List of Shame ya waliosababishia hasara Tanzania. Taja uwajuao

Kusema ukweli Jiwe ndiye ameitia hasara kubwa taifa hili
 
Waliokimbia Bunge la Katiba huku wakiwa wamelipwa Posho zote
Kuna mjumbe alikimbia Bunge la Katiba au Mstaafu wa Njia panda ya Moro na Moshi alivunja?
wewe inaelekea bado ulikuwa Kamachumu huko unakusanya senene na hujui lolote la mjini.
Msoga ndiye aligeuka na kuvuruga bunge, waulize walioitisha b
 
Update 2040:
1. Aliyesaini/aliyesimamia Tanzania kuingia mkataba na Dpw.
 
Ununuzi wa magari mabovu ya Chadema, na ununuzi wa jengo la Chadema masaki kwa bei ya kufuru, na pia kulipia Kodi ya nyumba ya ufipa iliyomilikiwa na mtei, Kodi ya pale ni sawa na masaki au ostabei
 
Ununuzi wa magari mabovu ya Chadema, na ununuzi wa jengo la Chadema masaki kwa bei ya kutupa, na pia kulipia Kodi ya nyumba ya ufipa iliyomilikiwa na mtei, Kodi ya pale ni sawa na masaki au ostabei
Unakiherehere kama mkojo wa asubuhi.
Soma headings, HASARA za CHADEMA ni za Taifa?
"ostabei" ni kitu gani?
Gari lipi la CHADEMA ni bovu?
Ulitaka wakakodi pale Lumumba?
 
Hata mbowe pia yumo maana alijigawia jengo la NHC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…