MTENDAHAKI
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,013
- 1,447
Walisema watamburuza mahakamani baada ya kusoma majina ya mafisadi papa mwembeyanga 2007,lakini hadi leo kimya.
Kuna mjamaa(anajiita hivyo),amekuja na azimio feki anajaribu kuundaa umma wa watz kupokea list of shame nyingne pale mwembeyanga,swali la kujiuliza ana ubavu huo?
Ni Dr.slaa pekee ndio anaweza issue hizo. Alitaja mafisadi papa akiwemo na huyu nanii,lakini hakuna hata chombo cha dola kilichomtia hatiani.
Hatutaki zungushazungusha,kama vipi amwage mboga ili aingie katika list ya heros in Tanzania.
Usiwe mkakati wa kuuza sura kwa umma ili uamini kuwa ni mpinzani wa kweli. Tunajua na tunaendelea kuamini kuwa wale... Uliwaita wasaka mviringo wa unga uliopikwa. Sasa sijui ndo kurudisha heshima iliyopotea au miyeyusho tu? Maana huaminiki bro...ulisema hutaki U-MP sasa naona umevuta fomu ya u-mp kimya kimya,ulisema utagombea upresidaa,mara unarudi kudiscontinue madenti kuhusu masuala ya uchumi wa kile kilichomua yule mwandishi wa mwana..ha..li..si online.
Kama vipi,uingie mzima mzima. Lakini the HERO atabaki kuwa Dr. WP Slaa, No mor no less,habari ndio hiyo.
Hatuishi kwa uongo ndio maana huaminiki. Na kwa kinywa chako uliwahi kusema,mwanasiasa sio mtu wa kuamini,kauli hii ianzie kwako...yaani huaminiki hata tungekupa mtaji wa kuuza mawese usingefika popote.
Umetoka povu tu hapa