List of Shame: Mrema na Slaa wazungumzia Vigogo wa Ufisadi Tanzania

List of Shame: Mrema na Slaa wazungumzia Vigogo wa Ufisadi Tanzania

CHADEMA waelezeni Watanzania, hasa Watanzania waliopigwa virungu na Dr Slaa mna mkakati gani wa kupambana na mafisadi husuana wale 'mafisadi' mliowataja pale Mwembeyanga?

Kwa maneno midomo yenu mlituambia ushahidi mnao!
 
Tutaanza na Kinana fisadi Msomali wa Meno ya Tembo,Mh Riz wa yale mambo yetu yanayoharibu vijana.Watu wa Escrow,Epa,wauzanyumba za serikali na ufisadi mwingine tutawafikisha mahakamani.
 
Chama hata hakieleweki kinasimamia misingi gani mara leo fisadi mara kesho sio fisadi wenda wazimu tu ndo wanaweza kukiunga mkono
 
List imeongezeka lakini kuna ambae amejitoa kwenye Chama cha Majambazi CCM ... Msafi amechomoka na sasa anawapa kibano MAFISADI CCM na vibaraka wao AGIZO LA CHAMA TAWALA ...
 
Kamuunge mkono rais wa barabara na fly over. Alafu bibi yako kijijini akopwe mazao.

Ndo mana nawaambiaga uwezo wenu mdogo wa kufikiri hyo lowasa ameeleza atatoa wapi pesa ya kununua mazao,au unafurahia maneno matupu.mwambieni aeleze kama wapi atatoa hzo pesa ,kwake yeye babu sea ndo muhimu kana kwamba hyo ndo ilani ya uchaguzi .embu muulizeni ni kwann babu sea peke yake ?unajua idadi ya watu waliofungwa kifungo cha maisha ,unafikiri wanafuraia kuskia babu sea ndo atatoka peke yake ,unajua ndugu za hao watu kwa kauli ya lowasa watapeleka wapi kura ,unajua idadi ya kura ukawa itakayo kosa kutokana na kauli hoyo.acha ushabiki changamsha kichwa
 
Leo hii ccm wanajinasibu Sana ati Edo fisadi kwenye list ya Dr slaa Edo ni wa9 watutajie ccm hawa1 hadi9 niwakina nani.
 
Na hiyo mahakama ya kufikirika kam siyo ya kusadikika ya Magufuli ianze na namba 1 hadi 8.
 
Leo hii ccm wanajinasibu Sana ati Edo fisadi kwenye list ya Dr slaa Edo ni wa9 watutajie ccm hawa1 hadi9 niwakina nani.

ahahahahahahahaha,kinana amemaliza tembo wetu wote,wakati baba riz ameamua kutoa kibali cha kusafirisha tembo na sembe hadi inakamatiwa south Africa sio mchezo hii nchi ya Tanzania ni zaidi ya uijuavyo lol
 
Leo hii ccm wanajinasibu Sana ati Edo fisadi kwenye list ya Dr slaa Edo ni wa9 watutajie ccm hawa1 hadi9 niwakina nani.
1-8 walitajwa na cdm wala sio ccm kwa hivyo jibu unalo. no. 9 umemtaja mwenyewe ni edo. sasa kwa nini edo tu? yeye anataka kua 'rais wa jamhuri' muasisi wa taifa aliweka kiwango cha juu kabisa cha uadilifu. mkazi wa ikulu asiwe mtu wa kutiliwa shaka.
 
Habari za muda huu wakuu.

Ningeomba kupata kujuzwa juu ya madai aliyoyatoa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Dr. Willibrod Peter Slaa na kupelekea kuweka hadharani madai hayo kwa kutengeneza Orodha iliyojulikana kama LIST OF SHAME.

Katika Orodha hiyo aliwataja viongozi wengi ambao wamo ndani ya Chama cha Mapinduzi kutokana na madai ya UFISADI na viongozi hao wengi wao bado wamo ndani ya Chama cha Mapinduzi mpaka hivi sasa.

Dr.W.Slaa. Ulisema hiyo list unayo na hao watu unawafaham kabisa kwa majina, haiyumkiniki kuacha kuwataja watu hao inapelekea kutuaminisha kuwa nini lilikuwa lengo lako ?.

Tulikuamini sana, sasa iko wapi IMANI yako juu raia wapenda HAKI NA MAENDELEO ?. Uko wapi UAMINIFU WAKO hii leo ?. Tutaendelea kukuamini tu kama utaweza kutuwekea bayana/hadharani majina ya watu hao ambao kwa NDIMI YAKO uliwaita kuwa ni MAFISADI, je nawe unawakumbatia ama ni vipi ?. Tuamini nini kwa kile tulichokiamini toka kwako tangu mwanzo ?. Mtu asemapo jambo kisha akashindwa kulidhihirisha kwa jina jepesi ataitwa ni MUONGO, sitaki kutumia jina hili kwako kwa,sababu litakuwa ni tusi kubwa kuliko hata kama ningekutukana bayana nikiamini wazi kuwa bado una muda na nafasi ya kututajia LIST hiyo.

Kwa kuwa ni mwanachama HAI wa JamiiForums ningependa niambatanishe nakala mojawapo kwako kama mada isemavyo...

NASHKURU SANA.


Cc Dr.W.Slaa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom