Nduka
JF-Expert Member
- Dec 3, 2008
- 8,553
- 2,380
bila Dr Slaa hata wewe na familia yako mngeuzwa tena kwa bei rahisi sana .
Sana mwambie ataje tena listi nyingine ili wewe na familia yako pia msiuzwe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bila Dr Slaa hata wewe na familia yako mngeuzwa tena kwa bei rahisi sana .
Viongozi wote wa Chadema wanajua kuwa list anayo Zitto wao wanataka wapewe kina Lema.
Yaani Zitto kapambana peke yake kutafuta hiyo list kirahisi tu ampe Dr.Slaa au Mbowe.
Chadema wana wanajitapa kuwa chama makini wameshindwa kweli kuitafuta hiyo list.
Hongera sana Dr Slaa kwa kuwataja, nadhani hii imesaidia sana ujenzi wa barabara vijijini, kupeleka maji, umeme na huduma muhimu. Hii ya kutaja mafisadi ndio iwe sera ya CHADEMA inasaidia sana.
Unajua hii list ya majina ya watu wenye akaunti Uswisi Dr.Slaa alikuwa anataka apewe yeye Zitto akakataa, bifu likaanzia hapo.
Yaan tokea wasikie Zitto atasimama pale Mwembeyanga wanaweweseka kweli, mara watatoa mkanda wa bomu la Arusha mara hili ili mradi tu kutaka kumficha Zitto.
Hongera sana Dr Slaa kwa kuwataja, nadhani hii imesaidia sana ujenzi wa barabara vijijini, kupeleka maji, umeme na huduma muhimu. Hii ya kutaja mafisadi ndio iwe sera ya CHADEMA inasaidia sana.
Mimi nilidhani ni issue ya kitaifa kumbe ni mipasho kati ya pipa na mfuniko.
Jakaya Kikwete ndiye mwanasiasa mlaghai namba moja Tanzania! By the way, yale maisha bora aliyoahidi kwa kila mtanzania yako wapi?
Mmepanic kweli, na bora mzoee tu maana listi Zitto ataisoma hata mkifanya nini.Inaonyesha jinsi akili yako ilivyoathirika kwa kuamua kuwa kikaragosi cha mafisadi. Unasikitisha sana kuropoka kama kasuku bila hata ya kujua maana ya yale unayoyaropoka. Miafrika ndivyo ilivyo!
kaka labda tafsiri ya ushujaa kwako iko tofauti!!!
Zito alikuwa anajibizana na marafiki zake serikalini na bungeni ili kutuzubaisha tuamini ni mpinzani wa kweli kumbe ni mwenzao. Ndiyo maana hana hata kesi moja mahakamani wala hajapigwa bomu la machozi kama viongozi wote wa kweli wa upinani.Tunwogope sana!
The best Hon Dr Slaa bila juhudi zake nchi hii ingebaki skeleton tu , Mungu mlinde huyu mtu .
Padri slaa ni shujaa wa kuiba wake za watu na kutafuna sadaka
JMK ni Jamuhuri ya Muungano wa Kongo.
Mmepanic kweli, na bora mzoee tu maana listi Zitto ataisoma hata mkifanya nini.
Dr. W.P. Slaa, Katibu Mkuu wa CHADEMA, mwaka 2007 aliwataja wafuatao kuwa ni Mafisadi wa Tanzania. Ilikuwa kwenye Viwanja vya Mwembeyanga, Temeke-Dar es Salaam. Hawa ndio laana ya Tanzania na ndio wanaokula nchi. Dr. Slaa alitaja majina na muktasari wa ufisadi wa kila mmoja. Baada ya kutajwa kwenye Orodha hiyo ya Mafisadi, kila mmoja alitishia kumburuza Mahakamani Dr. Slaa kwa kumchafua.
Hadi leo tarehe 2/7/2015, hakuna hata mmoja aliyethubutu kwenda Mahakamani. Katika Orodha hiyo ya aibu, yupo marehemu mmoja;wapo walio na kesi mahakamani;yupo Rais Mstaafu; wako 'Mapacha Watatu' wa CCM waliotishiwa kuvuliwa gamba; yupo msaka Urais na hata Rais. Majina yao tu yanasadifu uwepo wa hapo.
Watajwa hawa:
1. Dr. Daudi T.S. Balali
2. Gray Mgonja
3. Basil P. Mramba
4. Patrick W.R. Rutabanzibwa
5. Nimrod E. Mkono
6. Benjamin W. Mkapa
7. Andrew J. Chenge
8. Edward N. Lowassa
9. Rostam Aziz
10.Nazir Karamagi
11. JMK
Ni walewale wanatamani kilekile!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam