Kipilipili
JF-Expert Member
- May 25, 2010
- 2,272
- 1,897
...Kukoboa na kusaga nafaka na kufanya packaging.
Mashine ya kukamua mafuta ya alizeti.
Mashine kutengeneza sausage.
Kufanya usafi kwa wanachuo.
Kuosha magari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...Kukoboa na kusaga nafaka na kufanya packaging.
Mashine ya kukamua mafuta ya alizeti.
Mashine kutengeneza sausage.
Kufanya usafi kwa wanachuo.
Kuosha magari.
.Kiwanda cha kutengeneza chakula cha samaki. Wafugaji twapata shida kweli
Hii sio biashara ya pesa ndogo na ni risk sanaNew business idea ni juu ya kununua dhahabu kwa uchuuzi wa gramu moja,mbili mpaka tatu kwa kuokoteza kwa walanguzi na kwenda kuiunga kwa wataalamu ili kutoa kama ni gramu 12,50 au kg.Na hii inapendeza kufanyika zaidi ukiwa mgodini hukohuko.Mathalani gramu unanunua kwa kiasi cha shilingi 25000,na ukaenda uza 50000 kwa bei ya jumla.Hapo mnaonaje wadau....
Mtaji wake shlng ngap vile mkuu?Kwa wajasiriamali wanaanza au wale wadogo nawashauri msianzishe kiwanda/viwanda ambavyo itakulazimu kuagiza raw materials toka nje ya nchi.
Kwa mfano kiwanda cha kutengeneza pvc pipes ni rahisi na mtaji wake ni mdogo kwa maana initial investment capital lakini raw materials lazima uagize nje hapo ndipo utakumbana na changamoto ya TPA na TRA na agency nyingine za serikali. Kwa kuanza ni heri uanze na kitu ambacho raw material utaipata humu humu nchini. Ukishasimama ndipo utaweza ku diversify kwenye hivyo vingine
Mtaji wa nini? Wa kiwanda cha pvc pipes? Ama?Mtaji wake shlng ngap vile mkuu?
Kemikali gani unatafuta?Naomba kujua kwa dar wanakouza kemikali za viwandani
Fibreglass resinKemikali gani unatafuta?
Watakugeuka vipi ikiwa mna mkataba unaoeleweka na mliowekeana na mliouandika KISHERIA?waswahli wana hila, utarekebisha nyumba kwa makubaliano uikodishe kwa muda kodi mgawawane au uchukue yote, pia baadaye wanaweza kukugeuka.
Karibu! Welcome back!ntarudi
Kiwanda Cha KondomuMkuu, fafanua kidogo.. Am speaking from experience.. stil, kila biashara ina challenge zake..
Nafikiri ni kuingia legal contractwaswahli wana hila, utarekebisha nyumba kwa makubaliano uikodishe kwa muda kodi mgawawane au uchukue yote, pia baadaye wanaweza kukugeuka.
Hiyo ya kusaga karanga, mtaji wake ukoje mkuu?Kiwanda kidogo cha kusaga karanga za wajasiliamali kama viungo vya mboga, kiwanda kidogo cha kuosha pikipiki ,
Hii inaweza kuwa nzuri Sana, nilimsikia jamaa mmoja anayeifanya akiielezea.Biashara ya kutengeneza na kusambaza pilipili
Kufanya usafi kwa Wanachuo, sidhani km italipa kwasababu wengi huwa wanakuwa na hali ngumu kiuchumi.Kukoboa na kusaga nafaka na kufanya packaging.
Mashine ya kukamua mafuta ya alizeti.
Mashine kutengeneza sausage.
Kufanya usafi kwa wanachuo.
Kuosha magari.