List of Shame: Mrema na Slaa wazungumzia Vigogo wa Ufisadi Tanzania

List of Shame: Mrema na Slaa wazungumzia Vigogo wa Ufisadi Tanzania

Watu ni wepesi sana kusahau leo Zitto katoa majina ya walioficha pesa uswizi tena kwa kukabidhi document mnasema sio shujaa wakati juzi tu hapa mlimuita shujaa alipoandaa na kusoma taarifa ya Escrow bungeni.

Shujaa wa Escrow ni kafulila aliyepewa na Tunzo fa.la wewe
 
Kigumuuuuu!
Sasa unakiri kuwa Zitto a.k.a Yuda, ni mali yenu na alivyo navyo
mnavijua kwakuwa mmemgawia.


Watanzania wanasahau kuwa Zitto ni msaliti na kibaraka wa CCM, yeye anajiunga na vyama pinzani ili kuua changamoto kwa CCM. Watanzania badirikeni jamani, tunataka maendeleo si kurudi nyuma tena.
 
Dr Silaa ndio wa kizazi hiki hata pale Lumumba wapo kibao wanamkubali
 
slaa hakuna wa kumfikia hta nusu ni zaidi ya jembe yani slaa juuuuuuuuu juuuuuuuuu ya mafisadi wote
 
Dr. Slaa amekuwa kwenye fomu tena leo katema madini ya hatari, nilihisi kuchoka kipindi cha nyuma lakini leo kaniprove wrong ...mzee anatakiwa apewe magogoni ili tuheshimiane
 
Zitto ni shujaa kitambo,ameshawahi fukuzwa bungeni wakati amemvaa Kalamagi,pale ndipo ushujaa wa Zitto ulipoanza kujidhirisha,hata chama Chake kuendelea kukubalika zaidi katikati ya hila za Chadema za kuitisha mkutano kila ACT wanapoitisha nao ni ushujaa wa kiwango kilichopindukua
 
Wametakaswa na Kikwete wamekuwa safi sana - tabu tukiwachagua tena watachafuka upya, na uchafu wao utaturukia kwa uhakika.
Wametakaswa miili lakini roho zao kutu ni ileile. Hata ukisugua kwa grinder, haitoki!!!!
 
Back
Top Bottom