Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
sijui kama vina sifa za viwanda vidogo?
1. kiwanda cha kutengeneza vyombo vya udongo. sahani za bati na hasa za plastic watu hawazipendi siku hizi.
2. kutengeneza chupi, boxer, sox na kaushi za pamba. nyuzi za plastic watu hawapendi zinaleta fungasi.
3. kutengeneza mikanda na wallet za ngozi. utahitaji kufanya tanning, sijui kama itakuwa rahisi.