Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kalimanzira, ndio nimedamka tu kujiandaa kwenda shamba, nikishapata ka ugali kangu ka kiporo nitakutumia...najua ipo hapa mahali fulani...
Jina linakufaa hilo muishimiwaKATIBU Mkuu wa Wizara ya Maji, Patrick Rutabanzibwa naye amesema kuwa atamshitaki Dk Willibrod Slaa na wenzake kwa kumtuhumu kuwa ni fisadi na kwamba endapo atamuomba radhi, yuko tayari kumsamehe.
Wewe ndiyo utuombe radhi na kuturudishia kilicho chetu"Slaa amenitumu kuwa mimi ni fisadi na tuhuma hizo zimenichafulia jina na heshima yangu, lakini akiniomba msamaha nitamsamehe kwa sababu nataka kusafisha jina", alisema Rutabanzibwa.
.Alisema kesi hiyo ataifungua wakati wowote kuanzia sasa baada ya kumaliza kukusanya ushahidi nahatajiuzulu hata kama ni kwa manufaa ya umma
Simpo, muambie kuwa wewe ni FISADI"Kazi ninayoifanya si ya kibarua. Nimeteuliwa na Rais na nikijiuzulu nitamwambia nini Rais", Alisema.
Holly wood wamepata tenda hapa."Nimechukua muda mrefu bila kujibu tuhuma dhidi yangu lakini jana niliona nakala ya DVD, nikasema leo nijibu", alisema Katibu huyo.
SEPETU AU KOLEO linaitwa hivyo na siyo "kijiko kikubwa"Katika hatua nyingine, alisema baada ya Dk. Slaa kumtuhumu kuwa ni fisadi amekuwa akipata shida kwa kuwa mitaani watu wanamuita yeye ni fisadi.
Hapo wamekustahi, unaigegeda nchi na kufakamia."Mitaani watu wananiita mimi ni fisadi, wananiambia kuwa mimi ndio ninayeitafuna nchi", alisema.
Sasa mfano tukitaka kuisambaza kwa kutumia email tunafanyeje?
SteveD said:Wantanzania wenzangu, natumaini yale tuliyo yasema kwenye THREAD HII JINSI YA KUWASILIANA NA WABUNGE WA UINGEREZA sasa yamepata dawa, kwa sababu tumerahisishiwa kazi ya kutafsiri nakala tuliyokuwa tunaiongelea, miye naona kila mmoja wetu akiweza anaweza kwenda kwenye KIUNGANISHI HIKI AMBACHO KINA LIST YA WABUNGE WOTE WA UINGEREZA kisha bonyeza pembeni kulia kwenye wale wenye email address na kuwapelekea ujumbe huo juu baada ya ku-copy and paste na kuandika yafuatayo kama kichwa cha habari.
WAANDIKIE TU YAFUATAYO: "Dear Sir/Madam, I am a concerned Tanzania citizen and recognise that your Government, United Kingdom is a major contributor to good governance progress, socioeconomic and other developments in our beloved nation. I kindly ask you to take part of your precious time to read through the following article and hopefully you will be touched and take decisive measures and possibly assist in the sustainability and transparency of our government. Many thanks."
Sasa kama kunawataalam wa lugha na barua naomba waisahihishe hii na kuifanya iwe fupi na nakifu zaidi kama inawezekana.
MUHIMU: Naomba kama unafanya hivyo uandikie wabunge angalau wawili tu, ukizidisha utakuwa una abuse uhuru wako wa kutoa maoni na hivyo hiyo email inaweza kuwa classified as spam, na kuwa automatically deleted.
Pia kama kuna wengine ambao wanaweza kupata contacts za nchi nyinginezo naomba mziweke hapa. Ahsanteni.
SteveD.