Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Kwa wajasiriamali wanaanza au wale wadogo nawashauri msianzishe kiwanda/viwanda ambavyo itakulazimu kuagiza raw materials toka nje ya nchi.Tushirikiane tuweke orodha ndefu ya aina za viwanda vidogo ambavyo mtu anaweza kuanzisha katika jamii yake, mkoa wake au nchini kwa ujumla. Tuwe serious;
1. Toothpick industry
2. Take away plates industry
3. ...........
4. ...........
ONGEZEA MAWAZO YAKO, KILA MTU ATACHAGUA ANALOLIPENDA NA AKALITUMIE KATIKA JAMII YAKE
Posted by: SUPU YA MAWE
Kwa mfano kiwanda cha kutengeneza pvc pipes ni rahisi na mtaji wake ni mdogo kwa maana initial investment capital lakini raw materials lazima uagize nje hapo ndipo utakumbana na changamoto ya TPA na TRA na agency nyingine za serikali. Kwa kuanza ni heri uanze na kitu ambacho raw material utaipata humu humu nchini. Ukishasimama ndipo utaweza ku diversify kwenye hivyo vingine