kwa makusudi wamekuwa wakifanikisha huu wizi wa karamu, I wish tungekuwa na wanasheria wazalendo ambapo wangekuwa wanakataa kuwapa msaada ya kisheria mafisadi but cha kushangaza wale tunawaita wanasheria bigwa wameweka pesa mbele zaidi ya Uzalendo.
 
- Kumbe Kasheshe ndiye the only authority humu wa how to fight hivi vita?

FMES!

Respect Mkuu,
Kasheshe siyo authority, lakini kama umekuwa unafuatilia hii thread nadhani ungeweza kuelewa maana nzima ya hiyo sentensi. Lakini Ukisoma bila ya kuunganisha thread za nyuma you won't get me right.
 
Respect Mkuu,
Kasheshe siyo authority, lakini kama umekuwa unafuatilia hii thread nadhani ungeweza kuelewa maana nzima ya hiyo sentensi. Lakini Ukisoma bila ya kuunganisha thread za nyuma you won't get me right.

- Hapana sijaon anything, zaidi ya baadhi ya members hapa kudai sheria katika majukwaa ya siasa, maana hili JF ni jukwaa la siasa,tunajaribu kuchambua ishus za kisiasa, sasa nashangaa mtu kuzuka hapa Jf na kusema eti kama mna ushahidi nendeni mahakamani basi, kwani tulipiosaidia kumuondoa Richimonduli tulienda mahakama gani wakuu?

- Tuilijadili hapa kama kawaida yetu, wakubwa wa taifa wakatuona na kuja kutuomba msaaada katika uchunguzi wa kuishia kutoa ripoti iliyomuondoa Richimonduli sasa naomba kuwakumbusha wenzetu wale kwamba hapa sio mahali pa sheria yaani pa kukusanya usahaidi na kuupeleka Mahakamani, sisi ni kujadili na kuwapa wananchi mwanga na ukweli wa kisiasa, uamuzi ni wao kuwachagua hao hao tunaowafunua au kuwatupa,

- Na kwa wale ambao sio siri kwamba mnakerwa na kutokuwepo ushahidi wa kutosha, sijui ni kwa nini ujisumbue na habari ambazo hazina ushahidi unaoutaka, hilo nashindwa kulielewa, ingawa pia mna tu-motivate sana tusiokata tamaa na huyu Rostam, mpaka tuje tuone mwisho!

Respect.

FMES
 

FMES,
Kimsingi katika jukwaa kama hili wewe, mimi na members wengine tunaelewa vizuri kuwa tunafika wakati tunafanya debates kwa maana ya kuhakikisha mijadala inajadiliwa kwa kina kabisa. Si kweli wale wanaounga mkono hoja hawafaidiki na upande ambao hauungi mkono hoja zao, hali hiyo pia hujitokeza vivyo hivyo kwa upande mwingine wa wale wanakataa.
Kwa mfano, we all fight the same war lakini tunatofautiana katika approaches, wakati mimi tomaso, wewe unakuwa na njia yako nyingi tofauti na ya utomaso. Kawaida ninapenda wakati wote nijiwakilishe kama mimi na kwa kuamini yale ambayo ninaona kuwa ninapaswa kuwashawishi wengine kwenye mjadala. Mimi ninaona mafanikio katika vita dhidi ya rushwa ni kuhakikisha ninapambana na ku-shutdown mfumo mzima unaofanya rushwa iwepo na kuendelea kuwepo. Nina hakika mfumo wa rushwa utakapoweza kudhibitiwa ni wazi kabisa na wale wote wanaohusika na vitendo hivyo watakuwa wamezimwa. To me kupambana na mtu mmoja ambaye hata ukakika kwa maana evidence ni ngumu na hujui amezungukwa na nguvu gani katika mfumo ni sawasawa na kupeleka haya mapambano katika direction ambayo haitazaa matunda yatakayokuwa na manufaa au kumaliza mfumo wa rushwa. Ninazidi kutoa changamoto kuwa haya mapambano kama ni ya RA vs nyie, that good for you, lakini kama ni ya rushwa basi I beg to differ with you guys, you are in wrong way, hamuoneshi kupambana na rushwa rather than RA.
 
FMES,
Ninazidi kutoa changamoto kuwa haya mapambano kama ni ya RA vs nyie, that good for you, lakini kama ni ya rushwa basi I beg to differ with you guys, you are in wrong way, hamuoneshi kupambana na rushwa rather than RA.

- Ndio maana Busanda CCM wanaamini watashinda kwa 60%, maana kuna 40% ambao wanataka ushahidi kwanza kuhusu ufisadi, hawaamini kwamba upo na Rostam si fisadi!

Mungu Ibariki Tanzania.

FMES!
 
Shy,

Mbona tunatishana? Nimefurahi kusikia kwamba comments zetu uwa zinaprintiwa na kupelekwa kwa wahusika ili wazisome!!!! Kumbe ujumbe unafika!!!!!

Tiba

Inasemekana katika transactions za Kagoda (pesa za EPA) Rostam alikuwa anamtumia secretary wake. Nikiunganisha na hii ya ku-print mawazo yetu hapa na kupelekwa kwa wahusika na Shy alivyosimama kidete kumtetea RA, napata picha ya kuwa huenda Shy ndo secretary wa RA.
 
Pundamilia,

Kwa kubandika hii thread hapa, I believe Leokweli is on to something. Hii vita dhidi ya ufisadi ni complicated, si kama ya mwizi wa kuku kapatikana na ushahidi wa manyoya so tumpeleke mahakamani.

We are on the right track. This thing will unravel one step at a time but we shall get to the bottom of it. RA is by all means an important lead. Kama ana links na METL thats an important piece of the puzzle. Hakuna mtu hapa is deluded kwamba RA ndo mwanzo na mwisho wa ufisadi.

In the mean time, unaweza kutuelimisha hizo comprehensive na strategic approach zako.
 
Kwahiyo yeye hawezi kumiliki kampuni unataka nini wewe ? Kuna waswahili wenzako wana kampuni zaidi ya hizo wametulia na wanazidi kuchanua andika hoja za maana sio za kibaguzi kama hizi

wacha kuharibu jukwaa la jamii
Kama anakulisha atumie mali ya halali si za fedha za EPA,KAGODA au RICHMOND/DOWANS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…