Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,610
1. mobile toilets business
2. house flipping business
3. Renovate, Operate, Transfer..kuna watu uswazi wana nyumba zimechakaa, wanakusanya kodi kidogo mno, unaingia nao mkataba, una convert nyumba kulingana na soko, au unaipendezesha, unaifanya ya status flani, unakodisha kwa gharama kubwa kidogo, baada ya kupata Return on Investment na kupata faida, au baada muda mliokubaliana, unamrudishia nyumba yake.. Unaenda sehemu nyingine and you do the same,.
mkuu hapo kwenye red, utalizwa na wenye nyumba hakuna rangi utaacha ona
waswahli wana hila, utarekebisha nyumba kwa makubaliano uikodishe kwa muda kodi mgawawane au uchukue yote, pia baadaye wanaweza kukugeuka.Mkuu, fafanua kidogo.. Am speaking from experience.. stil, kila biashara ina challenge zake..
Remutula yuko sokoni.mimi naweza kukuonganishia mashine za kutalaza na ku cut ni za kudisin na cuting kutazala kama katika kiwanda cha lemtula(sp erro)Me napenda biashara ya ushonaji. Unaweza kuanzisha kiwanda kidogo na ukadesign nguo ukazitia sokoni
Biashara ya kuokota makopo kama cheka.
Kutengeneza sabuni
anayatengeneza vipi mkuu?Mawazo mazuri ila mnaishia juu juu, kuna watu wanapesa wanaweza kushawishika kuinvest wakakosa nyama....ila thread nimeipenda.
Naona idea nyingi ni za uzalishaji,unajua ni ngumu sana kuwa na biashara kubwa kwa kufanya uchuuzi wa bidhaa za mwenzako. Utaishia tu kuwa mfanyabiashara wa kati,haya mambo ya kuigana kufungua bar,barber shop,guest house,boutique utaishia kuwa mchuuzi.
Kuna biashara kama ya fenicha, vifungashio, viungo vya chakula,pedi nk.
Niliona mshikaji mmoja Kenya anatengeneza maji ya mvua anauza. Nilipenda sana idea yake sijui kibongobongo watu kama wataielewa coz jamaa yupo mtaani bado hajakua kivile ila anauza sana.
Kukoboa na kusaga nafaka na kufanya packaging.
Mashine ya kukamua mafuta ya alizeti.
Mashine kutengeneza sausage.
Kufanya usafi kwa wanachuo.
Kuosha magari.