Ila naona IQ yako ndogo sana,
Mnatumia nguvu kubwa sana kumtukana na kumchafua marehemu ila bado sana. JPM ayupo ila bado mnapata tabu sana kwa mambo yake na legacy yake.
King toka tanganyika ipate uhuru, kwa mtazamowangu mimi naona JPM ni bola ya maraisi wote wa Tanganyika. Maana ktk uhuru walikuwa wengi walihusika ila mmoja ndo alitaka aonekane peke yake ndomana nmemtoa, sky na wengine wengi wazee walipambania uhuru.
JPM alikuwa jiwe kweli 📌, ila nadhani ndo mwanzo wa kuja jpm wengine wengi mbeleni uko. Team team zote hizo zitaisha. Muda muhimu sana .......