Chanzo cha habari hii ni kipi?
Slaa naye mnafiki, mbona wanamsubiria atemwe na CCM wamchukue.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Slaa naye mnafiki, mbona wanamsubiria atemwe na CCM wamchukue.
Lowasa watanzania sio wajinga kiasi unachofikiri kuwa awaelewi nakutumia umasikini wao kuwadanganya,eti kama kuna mtu anaushaidi wa kuwa wewe soi msafi fisadi ajitokeze waziwazi,
Nakuuliza
je SLAA alipokutaja kwenye list of shame mchana kweupe mbele ya kandamnasi na akakutaka kama unabisha uende mahakamani mbona haukwende ? au ulikuwa matibabu nje ya nchi?
acha kauri za mfa maji utawadanganya wachumia tumbo na mawakala wako uliowatapakaza kwenye media lakini watanzania makinin itakuwa ngumu sana kajipange,
Hawakatazwi kusubilia mtu kutoka CCM kama atafanana nao kwenyemalengo,lakini kitendo cha kumsubilia mtu ambae wao wanajua walikuwa wakimsakama kama FISADI na kuuaminisha UMMA kuwa Mtwajwa katika LIST ni FISADI kisha mtu huo huo wakaruka nae pamoja haaa huyo watakae mpokea ATAKUWA HERO wa TANZANIA kwa kuwasaidia kujua Kumbe ALIYEKUWA ANTUHUMIWA NA CHADEMA HAKUWA MKOSAJI WA KUITWA FISADI BALI CHADEMA WALIMTUNGIA ILI WAO WAFAIDIKE NA UTUNGAJI KWA GHARAMA YA KUMUUMIZA MTUHUMIWA NA KULIUMIZA TAIFA KWA KUWAAMINISHA JAMBO NYETI NA HATARISHI KWA KUWAPAKAZI VIONGOZI WAO HABARI ZA UZUSHI NA UONGO..Slaa naye mnafiki, mbona wanamsubiria atemwe na CCM wamchukue.
Hawakatazwi kusubilia mtu kutoka CCM kama atafanana nao kwenyemalengo,lakini kitendo cha kumsubilia mtu ambae wao wanajua walikuwa wakimsakama kama FISADI na kuuaminisha UMMA kuwa Mtwajwa katika LIST ni FISADI kisha mtu huo huo wakaruka nae pamoja haaa huyo watakae mpokea ATAKUWA HERO wa TANZANIA kwa kuwasaidia kujua Kumbe ALIYEKUWA ANTUHUMIWA NA CHADEMA HAKUWA MKOSAJI WA KUITWA FISADI BALI CHADEMA WALIMTUNGIA ILI WAO WAFAIDIKE NA UTUNGAJI KWA GHARAMA YA KUMUUMIZA MTUHUMIWA NA KULIUMIZA TAIFA KWA KUWAAMINISHA JAMBO NYETI NA HATARISHI KWA KUWAPAKAZI VIONGOZI WAO HABARI ZA UZUSHI NA UONGO..
Hakika kama itakuwa kweli basi Wanananchi watawahukumu Chadema kwa hasira kali sana,na itakuwa ni mwisho wa na kifo cha CHADEMA kama msemo wa Wasira.Ninaludi kusema ni HAKI KWELI kwa CHADEMA kuchukua mtu kutoka CCM kama ilivyo ni haki kwa CCM kuchukua mtu toka CDM.Lakini cha msingi ni aina gani ya mtu hapo ndipo kwenye mjadala.Kuwa TAJIRI sio DHAMBI, dhambi ni njia zilitotumika kupata utajiri huo hapo ndipo kwenye Mjadala wa UTAJIRI HUSIKA.
Slaa naye mnafiki, mbona wanamsubiria atemwe na CCM wamchukue.
Slaa naye mnafiki, mbona wanamsubiria atemwe na CCM wamchukue.
Hongera sana Dr Slaa kwa kuwataja, nadhani hii imesaidia sana ujenzi wa barabara vijijini, kupeleka maji, umeme na huduma muhimu. Hii ya kutaja mafisadi ndio iwe sera ya CHADEMA inasaidia sana.
Zitto amesema atataja majina ya watu wenye akaunti Uswis, sasa ajenda ya pale Ufipa leo ni kutafuta kila linalowezekana kuonesha kuwa hata babu yao aliwahi kuwika hapo zamani.
Hadithi ya ZZK na orodha ya walioficha pesa Uswiss siyo ya leo. Na haitampa kick! Kumbuka kuwa Dr. Slaa hahitaji kupewa umaarufu, tayali ni maarufu unless kama tunatafuta kumchafua hilo litakuwa jipya.
Slaa ana umaarufu huko kijijini kwao. Zitto ni maarufu dunia nzima. Kumbe wanasiasa wa upinzani wanachofanya ni kutafuta Kiki? Nilijua Kiki ni ya akina Wolper tu.
Zitto amesema atataja majina ya watu wenye akaunti Uswis, sasa ajenda ya pale Ufipa leo ni kutafuta kila linalowezekana kuonesha kuwa hata babu yao aliwahi kuwika hapo zamani.