Itafahamika.
Si vema tukamwaga ubwabwa wote hapa.
vp wamenipangia kozi gani?
Coed, bachelor of education in special needs
dah ahsante mkuu but hii kozi sio chaguo langu sijui kama watakubali nikienda kuibadilisha na kuchukua bachelor of education in policy, planning and management au bachelor of education with ICT
mhhhhhh kwa hiyo nimebak mwenye tu!!! au kuna mwingine ambaye hajapata??? mhhh...ila hongera mkuu!!!Mining engineering Mkuu
Mbona nahisi kama naenda sua, mmh nitakuwa pamoja na ze duduz na lordville,dah
Prezdaa jomba, unakumbuka jana nilivyo post link na majina ya walokua admitted Tumaini university Iringa masela waakanza kuni dis nawe ulikuawepo ila midamida ukaja elewa anyway, ishu ni kwamba selection zisha pelekwa vyuoni sema t.c.u wana negotiate na bodi ya mikopo ili watoe list pamoja!!!!!!!!!!!!!!! nawasilisha
Ha ha ha hah kumbe nawe unatumia cannabis? Unanishauri niandike UDO SELECTION sasa ndo nini? Then unadai ulidhani ni selection zote hivi kwenye heading huoni neno UDOM?
mhhhhhh kwa hiyo nimebak mwenye tu!!! au kuna mwingine ambaye hajapata??? mhhh...ila hongera mkuu!!!
Itabidi uanze fatilia hio kitu mapema mkuu, ili chuo kikifunguliwa unakua koz unayotaka
mhhhhhh kwa hiyo nimebak mwenye tu!!! au kuna mwingine ambaye hajapata??? mhhh...ila hongera mkuu!!!
mhhhhhh kwa hiyo nimebak mwenye tu!!! au kuna mwingine ambaye hajapata??? mhhh...ila hongera mkuu!!!
Ila nataka nikifika nibadili to petroleum sijui ntabaatika!!