Mwandwanga
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 3,059
- 1,572
Watu ni wepesi sana kusahau leo Zitto katoa majina ya walioficha pesa uswizi tena kwa kukabidhi document mnasema sio shujaa wakati juzi tu hapa mlimuita shujaa alipoandaa na kusoma taarifa ya Escrow bungeni.
Tuambie kafanya nini leo Mmeo pale MwembeYanga ?
Shujaa wa Escrow ni kafulila aliyepewa na Tunzo fa.la wewe
Huyo Aya..tolla kataja majina ya walioficha pesa uswisi?
Hujaelewa
Kigumuuuuu!
Sasa unakiri kuwa Zitto a.k.a Yuda, ni mali yenu na alivyo navyo
mnavijua kwakuwa mmemgawia.
dr slaa atabaki kuwa ni yeye aliyethubutu
Sijasikia akitaja hilo jinaKataja Chenge na jamaa wa SHIVACOM Somaia hao ndo wanyonge
Huyu mzee hana jipya arudi karatu akawe balozi
Wametakaswa miili lakini roho zao kutu ni ileile. Hata ukisugua kwa grinder, haitoki!!!!Wametakaswa na Kikwete wamekuwa safi sana - tabu tukiwachagua tena watachafuka upya, na uchafu wao utaturukia kwa uhakika.