List of Shame: Mrema na Slaa wazungumzia Vigogo wa Ufisadi Tanzania

List of Shame: Mrema na Slaa wazungumzia Vigogo wa Ufisadi Tanzania

Slaa ni mwehu alikuwa hana ushahidi wa alichokisema

kama nawewe unalipwa na hawa mafisad ukosahihi unachokisema ila kama njaa 2 kama za watanzania wengne bas unaupungufu wa akili kwakiasi kikubwa.
 
Viongozi wote wa Chadema wanajua kuwa list anayo Zitto wao wanataka wapewe kina Lema.

Yaani Zitto kapambana peke yake kutafuta hiyo list kirahisi tu ampe Dr.Slaa au Mbowe.

Chadema wana wanajitapa kuwa chama makini wameshindwa kweli kuitafuta hiyo list.

sasa si awataje kama anayo ili tuone kuwa ndo uzalendo? Mbona yuko kimya sasa. Huyo ZZK na EL lao moja
 
Mpaka hiii leo ni miaka nane imepita. Labda wanasubiri atangaze urais ndipo wampeleke kwa court.....
 
List anayoileta Zigo Kabwel ...haina jina jipya yote tunayajua. ...labda akiwa anayataja akate mauno ndio tutaona tofauti
 
Kumbe unamjua?tutajie.
Alikuwa Ulaya juzi juzi kuaga sasa hivi anazunguka mikoani kuaga. Rafiki yake namba 8 anahaha kutaka naye kuingia magogoni amesema waliahidiana kuachiana ofisi hivyo namba 11 lazima amsapoti na yeye aonye utamu wa magogoni kama walivyokubaliana
 
Hongera sana Dr Slaa kwa kuwataja, nadhani hii imesaidia sana ujenzi wa barabara vijijini, kupeleka maji, umeme na huduma muhimu. Hii ya kutaja mafisadi ndio iwe sera ya CHADEMA inasaidia sana.
mkuu umetumia lugha ngumu sana sidhani kama hawa misukule watakuelewa. hata mwenyekiti wao dj zero na yule mzee wa kupiga watu vitofa hawawezi elewa hapa. siku ingine angalia lugha rahisi ya kuwaeleza hawa misukule.
 
Hahahaha mkuu tunaenda nao taratibu wataelewa tu
 
List yako feki.. jitahidi utafute tena.. alafu ilete upya.. list ipo ila kuna majina hapo umekatana mengine umeongeza ambayo hayakuwepo..
 
lowasa ni fisadi angali akiwa tumboni.Huyu mamvi ana haya kabisa ni mwizi mkubwa sana.Ndio maana magonjwa yana mtafuna.El ni jambazi sugu
 
kweli nyani haoni kundule, kabla haujatoa kibanzi kwenye jicho la mwenzio toa kwanza boriti kwenye jicho lako, ukimnyooshea mwenzio kidole kimoja kumbuka kuna vidole vinne vinakunyooshea wewe.

Kwa nini mkuu?
 
Sema mimi namuamini slaa!sio watanzania!ushahidi kaka maneno mengi ya nini!!pia utambue viongoz wako hasa slaa kama anaushahid anaruhusiwa kuupeleka mahakaman na hivyo akawa ametusaidia!mahakama tu ndio inahaki ya kusema km wanatuhuma za kujibu au la...!!akibaki anasema haitusaidii!!

acha ujinga,mtu anatoa majina ya watu wanaohujumu uchumi serikali inakaa kimya!Ilipaswa chombo husika kama PCCB wamfuate kupata vielelezo na ushahidi juu ya watu wale!Sema kwasababu ni vigogo wa serikali ndio maana hatuoni ufuatiliaji!
Ulishawahi ona wapi nchi inafanya manunuzi ya mabilioni halafu baadaye mabilioni kadhaa yanarudishwa eti ni chenji iliyobaki!
Nchi hii ina mengi!
Hapa unahitaji dr slaa apeleke ushahidi mahakamani?
Unakaa unashabikia ujinga na kuleta maneno ya kanga kwenye mambo nyeti,China wahujumu uchumi wananyongwa,hapa tz ndio wanaonekana madon na wajanja!
 
Umekuja na chafya zako hata husomi vizuri!nani hajui maswala ya msingi??yawezekana ni kweli lowasa ni fisadi lakini debe tupu bila unga halina maana ndio maneno ya slaa! Yapo tupu sanaa hayana content hata kidogo nadhani chama kama chadema Lisu ndio genious wao aliyebaki wengine wote pumba tupu!anafikiria kabla hajaongea!! Dogo acha upuuzi huna power of reasoning na hapo ndio upuuzi wk unapoanzia huwezi mhukumu mtu kwa conscious zako!!leta ushahidi hata huo wa richmond..!!km unao!!slaa kaishiwa kbsa cha kusema ili tumuone km yupo!kumbe anajishusha zaid...
 
Viongozi wote wa Chadema wanajua kuwa list anayo Zitto wao wanataka wapewe kina Lema.

Yaani Zitto kapambana peke yake kutafuta hiyo list kirahisi tu ampe Dr.Slaa au Mbowe.

Chadema wana wanajitapa kuwa chama makini wameshindwa kweli kuitafuta hiyo list.

Hawa ndio Watanzania walioficha fedha Uswisi

September 15, 2012

Kwamuda wa miaka miwili sasa tangu tulipoanza kazi nzito ya upelelezi wa wakubaini na kuzuia uingizaji na utoroshaji wa pesa nchini,
Juhudi zetu zimeanza kuzaa matunda baada ya kubaini majina halisi ya watanzania walioficha fedha nje ya nchi na wanaoingiza fedha haramu nchini.
Kwakushirikiana na mashirika ya kijasusi ya CIA-USA, M1-6-UK, RAW-India, DGSE-Ufaransa, FSB Urusi, ISI Pakistan, na MSS-China, ambayo yamekuwa yakifuatilia nyendo za fedha haramu hasa za kighaidi dunia, tumefanikiwa kutambua Watanzania, Wakenya, Waafrika kusini, Waganda na Wakongo wengi matajiri walioficha fedha uswisi.
Hapa nitawaorodhesha Watanzania tu;
Orodha ni ndefu ila hapa ni wale walioficha zaidi ya USD $3.5 mmilion kila moja. Wamo wanasiasa pamoja na wafanyabiashara kadhaa maarufu. Imebainikwa kwamba fedha nyingi za wanasiasa zimewekwa na makampuni ya nje yenye shughuli Tanzania. Wamo hata Makatibu Wakuu Wizarani na wakurugenzi ila hawajafikia USD3.5million ndio maana majina yao hayamo.
Orodha kamili ni:
Jakaya M. Kikwete, January Makamba, Abdalla Kighoda, Nimrod Mkono, Nazir Karamagi, Andrew Chenge, Yusuf Makamba, Edward Lowassa, Rostam Aziz, Yusuf Manji, Ridhiwani Kikwete, Mohamed Dewji, Bernard Membe, Paul Chagonja ,
Zitto Kabwe, William B. Mkapa, Said Mwema, Abdulrahman Shimbo, Edward Hosea, Daudi T.S Balali, Basil Mramba,Mustapha Mkullo, Grey Mgonja, Patrick Rutabanzibwa,Tanil Somaiya, Jeetu Patel, Onoko Okesukwu mwenye asili ya Kinigeria, Awadh Mohamed (mwenye uraia wa msomalia) na Subhash Patel
Orodha ya wanaoingiza pesa chafu/haramu na kuzitakatisha ni ndefu nitawawataja kadiri muda utakavyo niruhusu.

https://jasonbournetz.wordpress.com/2012/09/15/hawa-ndio-watanzania-walioficha-fedha-uswisi/
 
Lowasa watanzania sio wajinga kiasi unachofikiri kuwa awaelewi nakutumia umasikini wao kuwadanganya,eti kama kuna mtu anaushaidi wa kuwa wewe soi msafi fisadi ajitokeze waziwazi,

Nakuuliza
je SLAA alipokutaja kwenye list of shame mchana kweupe mbele ya kandamnasi na akakutaka kama unabisha uende mahakamani mbona haukwende ? au ulikuwa matibabu nje ya nchi?

acha kauri za mfa maji utawadanganya wachumia tumbo na mawakala wako uliowatapakaza kwenye media lakini watanzania makinin itakuwa ngumu sana kajipange,
 
Slaa naye mnafiki, mbona wanamsubiria atemwe na CCM wamchukue.
 
  • Thanks
Reactions: DSN
tanzania hii hakuna mpinzan hata mmoja wote wachumia tumbo na walev wa sifa!
 
Back
Top Bottom