Je Mchambuzi bado anataka tuamini kwamba bado serikali iliyopo kuna utawala Bora? Hivi Slaa kuanika madhambi ya Viongozi ambao mwanzoni tulisema tumepewa na Mungu ni Udaku? Nadhani alichofanya Slaa ni kuwaambia Watanzania kwamba mmdhanie siye kumbe ndiye sasa kazi kwenu.
Kikwete hakuchaguliwa kwa sera, alichaguliwa kwa sababu watu walimwamini kwamba ndiye mkombozi wao kutokana na udhalimu wa CCM wa muda mrefu na ajenda kubwa ikiwa ni kukisafisha Chama kutokana na ufisadi. kikwete alipata kura hata kutoka kwa wapinzani.
Kazi ya Vyama vya siasa ni pamoja na kuikosoa serikali pale inapofanya vibaya, vivyo hivyo preasure groups. Je ulitaka haya wayaseme Preasure groups na sio vyama vya siasa?
This is my view - Upinzani wa sasa bado haufanyi kazi nzuri na ni kwa tatizo lao wenyewe, wasilaumu mtu mwingine. In that context, we need viongozi waliopo ndani ya ccm ambao ni safi kutuongoza katika kipindi cha mpito mpaka pale generation mpya itakapokuja either kujiunga na hao wana ccm safi au kwa njia ya chama kipya. In the process, watanzania wote wenye uchungu na nchi yao wasiishie kupiga kelele kwenye internet. Kama una ndugu zako kijijini, mjomba, babu, shangazi, etc, tumia nafasi hii kuwaelimisha na over time elimu hii itasambaa. Ila tusifanye kwa kutumia njia za majigambo hata kwa ndugu zetu kwamba tunajua sana na wao hawajui lolote. That wont make any meaningful change.
Ni sahihi kabisa kusema JK hakuchaguliwa kutokana na sera and instead hopes kwamba ataleta mabadiliko. Lakini kama nilivyosema huko nyuma, mkutano mkuu ulijua wazi kwamba mwenyekiti wa kampeni ya JK ni EL na walijua fika kwamba JK amekuwa created na EL. It looks like wengi humu pia hili hawalielewi au wankataa kulielewa.
Na wajumbe wengi wa mkutano mkuu ni wale wale waliokuwa nyuma ya EL 1995 na baadae wakahamia to JK kutokana na influence ya EL.
Sasa kwa mtindo huu huu, EL bado anauwezo mkubwa sana kupita kwenye mkutano mkuu akisimama 2015 na wapiga kura watampa kura nyingi tu as long as ni mtandao umemsimamisha. EL haitaji 80%. 60% inampitisha. So hizi porojo za hapa na pale kuhusu EL 2015 hazina maana yoyote kama mkutano mkuu utaona EL ndio chaguo zuri. Wananchi wa tanzania wataichagua tu CCM, whether ni EL, mwandosya, sumaye, magufuli or any other ndie atakayesimamisha for ccm.
Kuhusu upinzani na pressure groups tanzania, what i meant ni kwamba upinzani una behave kama pressure groups, sio kama real political parties.
Hata JF wakija na azimio moja humu kuhusu suala fulani inaweza ku qualify as a pressure group. Hizi vyama vya siasa tanzania inabidi vijiangalie na kujipanga vizuri. Haviwezi kuitikisa ccm, vitaweza tu tikisa individuals in ccm kutokana na udaku on rushwa. A pressure group is not a political party.
Tafadhali angalia kwenye google etc description ya pressure groups vs politica party. Why do you think serikali huko nyuma was more concerned na siasa za mtikila kuliko za chadema? au siasa za CUF znz kuliko za chadema? Ni kwasababu CUF wanaoperate in the context of sera na ndizo hizo zinawapa nguvu na legitimacy kule znz.
Mtikila became a threat because angeweza kuleta a movement kubwa sana. Yeye hakuja na sera za wala rushwa ndani ya ccm, alikuwa anaelezea rushwa in the context of uhujumu wa uchumi na jinsi gani Tanzania can be better as Tanganyika na pia by empowering weusi over wahindi. Whether ni mbaya au nzuri, zote hizi ni sera, sio udaku.