Kweli kauri ya Kaka Mcha kwamba wananchi ni lazima wamchague yeyote aliye teuliwa na SISEMU inatueleza jambo lililo ilani ya uchaguzi ya SISEMU mara wakishindwa kutwa kigoda.
SISIEMU wakilala ngoma wanampango wa siri wa kuchochea purukushani kila kona.
Kwa taarifa yenu SISIEMU, Purukushani hizo mziandaazo tutwarudishia wenyewe nyuwani mwenu ili mfaidike ninyi na familia zenu na mpate kuyaona makzi yenu machungu na kuyakimbia mahekalu yenu.
Maana ya Lazima ni kufunga alternative zote na kuacha moja tu
"kiongozi(Rais) ni lazima atoke SISIEMU"
Maana ya Lazima Ni kuchochea vimaneno kupitia watendaji wa serikali walio zagaa kila Tarafa ,Kata na kijiji cha Tanzania ili kuwanyima Hiari wananchi, hiaria ambayo ni haki yao ya kuzaliwa.
Sasa tuna watuhumiwa wa kuhujumu Uchumi wa nchi yetu ambao ni lazima tuwafikishe kwenye vyombo vya sheria.
Majina yao ni mazito sana kiasi cha Watanzania walio wengi kushindwa kuyataja kwa sababu kila walijaribu ndimi zao zinajiviriga vnywani mwao kwa woga.
Wahariri wa magazeti nao hawawezi kuyaandika majina hayo kwa sababu mikono yao inakufa ganzi kwa hofu kuu ya kuangukiwa na ghadhabu, hasira na kiburi cha Riis na Waziri mkuu.
Ndugu zangu watanzania msihofu kuzungumza na kutaja majina ya Wezi hawa.
Jakaya Mrisho, Edward Lowassa na Timu yao nzima ya Maharamia 10 wa awali ni kenge tuliowaacha wakue na kuwa wakubwa kama Mamba kwa gharama ya kula mayai ya kuku wetu.
Toka lini Ukubwa wa kenge wamgeuza Mamba???
Kenge ni kenge alizaliwa kenge na atakufa Kenge!
Kenge nyie tunajua hila zenu na udhaifu wenu,
Tutawafuata tunduni mwenu na kuwanyofoa mnyoya na KENDE zenu mpaka mjue Tanzania ni ya Watanzania.
Katiba inaleta mizengwe kuhusu kumshitaki Rais wa nchi.
Kadri ya katiba yetu Rasi yuko juu ya Sheria awapo madarakani. Lakini wengine wote wako chini ya sheria. Watajitahidi sana kufurukuta kwa kununua Watanzania na hata baadhi yao kubana maslahi yao, au kuwanyima uwezo wa kufanya shughuli za kiuchumi na hata kuangamiza Roho zao.
Tukisema Lowassa mwizi maana yake kuna watu jalo ambao wanaguswa sehemu mbaya na kujazwa hasira za kiibilisi. Kwa maana hiyo watu wa kuwashughulikia watetezi wa Maendeleo ya Tanzania ni wengi sana. Mahabithi hawa wako tayari kutimiza azma zao chafu hata bila kulipwa ili mradi tu waendeleze utii wao haramu mbele ya mkuu( Lowassa).
Nikimwondoa Kikwete, ambaye Katiba ya nchi ina mpa kinga fulani ambayo ni ngumu kiasi kuipenya, wengine wote mlio tajwa jiandaeni kupanda ngazi za ofisi ya Pilato ndani ya miezi 12.
Huu si mzaha au kejeri ni kweli.
Hakika mtaonja ncha ya Msemeno wa sheria na hivyo vipesa vyenu msije dhani vitawasaidia.
What is better than Money?? LIFE.
Kumbukeni siku Sadam alipoopolewa kutoka kwenye shimo alikuwa amezikumbadia my dear $$$$$ zake.
Je mliona jinsi hela zilivyoshindwa kumsaidia?
Leo Nyie akina Lowassa mnatetea fedha Mamlaka na heshima zenu. Kesho inakuja ya kutetea uhai wenu kwa nguvu zenu zote na mali mtaiona si kitu.
Watu kutoka kila Idara ya serikali wamewachoka kabisa na matendo yenu maovu ya Kifisadi.
Sasa wa tayari kuwaumbua Maharamia nyie ambao lengo lenu ni kuharibu na kuua tu.
Bilauri mliyotumia kupima machungu na adha na kutunywesha kinyume cha hiari yetu, nanyi pia mtanywea kwa kipimo cha mara mbili ya machungu na adha zake.