List of Shame: Mrema na Slaa wazungumzia Vigogo wa Ufisadi Tanzania

List of Shame: Mrema na Slaa wazungumzia Vigogo wa Ufisadi Tanzania

Lowasa watanzania sio wajinga kiasi unachofikiri kuwa awaelewi nakutumia umasikini wao kuwadanganya,eti kama kuna mtu anaushaidi wa kuwa wewe soi msafi fisadi ajitokeze waziwazi,

Nakuuliza
je SLAA alipokutaja kwenye list of shame mchana kweupe mbele ya kandamnasi na akakutaka kama unabisha uende mahakamani mbona haukwende ? au ulikuwa matibabu nje ya nchi?

acha kauri za mfa maji utawadanganya wachumia tumbo na mawakala wako uliowatapakaza kwenye media lakini watanzania makinin itakuwa ngumu sana kajipange,

Vipi msumari uliogongomewa haujauchomoa bado:flame:
 
Slaa naye mnafiki, mbona wanamsubiria atemwe na CCM wamchukue.
Hawakatazwi kusubilia mtu kutoka CCM kama atafanana nao kwenyemalengo,lakini kitendo cha kumsubilia mtu ambae wao wanajua walikuwa wakimsakama kama FISADI na kuuaminisha UMMA kuwa Mtwajwa katika LIST ni FISADI kisha mtu huo huo wakaruka nae pamoja haaa huyo watakae mpokea ATAKUWA HERO wa TANZANIA kwa kuwasaidia kujua Kumbe ALIYEKUWA ANTUHUMIWA NA CHADEMA HAKUWA MKOSAJI WA KUITWA FISADI BALI CHADEMA WALIMTUNGIA ILI WAO WAFAIDIKE NA UTUNGAJI KWA GHARAMA YA KUMUUMIZA MTUHUMIWA NA KULIUMIZA TAIFA KWA KUWAAMINISHA JAMBO NYETI NA HATARISHI KWA KUWAPAKAZI VIONGOZI WAO HABARI ZA UZUSHI NA UONGO..

Hakika kama itakuwa kweli basi Wanananchi watawahukumu Chadema kwa hasira kali sana,na itakuwa ni mwisho wa na kifo cha CHADEMA kama msemo wa Wasira.Ninaludi kusema ni HAKI KWELI kwa CHADEMA kuchukua mtu kutoka CCM kama ilivyo ni haki kwa CCM kuchukua mtu toka CDM.Lakini cha msingi ni aina gani ya mtu hapo ndipo kwenye mjadala.Kuwa TAJIRI sio DHAMBI, dhambi ni njia zilitotumika kupata utajiri huo hapo ndipo kwenye Mjadala wa UTAJIRI HUSIKA.
 
Slaa alikuwa na ushahidi?
Naye si alikuwa anapiga porojo za kisiasa tu?
 
hakuna furaha ya wanaccm kama ukawa wanaeza kumsubili lowasa ndo itakuwa mwisho wenu japo najua slaa hawezi kukubali kumuachia nafasi na tutamuuilz aliyomtaja kuwa ni mwizi iweje leo wampokee?
itakuwa ni kubomolewa kwa ukawa mwanzo mwisho,
 
Chadema kama itachukua mtu ambaye wao waliwahi kumtuhumu fisadi ni mwisho wa reli. Watanzania wanasubiri uendawazimu huo!
 
slaa is the tanzania icon.Lowasa ni jambazi sugu tanzania na anatafutwa na polisi
 
Slaa kama ana ushahidi mbona hakwenda mahakamani kushtaki? Porojo tu
 
Mbona ipo wazi na slaa juzi kasema na tangu mwaka 2005 baada ya uchaguzi walisema hawachukui tena makapi ya ccm

Wengi humu hata hamna uwezo wa uchambuzi wa mambo kwa kina, mi nncho kiona kwa chadema nikusubiri ccm kwa lengo moja tu

Wajue mdudu gani kaletwa atafutiwe sumu sahihi, sio watu wanaleta kunguni ninyi mna dawa ya mende

Kwa jicho pana ukawa wanasubiri wamjue mdudu halisi wa kupambana nae wasake dawa halisi ya kumuua

Kwa Mfano lowasa ni mwepesi sana mbele ya ukawa kumchafua kwa tuhuma

Ni sawa na ccm walipochanganywa na chadema 2005 wakitegemea mbowe ataletwa tena kama mgombea, ghafla wakamleta Dr slaa dakika za mwisho, kitu ambacho hakikutarajiwa, iliwatesa ccm na hawakuwa na sumu sahihi ya kum attack coz muda ulikuwa umeenda mwisho wakakimbilia personal issue za upadre na kuandaa propoganda dhaifu za ndoa na mchumba wake
 
Hongera sana Dr Slaa kwa kuwataja, nadhani hii imesaidia sana ujenzi wa barabara vijijini, kupeleka maji, umeme na huduma muhimu. Hii ya kutaja mafisadi ndio iwe sera ya CHADEMA inasaidia sana.

Kwa maandishi yako na ambayo inafanana na maelezo ya Zitto, kuwa kutaja majina hayo hakukusaidia, naomba kutofautiana. Ikumbukwe kabla ya kitendo hiki ambacho kilihitaji ujasiri mkubwa kwa mazingira ya wakati huo, kimesaidia sana kuibadili nchi. Kwanza wananchi walifunguka na kuanza kupigia kelele ufisadi - ingawa kwa awali CCM walitetea sana na kuita majina ya ajabu na vitisho kwa kila aliyekuwa akisema kuna ufisadi nchini. Lakini kubwa zaidi ni baada ya shinikizo hili CCM wenyewe na Serikali kukubali na kukiri hadharani kuwa kuna ufusadi na kuwa ndani ya chama chao ufisadi umetamalaki! Huu ulikuwa ushindi mkubwa na husingepatikana bila ujasiri huo wa Mwembeyanga. Nayumaini Bw. Zitto naye atakuja na kitu hapo Mwembeyanga kitakachobadili kichanya mfumo wa nchi yetu.
 
Zitto amesema atataja majina ya watu wenye akaunti Uswis, sasa ajenda ya pale Ufipa leo ni kutafuta kila linalowezekana kuonesha kuwa hata babu yao aliwahi kuwika hapo zamani.

Hadithi ya ZZK na orodha ya walioficha pesa Uswiss siyo ya leo. Na haitampa kick! Kumbuka kuwa Dr. Slaa hahitaji kupewa umaarufu, tayali ni maarufu unless kama tunatafuta kumchafua hilo litakuwa jipya.
 
Slaa ana umaarufu huko kijijini kwao. Zitto ni maarufu dunia nzima. Kumbe wanasiasa wa upinzani wanachofanya ni kutafuta Kiki? Nilijua Kiki ni ya akina Wolper tu.
 
Slaa ana umaarufu huko kijijini kwao. Zitto ni maarufu dunia nzima. Kumbe wanasiasa wa upinzani wanachofanya ni kutafuta Kiki? Nilijua Kiki ni ya akina Wolper tu.

Ni mtazamo wako, muhimu ujue kuwa unaongelea siasa za ndani ya nchi. Na huko nje unaokoongelea huenda ikawa ni tatizo la uelewa wako.
 
Zitto amesema atataja majina ya watu wenye akaunti Uswis, sasa ajenda ya pale Ufipa leo ni kutafuta kila linalowezekana kuonesha kuwa hata babu yao aliwahi kuwika hapo zamani.

Huyo Zitto anachojua yeye ni kucopy na kupaste tu. Mara azimio la Tabora (akicopy azimio la Arusha), mara orodha ya walioweka fedha katika akaunti nje ya nchi (akicopy list of shame iliyotolewa na Dr. Slaa pale Mwembeyang). Huwa hana fikra mpya. Leo wewe ukifanya jambo likafanikiwa, yeye kesho anakuja kwa jina lingine kwa kutumia mbinu zile zile.
 
Back
Top Bottom