List of Shame: Mrema na Slaa wazungumzia Vigogo wa Ufisadi Tanzania

List of Shame: Mrema na Slaa wazungumzia Vigogo wa Ufisadi Tanzania

..... nimeshazungumzia sana ..

Umeshaanza kuchoka nini... pole sana mzee.... hukutegemea itakuwa this hard for you to sell propaganda za mwizi na mkoloni Rostam Azizi anayekutuma wewe usema kuwa mwizi na mkwepa kodi Edward Lowasa LAZIMA awe rais kwa vile tu ni mkristo na mmasai

Kapumzishe akili kidogo... computer unayotumia leo haionyeshi kama uko Tz kwani ilikuwa kidogo nikutakie usiku mwema!
 
mmh, naona jamaa amefanikiwa kuhamisha issue
kutoka kwa majina ya wabadhilifu na sasa
kuwa hoja za raisi wa tz 2015. kazi ipo!
 
mmh, naona jamaa amefanikiwa kuhamisha issue
kutoka kwa majina ya wabadhilifu na sasa
kuwa hoja za raisi wa tz 2015. kazi ipo!

Alichofanya hapa ni ku-expose zaidi kuwa Lowasa sio tu kuwa ni mwizi na mla rushwa.... bali pia ni mtu ambaye amepanga kuwa rais kwa LAZIMA hata kama watu wasipomchagua...
 
Kapumzishe akili kidogo... computer unayotumia leo haionyeshi kama uko Tz kwani ilikuwa kidogo nikutakie usiku mwema!

fanya utafiti on how to an extent telecommunication systems zetu bado ni based on infrastructure ya mkoloni. hosts zetu hapa bado nyingi ni za huko kwenu kupya majuu.
 
fanya utafiti on how to an extent telecommunication systems zetu bado ni based on infrastructure ya mkoloni. hosts zetu hapa bado nyingi ni za huko kwenu kupya majuu.

unajua ninachokiongelea hapa so endelea ku-play wengine na salamu zako toka Tanga huku ukitishia watu kuwa mwizi na mkwepa kodi Lowasa LAZIMA awe raisi regardless of chaguo la watu kwenye box la kupigia kura.....
 
Kweli kauri ya Kaka Mcha kwamba wananchi ni lazima wamchague yeyote aliye teuliwa na SISEMU inatueleza jambo lililo ilani ya uchaguzi ya SISEMU mara wakishindwa kutwa kigoda.

SISIEMU wakilala ngoma wanampango wa siri wa kuchochea purukushani kila kona.
Kwa taarifa yenu SISIEMU, Purukushani hizo mziandaazo tutwarudishia wenyewe nyuwani mwenu ili mfaidike ninyi na familia zenu na mpate kuyaona makzi yenu machungu na kuyakimbia mahekalu yenu.

Maana ya Lazima ni kufunga alternative zote na kuacha moja tu
"kiongozi(Rais) ni lazima atoke SISIEMU"

Maana ya Lazima Ni kuchochea vimaneno kupitia watendaji wa serikali walio zagaa kila Tarafa ,Kata na kijiji cha Tanzania ili kuwanyima Hiari wananchi, hiaria ambayo ni haki yao ya kuzaliwa.

Sasa tuna watuhumiwa wa kuhujumu Uchumi wa nchi yetu ambao ni lazima tuwafikishe kwenye vyombo vya sheria.
Majina yao ni mazito sana kiasi cha Watanzania walio wengi kushindwa kuyataja kwa sababu kila walijaribu ndimi zao zinajiviriga vnywani mwao kwa woga.
Wahariri wa magazeti nao hawawezi kuyaandika majina hayo kwa sababu mikono yao inakufa ganzi kwa hofu kuu ya kuangukiwa na ghadhabu, hasira na kiburi cha Riis na Waziri mkuu.

Ndugu zangu watanzania msihofu kuzungumza na kutaja majina ya Wezi hawa.
Jakaya Mrisho, Edward Lowassa na Timu yao nzima ya Maharamia 10 wa awali ni kenge tuliowaacha wakue na kuwa wakubwa kama Mamba kwa gharama ya kula mayai ya kuku wetu.

Toka lini Ukubwa wa kenge wamgeuza Mamba???
Kenge ni kenge alizaliwa kenge na atakufa Kenge!
Kenge nyie tunajua hila zenu na udhaifu wenu,
Tutawafuata tunduni mwenu na kuwanyofoa mnyoya na KENDE zenu mpaka mjue Tanzania ni ya Watanzania.

Katiba inaleta mizengwe kuhusu kumshitaki Rais wa nchi.
Kadri ya katiba yetu Rasi yuko juu ya Sheria awapo madarakani. Lakini wengine wote wako chini ya sheria. Watajitahidi sana kufurukuta kwa kununua Watanzania na hata baadhi yao kubana maslahi yao, au kuwanyima uwezo wa kufanya shughuli za kiuchumi na hata kuangamiza Roho zao.

Tukisema Lowassa mwizi maana yake kuna watu jalo ambao wanaguswa sehemu mbaya na kujazwa hasira za kiibilisi. Kwa maana hiyo watu wa kuwashughulikia watetezi wa Maendeleo ya Tanzania ni wengi sana. Mahabithi hawa wako tayari kutimiza azma zao chafu hata bila kulipwa ili mradi tu waendeleze utii wao haramu mbele ya mkuu( Lowassa).

Nikimwondoa Kikwete, ambaye Katiba ya nchi ina mpa kinga fulani ambayo ni ngumu kiasi kuipenya, wengine wote mlio tajwa jiandaeni kupanda ngazi za ofisi ya Pilato ndani ya miezi 12.

Huu si mzaha au kejeri ni kweli.
Hakika mtaonja ncha ya Msemeno wa sheria na hivyo vipesa vyenu msije dhani vitawasaidia.

What is better than Money?? LIFE.

Kumbukeni siku Sadam alipoopolewa kutoka kwenye shimo alikuwa amezikumbadia my dear $$$$$ zake.

Je mliona jinsi hela zilivyoshindwa kumsaidia?

Leo Nyie akina Lowassa mnatetea fedha Mamlaka na heshima zenu. Kesho inakuja ya kutetea uhai wenu kwa nguvu zenu zote na mali mtaiona si kitu.

Watu kutoka kila Idara ya serikali wamewachoka kabisa na matendo yenu maovu ya Kifisadi.
Sasa wa tayari kuwaumbua Maharamia nyie ambao lengo lenu ni kuharibu na kuua tu.

Bilauri mliyotumia kupima machungu na adha na kutunywesha kinyume cha hiari yetu, nanyi pia mtanywea kwa kipimo cha mara mbili ya machungu na adha zake.
 
unajua ninachokiongelea hapa so endelea ku-play wengine na salamu zako toka Tanga huku ukitishia watu kuwa mwizi na mkwepa kodi Lowasa LAZIMA awe raisi regardless of chaguo la watu kwenye box la kupigia kura.....

Ndio maana unakuwa mkali sana kwa sababu ni wewe mwenyene ndio unayetaka kuelewa hivyo. if you dont feel mwandosya or lowassa for 2015, do something about it now, not later. na kiwe kitu meaningful, sio kuishia kublog. atleast mimi ntapiga kura, wewe je? au kutakuja utaratibu wa kupigisha kura online?
 
.... atleast mimi ntapiga kura, wewe je? au kutakuja utaratibu wa kupigisha kura online?

Umeanza lini kuamini utaratibu wa kupiga kura wakati unampigia debe Lowasa kwa sababu ni mkristo na mmasai na ukiambiwa hivyo unatisha kuwa LAZIMA atakuwa rais....

I like changes kwenye tone.... umeanza kugundua kuwa nchi hii sio ile uliyoizoea miaka yote....

Lowasa ni mwizi, mla rushwa, na mkwepa kodi.... kwa fair game ya election hawezi kuwa raisi hata kama wewe utamwaga propaganda kiasi gani toka kwa mwizi na mkoloni hatari bosi wako Rostam Aziz.

Tanzania haiwezi kubaguliwa kwa udini na ukabila.... karudi tena mjipange upya
 
Wanachama wengi wa jamboforums inaonekana wanachukia rushwa sana na kila siku hulalamika hali ya maisha TZ ni kwa sababu ya viongozi wala rushwa na wazembe lakini kutokana na hii Topic nimesikitika sana na maoni ya wengi kuonekana kuwakosoa wale wanaopigana na rushwa kwa kisingizio cha ushahidi hakuna au siasa za udaku,pressure group,mkapa katulia anawacheka,wanatafuta umaarufu etc.

Hivi kwa akili na mawazo kama hayo mnawaonyesha nini hao wala rushwa ambao mnajua 100% wapo na wanaiba kweli kweli,poleni sana maana sioni mapambano ya rushwa yakifanikiwa kutokana na maoni kutoka humu ni ya kussuport rushwa.
 
Umeanza lini kuamini utaratibu wa kupiga kura wakati unampigia debe Lowasa kwa sababu ni mkristo na mmasai na ukiambiwa hivyo unatisha kuwa LAZIMA atakuwa rais....

I like changes kwenye tone.... umeanza kugundua kuwa nchi hii sio ile uliyoizoea miaka yote....

Lowasa ni mwizi, mla rushwa, na mkwepa kodi.... kwa fair game ya election hawezi kuwa raisi hata kama wewe utamwaga propaganda kiasi gani toka kwa mwizi na mkoloni hatari bosi wako Rostam Aziz.

Tanzania haiwezi kubaguliwa kwa udini na ukabila.... karudi tena mjipange upya

its not a change of tone, ninashuka matawi ili unielewe maana naona haya matawi ya mparachichi wewe kuyakwea inakuwa ngumu. usingevaa sketi.
 
its not a change of tone, ninashuka matawi ili unielewe maana naona haya matawi ya mparachichi wewe kuyakwea inakuwa ngumu. usingevaa sketi.

Kazi ninayofanya mimi watu hawaruhusiwi kuvaa sketi.... ila ya kwako naona sketi inafaa kabisa kuwa uniform....

Hayo matawi umezidiwa hoja.... Tanzania ya leo huwezi kusema with certainty kuwa rais wa Tanzania LAZIMA awe mkristo..
 
Mimi na kimini changu hiki natumia tu common sense kwamba kutokana na ratio ya ukristo na uislamu kuwa na tofauti ndogo, lazima kuwe na fair representation. and thats how it works in our country tanzania and it has been like that for quite sometime. huko kwenu sijui sana.
 
mimi na kimini changu hiki natumia tu common sense kwamba kutokana na ratio ya ukristo na uislamu kuwa na tofauti ndogo, lazima kuwe na fair representation. and thats how it works in our country tanzania and it has been like that for quite sometime. huko kwenu sijui sana.

And that's why vijana wa leo wasiovaa vimini wameamua kuachana na kasumba ya kuchagua viongozi wao kutokana na misingi ya ukabila na udini(kama unavyotaka wewe) bali kutokana na sifa, tabia, na uwezo wao wa kuongoza.....

The message is clear.... Propaganda zako za kutoka kwa Rostam Aziz kuwa Lowasa LAZIMA awe rais kwa vile ni mkristo zinakataliwa na kizazi kipya......
 
mimi na kimini changu hiki natumia tu common sense kwamba kutokana na ratio ya ukristo na uislamu kuwa na tofauti ndogo, lazima kuwe na fair representation. and thats how it works in our country tanzania and it has been like that for quite sometime. huko kwenu sijui sana.

....fair representation kwa kutumia udini? i assume is just a joke.
 
Koba quick task. Tafuta idadi ya RCs, DCs, Ministers hakafu uangalie idadi yao kwa kutumia majina yao,na mikoa yao. Unaweza kuona kuwa kila mkoa, dini(wakristo na waislamu) zina nafasi zinazowiana, Do you think it is a coincidence?
 
Issue ni kuwa na kiongozi anayefaa bila kujali dini yake... kama ni uwiano sawa kwenye viongozi wa mikoa.. that's fine.... lakini sio issue kuwa watanzania walazimishwe na mchambuzi na wenzake kuwa na rais ambaye ni mwizi, mla rushwa, na mkwepa kodi (Lowasa) eti kwa sababu tu ni mkristo na kuleta uwiano....
 
Hivi mtu akiitwa John Peter ina maana ni Mkristu, na anayeitwa Omari Abdallah ina maana ni Muislamu....?
 
Mwanakijiji bado tunasubiria mahojiano yako na Dr. Slaa,tuwekee KLH News.
 
Duh hii mpya sawa na mwanamke anayekubali kubakia ktk abuse relationship ati kwa sababu haoni mwanaume mwingine huko nje zaidi ya Mumewe!

Wengine wanaamua kubaki kwenye uhusiano wakitegemea mwanaume atabadilika na kurudi kuwa yule wa wakati wanakutana and ofcourse I love you always sounds nice.

Baadhi ya mafanikio ya pressure za Mtikila ni kuondolewa kwa Passport(kwa wabara kuingia Zanzibar) kwa hilo mimi nampongeza sana Mtikila. Hivi G55 ilianza makeke lini?

CCM itaendelea kushinda kwa sababu wanatumia ujinga/uelewa mdogo wa wapiga kura, sugar coated words(sera) tunahitaji katiba mpya na elimu ya uraia kwa wananchi hasa wale wa vijijini.
 
Back
Top Bottom