List ya Business Ideas kuhusu viwanda vidogo vidogo

List ya Business Ideas kuhusu viwanda vidogo vidogo

Hii inaweza kuwa nzuri Sana, nilimsikia jamaa mmoja anayeifanya akiielezea.
Habari Kiongozi pole na majukumu naomba msaada wenu Kama kuna anaefahamu kuchenjua copper ore kwa njia ya kienyeji ili nipate SHABA au njia rahisi ya kuchenjua copper ore ili nipate SHABA Natanguliza shukran zangu
 
Mimi Sijui Mkuu
 
Sabuni za magadi
Sabuni za maji
Sabuni za unga

Vibirti
Unga wa muongo
Unga wa sembe
Mawese
Mafuta ya nazi
Maandazi

Shart za vitenge
 
Boksi za pizza.watu wamefunguka kula pizza kiwanda kidogo cha boks pizza na nembo unawekewa.mf boston pizza.

solar power energy,watu hawana umeme kinatakiwa kiwanda kidogo cha kutengeneza umeme wa Jua kwa bei nafuu.ma engineering tunao.

nepi za watoto take a way,watoto wanakunya kila wakati kifunguliwe kiwanda kidogo cha kutengeneza nepi kwa bei nafuu.

kiwanda kidogo cha kitengeneza nafaka kwa ajiri ya mifugo,yani kiwanda kinatengeneza protein zote za mifugo na nembo full pakeg bag kwa bei nafuu.

Kwa dar kiwanda kidogo cha kutengeneza miguu ya Kuku na shingo zake.kwa sababu inalipa.

Swissme:
Hili la miguu ya kuku naomba kuielewa tafadhali
 
1.Peanut butter
2.Plastic recycling
3.Medical waste recycling
4.Honey processing
5.Cashew nuts processing
 
Back
Top Bottom