Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,324
- 5,933
Slaa ni mwehu alikuwa hana ushahidi wa alichokisema
Viongozi wote wa Chadema wanajua kuwa list anayo Zitto wao wanataka wapewe kina Lema.
Yaani Zitto kapambana peke yake kutafuta hiyo list kirahisi tu ampe Dr.Slaa au Mbowe.
Chadema wana wanajitapa kuwa chama makini wameshindwa kweli kuitafuta hiyo list.
Watz=Mabingwa wa kusahau makusudi.
Huyo namba 11 kwanini umemuandika kwa ufupi wakati alitajwa kikamilifu? Huna haja ya kumficha kwani siyo wewe uliyemtaja. Tupe jina lake kikamilifu
Alikuwa Ulaya juzi juzi kuaga sasa hivi anazunguka mikoani kuaga. Rafiki yake namba 8 anahaha kutaka naye kuingia magogoni amesema waliahidiana kuachiana ofisi hivyo namba 11 lazima amsapoti na yeye aonye utamu wa magogoni kama walivyokubalianaKumbe unamjua?tutajie.
mbona mamvi hayupo hapo
mkuu umetumia lugha ngumu sana sidhani kama hawa misukule watakuelewa. hata mwenyekiti wao dj zero na yule mzee wa kupiga watu vitofa hawawezi elewa hapa. siku ingine angalia lugha rahisi ya kuwaeleza hawa misukule.Hongera sana Dr Slaa kwa kuwataja, nadhani hii imesaidia sana ujenzi wa barabara vijijini, kupeleka maji, umeme na huduma muhimu. Hii ya kutaja mafisadi ndio iwe sera ya CHADEMA inasaidia sana.
mkuu umetumia lugha ngumu sana sidhani kama hawa misukule watakuelewa. hata mwenyekiti wao dj zero na yule mzee wa kupiga watu vitofa hawawezi elewa hapa. siku ingine angalia lugha rahisi ya kuwaeleza hawa misukule.
kweli nyani haoni kundule, kabla haujatoa kibanzi kwenye jicho la mwenzio toa kwanza boriti kwenye jicho lako, ukimnyooshea mwenzio kidole kimoja kumbuka kuna vidole vinne vinakunyooshea wewe.
JMK ni Jamuhuri ya Muungano wa Kongo.
Sema mimi namuamini slaa!sio watanzania!ushahidi kaka maneno mengi ya nini!!pia utambue viongoz wako hasa slaa kama anaushahid anaruhusiwa kuupeleka mahakaman na hivyo akawa ametusaidia!mahakama tu ndio inahaki ya kusema km wanatuhuma za kujibu au la...!!akibaki anasema haitusaidii!!
acha ujinga,mtu anatoa majina ya watu wanaohujumu uchumi serikali inakaa kimya!Ilipaswa chombo husika kama PCCB wamfuate kupata vielelezo na ushahidi juu ya watu wale!Sema kwasababu ni vigogo wa serikali ndio maana hatuoni ufuatiliaji!
Ulishawahi ona wapi nchi inafanya manunuzi ya mabilioni halafu baadaye mabilioni kadhaa yanarudishwa eti ni chenji iliyobaki!
Nchi hii ina mengi!
Hapa unahitaji dr slaa apeleke ushahidi mahakamani?
Unakaa unashabikia ujinga na kuleta maneno ya kanga kwenye mambo nyeti,China wahujumu uchumi wananyongwa,hapa tz ndio wanaonekana madon na wajanja!
Viongozi wote wa Chadema wanajua kuwa list anayo Zitto wao wanataka wapewe kina Lema.
Yaani Zitto kapambana peke yake kutafuta hiyo list kirahisi tu ampe Dr.Slaa au Mbowe.
Chadema wana wanajitapa kuwa chama makini wameshindwa kweli kuitafuta hiyo list.