List of Shame: Mrema na Slaa wazungumzia Vigogo wa Ufisadi Tanzania

Wazushi kamwe hawaachi asili yao ya uzushi.


ZITTO KUITWA NA KAMATI MAALUMU YA UCHUNGUZI WA MABILIONI YA NJE.
[TABLE="class: cms_table_cms_table_cms_table"]
[TR]
[TD]TAREHE [/TD]
[TD]KAMATI [/TD]
[TD]MAELEZO YA ZITTO[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]28/02/2013[/TD]
[TD]Aliitwa na kamati ya kufuatilia fedha za Uswiss katika ofisi ya Mwanasheria mkuu wa serikali Dodoma.[/TD]
[TD]Alitoa taarifa kuwa anazo nyaraka zote zenye taarifa za walioficha fedha Uswis kwa majina na namba za account zao.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD]Pia alitoa masharti ya yeye kutoa ushahidi huo mbele ya kamati.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD]1. Kwanza asibugudhiwena mtu kwani taarifa alizonazo ni za siri.
2. Ahakikishiwe usalama wake kwa kuwa taarifa hizo ni nyeti sana.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]20/03/2013[/TD]
[TD]Kamati ilimwita Dar Es Salaam[/TD]
[TD]Alitoa udhuru kuwa yupo jeshini hivyo hawezi kufika mbele ya kamati kwa wakati huo.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]22/03/2013[/TD]
[TD]Kamati ilimfuata katika kambi ya jeshi Tanga kwa mahojiano nae.[/TD]
[TD]Katika majadiliano hakuweza kutoa majibu na kutaka wamwache hadi atakapo maliza mafunzo ya jeshi na kurejea ndipo atatoa huo ushahidi.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]12/04/2013[/TD]
[TD]Kamati ilimwita tena Dodoma kwa mahojiano.[/TD]
[TD]Alitoa udhuru kwa kusema anasafari ya kwenda Afrika Kusini.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]14/05/2013[/TD]
[TD]Kamati ilimwita tena Dodoma kwa mahojiano nae kupta ushahidi na majina aliyodai anayo.[/TD]
[TD]Hakufika mbele ya kamati na akasema,
1. Ana hoja yenye maslahi kwa taifa.
2. Kamati iliwasiliana naye akadai anajiandaa na mdahalo wa kigoda cha mwalimu Dar Es Salaam.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]18/06/2013[/TD]
[TD]Kamati ilimwita tena bila kuchoka[/TD]
[TD]Alitoa udhuru kuwa anafanya maandalizi ya timu ya Taifa kwenda AFCON kwa kuwa yeye yupo katika kamati ya maandalizi ya timu ya Taifa.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]Kamati baada ya usumbufu wote huo ikaona ni vema kutumia njia mbadala ya kupata taarifa alizonazo ili kuiwezesha serikali kuchukua hatua.[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]Kamati ilimpa Mh Zitto Zuberi Kabwe hati ya kuitwa mbele ya kamati.[/TD]
[TD]Zitto kwa kuapa mbele ya kamati alisema,
Sina jina lelote wala akaunti ya mtu yeyote anaemiliki fedha Uswiss.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]12/12/2013[/TD]
[TD][/TD]
[TD]Zitto katika mchango wake alidai kwa nini hoja yake haisikilizwi na serikali ipo kimya huku yeye nayo majina[/TD]
[/TR]
[/TABLE]



 
Hebu twambie kabla ya kutajwa hao mafisadi mlikuwa mmejenga barabara zipi vijijini, na maji na umeme mlipeleka katika vijiji vingapi nchini? Acha kuizorotesha akili yako au labda imeshazorota na sasa imekuwa ya kitaahira.


Hongera sana Dr Slaa kwa kuwataja, nadhani hii imesaidia sana ujenzi wa barabara vijijini, kupeleka maji, umeme na huduma muhimu. Hii ya kutaja mafisadi ndio iwe sera ya CHADEMA inasaidia sana.
 
Hebu tuwekee ushahidi wa kuthibitisha hili kwa maandishi badala ya kuendeleza uzushi wako mzushi wewe. Hata huyo msaliti wenu hajawahi kutoa kauli ya kuonyesha haya uliyazusha hapa.

Unajua hii list ya majina ya watu wenye akaunti Uswisi Dr.Slaa alikuwa anataka apewe yeye Zitto akakataa, bifu likaanzia hapo.
 
Inaonyesha jinsi akili yako ilivyoathirika kwa kuamua kuwa kikaragosi cha mafisadi. Unasikitisha sana kuropoka kama kasuku bila hata ya kujua maana ya yale unayoyaropoka. Miafrika ndivyo ilivyo!

Yaan tokea wasikie Zitto atasimama pale Mwembeyanga wanaweweseka kweli, mara watatoa mkanda wa bomu la Arusha mara hili ili mradi tu kutaka kumficha Zitto.
 
Hongera sana Dr Slaa kwa kuwataja, nadhani hii imesaidia sana ujenzi wa barabara vijijini, kupeleka maji, umeme na huduma muhimu. Hii ya kutaja mafisadi ndio iwe sera ya CHADEMA inasaidia sana.

Dah, asante Mtanzania mwenye uraia pacha.

Vv
 
Inaonyesha jinsi akili yako ilivyoathirika kwa kuamua kuwa kikaragosi cha mafisadi. Unasikitisha sana kuropoka kama kasuku bila hata ya kujua maana ya yale unayoyaropoka. Miafrika ndivyo ilivyo!
Mmepanic kweli, na bora mzoee tu maana listi Zitto ataisoma hata mkifanya nini.
 
Zitto sio mwanasiasa bali ni political entreprenuer.
 
Aliopanic ni bibi yenu kiroboto aliyeamua kususia bunge baada ya uhuni wenu kuanikwa hadharani, huyo msaliti kishapoteza maana sasa anabaki kuhangaika tu kurudisha umaarufu ambao ulishapotea siku nyingi hadi kufikia kuzomewa na Watanzania. Akili yako ndipo ilipoishia hapo maana huna uwezo wa kujenga hoja kwa akili kujaa kamasi.

Mmepanic kweli, na bora mzoee tu maana listi Zitto ataisoma hata mkifanya nini.
 
VUTA-NKUVUTE


mkuu WANGU VUTA,NKUVUTE NAMBA 11 unasema ni nani vile,HIYO LIST UMEITOA WAPI? NA LINI MSAADA MKUU WANGU TUFUNGUKE MACHO
 
Last edited by a moderator:

Sio hao tu 70% ya wanachama wa ccm ni mafisadi haukuna msafi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…