List of Shame ya waliosababishia hasara Tanzania. Taja uwajuao

Jiwe wafuasi wake wengi walikuwa ni watu kama wewe. Yaani masikini na wenye IQ ndogo sana. Sasa kama mtu anaandika JPM ni bola unadhani huyo ni mtu wa aina gani. Anyway ndiyo maana nchi ina watu viongozi kama Bashite na bado tunataka maendeleo.
 
Reginald Mengi aliwataja mafisadi papa watano;
Rostam Aziz
Jeetu Patel.
Wengine siwakumbuki,nadhani alimtaja Somaia brother mmoja
Anasema hawa utawakuta katika kila kashfa,Richmond,EPA,ESCROW[you name it]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…