List ya Business Ideas kuhusu viwanda vidogo vidogo

List ya Business Ideas kuhusu viwanda vidogo vidogo

Kukoboa na kusaga nafaka na kufanya packaging.
Mashine ya kukamua mafuta ya alizeti.
Mashine kutengeneza sausage.
Kufanya usafi kwa wanachuo.
Kuosha magari.
...
PhotoGrid_1610641856500.jpeg
PhotoGrid_1566274290717.jpeg
PhotoGrid_1566253341721.jpeg
PhotoGrid_1566271990843.jpeg
PhotoGrid_1564952304221.jpeg
IMG_20180829_154517.jpeg
PhotoGrid_1518786681257.jpeg
 
New business idea ni juu ya kununua dhahabu kwa uchuuzi wa gramu moja,mbili mpaka tatu kwa kuokoteza kwa walanguzi na kwenda kuiunga kwa wataalamu ili kutoa kama ni gramu 12,50 au kg.Na hii inapendeza kufanyika zaidi ukiwa mgodini hukohuko.Mathalani gramu unanunua kwa kiasi cha shilingi 25000,na ukaenda uza 50000 kwa bei ya jumla.Hapo mnaonaje wadau....
Hii sio biashara ya pesa ndogo na ni risk sana
 
Kwa wajasiriamali wanaanza au wale wadogo nawashauri msianzishe kiwanda/viwanda ambavyo itakulazimu kuagiza raw materials toka nje ya nchi.

Kwa mfano kiwanda cha kutengeneza pvc pipes ni rahisi na mtaji wake ni mdogo kwa maana initial investment capital lakini raw materials lazima uagize nje hapo ndipo utakumbana na changamoto ya TPA na TRA na agency nyingine za serikali. Kwa kuanza ni heri uanze na kitu ambacho raw material utaipata humu humu nchini. Ukishasimama ndipo utaweza ku diversify kwenye hivyo vingine
Mtaji wake shlng ngap vile mkuu?
 
Naomba msaada wenu njia ya kienyeji kuchenjua copper ore ili nipate SHABA au njia rahisi ya kuchenjua copper ore ili nipate SHABA Natanguliza shukran zangu
 
Kukoboa na kusaga nafaka na kufanya packaging.
Mashine ya kukamua mafuta ya alizeti.
Mashine kutengeneza sausage.
Kufanya usafi kwa wanachuo.
Kuosha magari.
Kufanya usafi kwa Wanachuo, sidhani km italipa kwasababu wengi huwa wanakuwa na hali ngumu kiuchumi.
 
Habari Kiongozi pole na majukumu naomba msaada wenu Kama kuna anaefahamu kuchenjua copper ore kwa njia ya kienyeji ili nipate SHABA au njia rahisi ya kuchenjua copper ore ili nipate SHABA Natanguliza shukran zangu ubarikiwe Sana
 
Back
Top Bottom