chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Niko sawa mkuuMkuu una shida gani kichwani au wewe uko sawa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niko sawa mkuuMkuu una shida gani kichwani au wewe uko sawa?
Hapa hata mimi nimemshangaaMfumo wa control number ni mfumo bora sana kudhibiti wizi mdogo mdogo.
Utakuwa umemmiss mumeoYaani ni sawa na kusema wewe pia ni mwanaume
Kila mtu anataja ujazuiwa kutaja asira za nini?Hujataja Bandari, LOLIONDO wala TOZO.
Wewe ni MUHUNI tu.
Wewe hujammis wako?Utakuwa umemmiss mumeo
Bila kuwataja hawa, hasa kiongozi wao Jakaya Mrisho Kikwete kwa jina, list of shame yote inakuwa batili.Msoga gang ndo wafilisi wakubwa wa nchi hii
Ila naona IQ yako ndogo sana,LIST OF SHAME.
Watu ambao wamesababishia taifa hasara kubwa, hasara isiyolipika:
Nafasi zao ama kisiasa ama kiserekali kama watendaji wamesababisha hasara itaayolipwa na vizazi vyote Tanganyika.
Wenza wao wapo shopping dubai na Instanbul na wanapanda ndege VIP Class kwa fedha na hasara walizowasababishia.
Sifahamu majina ila nitataja miradi, wewe nitajie majina ili vizazi vijavyo vijue .
1. Aliyetoa agizo kujenga UDART katikati ya Bwawa [Pale Jangwani-Dar es salaam]
2. Aliyewaingiza COVID -19 Bungeni huku akijua hawana chama na wamefukuzwa.
3. Aliyefungia Burea De change na kuchua fedha za kigeni toka kwao.
4. EPA-waliojichotea fedha za EPA.
5. Waliokula fedha za ESCROW.
6. Mkurugenzi wa Shirika la Jamii lililojenga nyumba za Kigamboni, lile Daraja la kigamboni na nyumba
zakuishi..
7. Aliyeleta mfumo wa control number kwenye serikali, anajua alipopigia.
8. Aliyekuwa DG wa NIDA kabla ya Kipilimba, huyu anajua kuwapa watu namba ila hachapishi kadi, anajua
alichofanya.
9. mkurugenzi wa UDART-hapa kuna hhata za EPA.
10. Msimamizi mkuu wa Kivuko pale Ferry, kwa siku kinaingiza zaidi ya 45 milion, uliza zilizokuwa zinaingia
serikalini.
11. Aliyeuza nyumb za serikali, nyumba anakaa mtu ambaye tayari ana nyumba 10 na anauziwa kwa bei ya
suti moja pale mlimani city, yeye baada ya hapo anauza kwa bilions..
12. Aliyependekeza wenza wa wastaafu wapewe mafao, as if huyo mstafu anakulaga mafao yake
mwenyewe.[ubinafsi].
13.Mkurugenzi anayeendelea kungangania TACAIDS, mambo ya ukimwi yalishapita ila wna mishahara
minono isiyo na kazi.
14. Mkurugenzi wa NHC aliyemvunjia Freeman Mbowe ile Club Billicanas.
15. Kiongozi mwenye mradi wa ombaomba Dar-anawachukua wagogo na kuwapanga barabarani na kwa
siku inasemekana anakusanya zaidi ya milioni moja.
16. Mkurugezni/TANROAD/JIJI ambaye hataki kutengeneza TOUR DRIVE ambapo viongozi wote nchini
wanaishi masaki na kubaki na viraka ambavyo wanatenga fungu la kuviziba kila bada ya miezi miwili,
uzibaji wa viraka barabarani ni kichaka cha upigaji kuliko majambazi wanaoiba benki.
17. Mayor/ Mkurugenzi/Land officers wanaogawana vwanja alafu ndio wanatsangaza.
18. Mkurugenzi wa Kinondoni ambaye aligawa vibanda vya biashara pale Stendi mpya ya Mwenge na
mfanyabiashara mkubwa ambaye pia ni mdhamini wa timu kubwa ya mpita hapa Tanganyika.
Mbaya zaidi wakawadanganya wanyonge wa-bid kwenye mtandao ambapo huo mtandao
haukufunguka mpaka siku ya mwisho wa mnada wa vibanda, kwa kifupi vibanda vyote pale Stendi
mwenge vinamilikiwa na watu wasiozidi watano. Mawaziri na Wabunge wamekosa vya kuwapa
vimada wao.
19. Aliyeanzisha biashara ya kununua wabunge[kuunga mkono juhudi]na kurudia chaguzi kwa mbunge yule yule akiyejiuzulu, Mfano Pauline Gekul alijiuzulu ubunge akahamia CCM na uchaguzi ukafanyika, uligharimu bilion 2 , yani!
20. Aliyeanzisha mbuga BURIGI-CHATO na kukamata Simba, chui, Nyati huko Arusha na kuwahamishia CHATO, mbuga imekufa, wanyama wamekimbia na utawala wa sasa umeifuta mbuga na kuifanya kuwa pori la akiba kama zamani-yaani!
21. Aliyetoa wazo na aliyeingiza viwanja vya mpira vya wananchi kwenye chama, yaani viwanja vyote vyam mpira nchini vilikuwa vya wananchi, mwaka 1977 mhusika flani akaviingiza kuwa vya chama.
22. Wastafu mpaka wanaingia kaburini hawatakaa kusahau aliyeleta kikokotoo, yeye akistaafu anapata mafao yake kabla hata hajakabidhi nyumba na gari la serikali ila wenzake ambao ndio madaktari bingwa , wanajeshi, walimu na wafagzi wa barabara wasunbiri mapaka miaka 60.
23. Aliyefuta Bima ya afya [NHIF] kwa watoto.
24. Mayor aliyeruhusu na kutoa vibali vya ukarabati nyumba za udongo ndani ya manisapa ya Moshi, Nyumba za Mbuyuni, Kiusa , Uswahilini na First and last , watu hawajengi tena maghorofa badala yake wanakarabati kwa chokaa nyumba zilizochaka.
25. Dalali aliyezunguka Dubai na kwengineko kushadadia uuzwaji wa Bandari, aka aibika bada ya Terms kubadilishwa na kuwekwa ukomo wa miaka 30.
26.Aliyeuza Wanyama pori Uarabuni, waarabu wakafungua park huko kwao na kutolinda reslimali zetu.
27. Aliyeuza Coco Beach kwa Mdhamini wa Yanga japo Baadae ilikuja kurudishwa.
28. Aliyeua kiwanda cha Matairi Arusha [General Tyre] na kuanzsha kampuni yake ya kuagiza matairi nje ya nchi .
29. Aliyekuwa mwenyekiti wa PSRC akishirikiana na waziri kumnyima Reginald Mengi kilimanajro Kempisky , kuacha Embassy Hotel inaoza pale Posta Dar es salaam
........itaendelea.
Kuna sehemu nilisema humu nchi yetu bado ni changa. Hatujawa na uchumi na system ya kuanza kuipa michezo na sanaa kipaumbele. Marekani na Ulaya wanajadili ushoga, sanaa na michezo kwa sababu hawana shida ndogondogo. Sasa tupo katika nchi ambayo haina miundombinu ya uhakika. Mvua ikinyesha mambo hayaendi. Halafu ukiangalia mitandaoni na magazeti kinachojadiliwa ni mpira na wasanii. Huku Serikalini wafu wanapeana vyeo na kujibebea ugali wao. Serikali inaongozwa kishabiki badala ya kitaaluma.aliyeanzisha Simba na yanga hizi timu zipo kisiasa hili kuwafanya vijana kuwaza mpira 24/7 huku wao viongozi wakigawiana vyeo na watoto BOT n.k
Kaka mwenye IQ kubwa asante na naomba yafuatayo:-Ila naona IQ yako ndogo sana,
Mnatumia nguvu kubwa sana kumtukana na kumchafua marehemu ila bado sana. JPM ayupo ila bado mnapata tabu sana kwa mambo yake na legacy yake.
King toka tanganyika ipate uhuru, kwa mtazamowangu mimi naona JPM ni bola ya maraisi wote wa Tanganyika. Maana ktk uhuru walikuwa wengi walihusika ila mmoja ndo alitaka aonekane peke yake ndomana nmemtoa, sky na wengine wengi wazee walipambania uhuru.
JPM alikuwa jiwe kweli 📌, ila nadhani ndo mwanzo wa kuja jpm wengine wengi mbeleni uko. Team team zote hizo zitaisha. Muda muhimu sana .......
Kuna sehemu nilisema humu nchi yetu bado ni changa. Hatujawa na uchumi na system ya kuanza kuipa michezo na sanaa kipaumbele. Marekani na Ulaya wanajadili ushoga, sanaa na michezo kwa sababu hawana shida ndogondogo. Sasa tupo katika nchi ambayo haina miundombinu ya uhakika. Mvua ikinyesha mambo hayaendi. Halafu ukiangalia mitandaoni na magazeti kinachojadiliwa ni mpira na wasanii. Huku Serikalini wafu wanapeana vyeo na kujibebea ugali wao. Serikali inaongozwa kishabiki badala ya kitaaluma.
LIST OF SHAME.
Watu ambao wamesababishia taifa hasara kubwa, hasara isiyolipika:
Nafasi zao ama kisiasa ama kiserekali kama watendaji wamesababisha hasara itaayolipwa na vizazi vyote Tanganyika.
Wenza wao wapo shopping dubai na Instanbul na wanapanda ndege VIP Class kwa fedha na hasara walizowasababishia.
Sifahamu majina ila nitataja miradi, wewe nitajie majina ili vizazi vijavyo vijue .
1. Aliyetoa agizo kujenga UDART katikati ya Bwawa [Pale Jangwani-Dar es salaam]
2. Aliyewaingiza COVID -19 Bungeni huku akijua hawana chama na wamefukuzwa.
3. Aliyefungia Burea De change na kuchua fedha za kigeni toka kwao.
4. EPA-waliojichotea fedha za EPA.
5. Waliokula fedha za ESCROW.
6. Mkurugenzi wa Shirika la Jamii lililojenga nyumba za Kigamboni, lile Daraja la kigamboni na nyumba
zakuishi..
7. Aliyeleta mfumo wa control number kwenye serikali, anajua alipopigia.
8. Aliyekuwa DG wa NIDA kabla ya Kipilimba, huyu anajua kuwapa watu namba ila hachapishi kadi, anajua
alichofanya.
9. mkurugenzi wa UDART-hapa kuna hhata za EPA.
10. Msimamizi mkuu wa Kivuko pale Ferry, kwa siku kinaingiza zaidi ya 45 milion, uliza zilizokuwa zinaingia
serikalini.
11. Aliyeuza nyumb za serikali, nyumba anakaa mtu ambaye tayari ana nyumba 10 na anauziwa kwa bei ya
suti moja pale mlimani city, yeye baada ya hapo anauza kwa bilions..
12. Aliyependekeza wenza wa wastaafu wapewe mafao, as if huyo mstafu anakulaga mafao yake
mwenyewe.[ubinafsi].
13.Mkurugenzi anayeendelea kungangania TACAIDS, mambo ya ukimwi yalishapita ila wna mishahara
minono isiyo na kazi.
14. Mkurugenzi wa NHC aliyemvunjia Freeman Mbowe ile Club Billicanas.
15. Kiongozi mwenye mradi wa ombaomba Dar-anawachukua wagogo na kuwapanga barabarani na kwa
siku inasemekana anakusanya zaidi ya milioni moja.
16. Mkurugezni/TANROAD/JIJI ambaye hataki kutengeneza TOUR DRIVE ambapo viongozi wote nchini
wanaishi masaki na kubaki na viraka ambavyo wanatenga fungu la kuviziba kila bada ya miezi miwili,
uzibaji wa viraka barabarani ni kichaka cha upigaji kuliko majambazi wanaoiba benki.
17. Mayor/ Mkurugenzi/Land officers wanaogawana vwanja alafu ndio wanatsangaza.
18. Mkurugenzi wa Kinondoni ambaye aligawa vibanda vya biashara pale Stendi mpya ya Mwenge na
mfanyabiashara mkubwa ambaye pia ni mdhamini wa timu kubwa ya mpita hapa Tanganyika.
Mbaya zaidi wakawadanganya wanyonge wa-bid kwenye mtandao ambapo huo mtandao
haukufunguka mpaka siku ya mwisho wa mnada wa vibanda, kwa kifupi vibanda vyote pale Stendi
mwenge vinamilikiwa na watu wasiozidi watano. Mawaziri na Wabunge wamekosa vya kuwapa
vimada wao.
19. Aliyeanzisha biashara ya kununua wabunge[kuunga mkono juhudi]na kurudia chaguzi kwa mbunge yule yule akiyejiuzulu, Mfano Pauline Gekul alijiuzulu ubunge akahamia CCM na uchaguzi ukafanyika, uligharimu bilion 2 , yani!
20. Aliyeanzisha mbuga BURIGI-CHATO na kukamata Simba, chui, Nyati huko Arusha na kuwahamishia CHATO, mbuga imekufa, wanyama wamekimbia na utawala wa sasa umeifuta mbuga na kuifanya kuwa pori la akiba kama zamani-yaani!
21. Aliyetoa wazo na aliyeingiza viwanja vya mpira vya wananchi kwenye chama, yaani viwanja vyote vyam mpira nchini vilikuwa vya wananchi, mwaka 1977 mhusika flani akaviingiza kuwa vya chama.
22. Wastafu mpaka wanaingia kaburini hawatakaa kusahau aliyeleta kikokotoo, yeye akistaafu anapata mafao yake kabla hata hajakabidhi nyumba na gari la serikali ila wenzake ambao ndio madaktari bingwa , wanajeshi, walimu na wafagzi wa barabara wasunbiri mapaka miaka 60.
23. Aliyefuta Bima ya afya [NHIF] kwa watoto.
24. Mayor aliyeruhusu na kutoa vibali vya ukarabati nyumba za udongo ndani ya manisapa ya Moshi, Nyumba za Mbuyuni, Kiusa , Uswahilini na First and last , watu hawajengi tena maghorofa badala yake wanakarabati kwa chokaa nyumba zilizochaka.
25. Dalali aliyezunguka Dubai na kwengineko kushadadia uuzwaji wa Bandari, aka aibika bada ya Terms kubadilishwa na kuwekwa ukomo wa miaka 30.
26.Aliyeuza Wanyama pori Uarabuni, waarabu wakafungua park huko kwao na kutolinda reslimali zetu.
27. Aliyeuza Coco Beach kwa Mdhamini wa Yanga japo Baadae ilikuja kurudishwa.
28. Aliyeua kiwanda cha Matairi Arusha [General Tyre] na kuanzsha kampuni yake ya kuagiza matairi nje ya nchi .
29. Aliyekuwa mwenyekiti wa PSRC akishirikiana na waziri kumnyima Reginald Mengi kilimanajro Kempisky , kuacha Embassy Hotel inaoza pale Posta Dar es salaam
........itaendelea.
Kwa hakikaBila kuwataja hawa, hasa kiongozi wao Jakaya Mrisho Kikwete kwa jina, list of shame yote inakuwa batili.
Vipi unataka nikugawie, bahati mbaya hatumii magashoWewe hujammis wako?
Ila anakutumia wewe, au siyoVipi unataka nikugawie, bahati mbaya hatumii magasho
No. 23 hivi BIMA Kwa watoto imefutwa..? Msaada ndg. Zangu.LIST OF SHAME.
Watu ambao wamesababishia taifa hasara kubwa, hasara isiyolipika:
Nafasi zao ama kisiasa ama kiserekali kama watendaji wamesababisha hasara itaayolipwa na vizazi vyote Tanganyika.
Wenza wao wapo shopping dubai na Instanbul na wanapanda ndege VIP Class kwa fedha na hasara walizowasababishia.
Sifahamu majina ila nitataja miradi, wewe nitajie majina ili vizazi vijavyo vijue .
1. Aliyetoa agizo kujenga UDART katikati ya Bwawa [Pale Jangwani-Dar es salaam]
2. Aliyewaingiza COVID -19 Bungeni huku akijua hawana chama na wamefukuzwa.
3. Aliyefungia Burea De change na kuchua fedha za kigeni toka kwao.
4. EPA-waliojichotea fedha za EPA.
5. Waliokula fedha za ESCROW.
6. Mkurugenzi wa Shirika la Jamii lililojenga nyumba za Kigamboni, lile Daraja la kigamboni na nyumba
zakuishi..
7. Aliyeleta PF-3 ndio utibiwe jeraha au ajali, watu wengi wanakufa wakisubiri hii kitu.