Jemima Jackson
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 748
- 934
Sijui watu wanasema ni CAG.i can see, nani huyo?
Jina kama unajua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui watu wanasema ni CAG.i can see, nani huyo?
Jina kama unajua.
Kusema ukweli Jiwe ndiye ameitia hasara kubwa taifa hiliUmepuyanga.
Andiko lina msukumo wa hasira dhidi ya JPM na Mahaba dhidi ya CHADEMA.
Hapo ndipo intellectual wengi huonekana ama kutoonekana. Kwa ulichoandika IQ yako ni ndogo.
1. Mf. Unadai Control number is nonsense.
2. Bilicans kuvunjwa is nonsense.
3. Uwepo wa TACAIDS ni nonsense.
Kwa kifupi akili yako ni ndooogo sana haijai hata kisoda mkuu. Kwaheri
Kuna mjumbe alikimbia Bunge la Katiba au Mstaafu wa Njia panda ya Moro na Moshi alivunja?Waliokimbia Bunge la Katiba huku wakiwa wamelipwa Posho zote
Msonga gang mpaka walijenga International Airport ChatoMsoga gang ndo wafilisi wakubwa wa nchi hii
Hizi nazo ni majanga ningekuwa nauwezo ningezifuta.aliyeanzisha Simba na yanga hizi timu zipo kisiasa hili kuwafanya vijana kuwaza mpira 24/7 huku wao viongozi wakigawiana vyeo na watoto BOT n.k
Update 2040:LIST OF SHAME.
Watu ambao wamesababishia taifa hasara kubwa, hasara isiyolipika:
Nafasi zao ama kisiasa ama kiserekali kama watendaji wamesababisha hasara itaayolipwa na vizazi vyote Tanganyika.
Wenza wao wapo shopping dubai na Instanbul na wanapanda ndege VIP Class kwa fedha na hasara walizowasababishia.
Sifahamu majina ila nitataja miradi, wewe nitajie majina ili vizazi vijavyo vijue .
1. Aliyetoa agizo kujenga UDART katikati ya Bwawa [Pale Jangwani-Dar es salaam]
2. Aliyewaingiza COVID -19 Bungeni huku akijua hawana chama na wamefukuzwa.
3. Aliyefungia Burea De change na kuchua fedha za kigeni toka kwao.
4. EPA-waliojichotea fedha za EPA.
5. Waliokula fedha za ESCROW.
6. Mkurugenzi wa Shirika la Jamii lililojenga nyumba za Kigamboni, lile Daraja la kigamboni na nyumba
zakuishi..
7. Aliyeleta mfumo wa control number kwenye serikali, anajua alipopigia.
8. Aliyekuwa DG wa NIDA kabla ya Kipilimba, huyu anajua kuwapa watu namba ila hachapishi kadi, anajua
alichofanya.
9. mkurugenzi wa UDART-hapa kuna hhata za EPA.
10. Msimamizi mkuu wa Kivuko pale Ferry, kwa siku kinaingiza zaidi ya 45 milion, uliza zilizokuwa zinaingia
serikalini.
11. Aliyeuza nyumb za serikali, nyumba anakaa mtu ambaye tayari ana nyumba 10 na anauziwa kwa bei ya
suti moja pale mlimani city, yeye baada ya hapo anauza kwa bilions..
12. Aliyependekeza wenza wa wastaafu wapewe mafao, as if huyo mstafu anakulaga mafao yake
mwenyewe.[ubinafsi].
13.Mkurugenzi anayeendelea kungangania TACAIDS, mambo ya ukimwi yalishapita ila wna mishahara
minono isiyo na kazi.
14. Mkurugenzi wa NHC aliyemvunjia Freeman Mbowe ile Club Billicanas.
15. Kiongozi mwenye mradi wa ombaomba Dar-anawachukua wagogo na kuwapanga barabarani na kwa
siku inasemekana anakusanya zaidi ya milioni moja.
16. Mkurugezni/TANROAD/JIJI ambaye hataki kutengeneza TOUR DRIVE ambapo viongozi wote nchini
wanaishi masaki na kubaki na viraka ambavyo wanatenga fungu la kuviziba kila bada ya miezi miwili,
uzibaji wa viraka barabarani ni kichaka cha upigaji kuliko majambazi wanaoiba benki.
17. Mayor/ Mkurugenzi/Land officers wanaogawana vwanja alafu ndio wanatsangaza.
18. Mkurugenzi wa Kinondoni ambaye aligawa vibanda vya biashara pale Stendi mpya ya Mwenge na
mfanyabiashara mkubwa ambaye pia ni mdhamini wa timu kubwa ya mpita hapa Tanganyika.
Mbaya zaidi wakawadanganya wanyonge wa-bid kwenye mtandao ambapo huo mtandao
haukufunguka mpaka siku ya mwisho wa mnada wa vibanda, kwa kifupi vibanda vyote pale Stendi
mwenge vinamilikiwa na watu wasiozidi watano. Mawaziri na Wabunge wamekosa vya kuwapa
vimada wao.
19. Aliyeanzisha biashara ya kununua wabunge[kuunga mkono juhudi]na kurudia chaguzi kwa mbunge yule yule akiyejiuzulu, Mfano Pauline Gekul alijiuzulu ubunge akahamia CCM na uchaguzi ukafanyika, uligharimu bilion 2 , yani!
20. Aliyeanzisha mbuga BURIGI-CHATO na kukamata Simba, chui, Nyati huko Arusha na kuwahamishia CHATO, mbuga imekufa, wanyama wamekimbia na utawala wa sasa umeifuta mbuga na kuifanya kuwa pori la akiba kama zamani-yaani!
21. Aliyetoa wazo na aliyeingiza viwanja vya mpira vya wananchi kwenye chama, yaani viwanja vyote vyam mpira nchini vilikuwa vya wananchi, mwaka 1977 mhusika flani akaviingiza kuwa vya chama.
22. Wastafu mpaka wanaingia kaburini hawatakaa kusahau aliyeleta kikokotoo, yeye akistaafu anapata mafao yake kabla hata hajakabidhi nyumba na gari la serikali ila wenzake ambao ndio madaktari bingwa , wanajeshi, walimu na wafagzi wa barabara wasunbiri mapaka miaka 60.
23. Aliyefuta Bima ya afya [NHIF] kwa watoto.
24. Mayor aliyeruhusu na kutoa vibali vya ukarabati nyumba za udongo ndani ya manisapa ya Moshi, Nyumba za Mbuyuni, Kiusa , Uswahilini na First and last , watu hawajengi tena maghorofa badala yake wanakarabati kwa chokaa nyumba zilizochaka.
........itaendelea.
Una ,mwanasheria?Update 2040:
1. Aliyesaini/aliyesimamia Tanzania kuingia mkataba na Dpw.
Unakiherehere kama mkojo wa asubuhi.Ununuzi wa magari mabovu ya Chadema, na ununuzi wa jengo la Chadema masaki kwa bei ya kutupa, na pia kulipia Kodi ya nyumba ya ufipa iliyomilikiwa na mtei, Kodi ya pale ni sawa na masaki au ostabei
Pale Kuna ruzuku, ni Kodi zetuUnakiherehere kama mkojo wa asubuhi.
Soma headings, HASARA za CHADEMA ni za Taifa?
"ostabei" ni kitu gani?
Gari lipi la CHADEMA ni bovu?
Ulitaka wakakodi pale Lumumba?
Nieleweshe kaliinguza Taifa mkenge na vizazi vijavyo?Kiongozi wa CDM anayekodi helkopta za kutumiwa katika mikutano ya cdm halafu Cha juu anawekewa kwenye akaunti zake za Nairobi, na Sasa kaporomosha ghorofa kubwa..
Hili ni janga kubwa sanaaliyeanzisha Simba na yanga hizi timu zipo kisiasa hili kuwafanya vijana kuwaza mpira 24/7 huku wao viongozi wakigawiana vyeo na watoto BOT n.k
Hata mbowe pia yumo maana alijigawia jengo la NHCLIST OF SHAME.
Watu ambao wamesababishia taifa hasara kubwa, hasara isiyolipika:
Nafasi zao ama kisiasa ama kiserekali kama watendaji wamesababisha hasara itaayolipwa na vizazi vyote Tanganyika.
Wenza wao wapo shopping dubai na Instanbul na wanapanda ndege VIP Class kwa fedha na hasara walizowasababishia.
Sifahamu majina ila nitataja miradi, wewe nitajie majina ili vizazi vijavyo vijue .
1. Aliyetoa agizo kujenga UDART katikati ya Bwawa [Pale Jangwani-Dar es salaam]
2. Aliyewaingiza COVID -19 Bungeni huku akijua hawana chama na wamefukuzwa.
3. Aliyefungia Burea De change na kuchua fedha za kigeni toka kwao.
4. EPA-waliojichotea fedha za EPA.
5. Waliokula fedha za ESCROW.
6. Mkurugenzi wa Shirika la Jamii lililojenga nyumba za Kigamboni, lile Daraja la kigamboni na nyumba
zakuishi..
7. Aliyeleta mfumo wa control number kwenye serikali, anajua alipopigia.
8. Aliyekuwa DG wa NIDA kabla ya Kipilimba, huyu anajua kuwapa watu namba ila hachapishi kadi, anajua
alichofanya.
9. mkurugenzi wa UDART-hapa kuna hhata za EPA.
10. Msimamizi mkuu wa Kivuko pale Ferry, kwa siku kinaingiza zaidi ya 45 milion, uliza zilizokuwa zinaingia
serikalini.
11. Aliyeuza nyumb za serikali, nyumba anakaa mtu ambaye tayari ana nyumba 10 na anauziwa kwa bei ya
suti moja pale mlimani city, yeye baada ya hapo anauza kwa bilions..
12. Aliyependekeza wenza wa wastaafu wapewe mafao, as if huyo mstafu anakulaga mafao yake
mwenyewe.[ubinafsi].
13.Mkurugenzi anayeendelea kungangania TACAIDS, mambo ya ukimwi yalishapita ila wna mishahara
minono isiyo na kazi.
14. Mkurugenzi wa NHC aliyemvunjia Freeman Mbowe ile Club Billicanas.
15. Kiongozi mwenye mradi wa ombaomba Dar-anawachukua wagogo na kuwapanga barabarani na kwa
siku inasemekana anakusanya zaidi ya milioni moja.
16. Mkurugezni/TANROAD/JIJI ambaye hataki kutengeneza TOUR DRIVE ambapo viongozi wote nchini
wanaishi masaki na kubaki na viraka ambavyo wanatenga fungu la kuviziba kila bada ya miezi miwili,
uzibaji wa viraka barabarani ni kichaka cha upigaji kuliko majambazi wanaoiba benki.
17. Mayor/ Mkurugenzi/Land officers wanaogawana vwanja alafu ndio wanatsangaza.
18. Mkurugenzi wa Kinondoni ambaye aligawa vibanda vya biashara pale Stendi mpya ya Mwenge na
mfanyabiashara mkubwa ambaye pia ni mdhamini wa timu kubwa ya mpita hapa Tanganyika.
Mbaya zaidi wakawadanganya wanyonge wa-bid kwenye mtandao ambapo huo mtandao
haukufunguka mpaka siku ya mwisho wa mnada wa vibanda, kwa kifupi vibanda vyote pale Stendi
mwenge vinamilikiwa na watu wasiozidi watano. Mawaziri na Wabunge wamekosa vya kuwapa
vimada wao.
19. Aliyeanzisha biashara ya kununua wabunge[kuunga mkono juhudi]na kurudia chaguzi kwa mbunge yule yule akiyejiuzulu, Mfano Pauline Gekul alijiuzulu ubunge akahamia CCM na uchaguzi ukafanyika, uligharimu bilion 2 , yani!
20. Aliyeanzisha mbuga BURIGI-CHATO na kukamata Simba, chui, Nyati huko Arusha na kuwahamishia CHATO, mbuga imekufa, wanyama wamekimbia na utawala wa sasa umeifuta mbuga na kuifanya kuwa pori la akiba kama zamani-yaani!
21. Aliyetoa wazo na aliyeingiza viwanja vya mpira vya wananchi kwenye chama, yaani viwanja vyote vyam mpira nchini vilikuwa vya wananchi, mwaka 1977 mhusika flani akaviingiza kuwa vya chama.
22. Wastafu mpaka wanaingia kaburini hawatakaa kusahau aliyeleta kikokotoo, yeye akistaafu anapata mafao yake kabla hata hajakabidhi nyumba na gari la serikali ila wenzake ambao ndio madaktari bingwa , wanajeshi, walimu na wafagzi wa barabara wasunbiri mapaka miaka 60.
23. Aliyefuta Bima ya afya [NHIF] kwa watoto.
24. Mayor aliyeruhusu na kutoa vibali vya ukarabati nyumba za udongo ndani ya manisapa ya Moshi, Nyumba za Mbuyuni, Kiusa , Uswahilini na First and last , watu hawajengi tena maghorofa badala yake wanakarabati kwa chokaa nyumba zilizochaka.
........itaendelea.
Akiwa mkurugenze au ilikuwaje tupe ubuyu?Hata mbowe pia yumo maana alijigawia jengo la NHC
Akiwa mkurungenza wa NHC au ilikuwaje tupe ubuyu.Hata mbowe pia yumo maana alijigawia jengo la NHC
Ndio, Hela ya chama ingewekwa hapa nchini, Kila siku kukodi tuNieleweshe kaliinguza Taifa mkenge na vizazi vijavyo?
Okay,Hata mbowe pia yumo maana alijigawia jengo la NHC
Unajibizana na mbumbumbu.Akiwa mkurungenza wa NHC au ilikuwaje tupe ubuyu.