HP1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2012
- 3,362
- 878
Mkuu mashine za kukobolea mahindi zinapatikanaje? packaging na kuweka nembo vile vile?
Hii biashara nimeelezwa kuwa ina faida sana..
Mashine moja complete motor HP 25 inacheza kwenye 1.5M. Kama upo Dar nenda Auto Sokoni Nkrumah Street phone 0754 520 786. Biashara unaweza kupata kitu hapa Siri Ya Mafanikio: Biashara ya kununua mahindi, kukoboa, kusaga na kuuza unga wa sembe kwa wateja. Hii ni Biashara nzuri kama utakuwa makini kwenye utekelazaji wake...