List ya Celebrities waonamuunga mkono Kamala Vs Trump Uchaguzi wa Marekani

List ya Celebrities waonamuunga mkono Kamala Vs Trump Uchaguzi wa Marekani

Mimi kwa mtizamo wangu na kulingana na kura za awali na imani

Donald Trump atashinda uchaguzi wa Marekani, ambao unategemewa
kufanyika tarehe 5 November 2024.

Kwa sasa Marekani inamuhitaji sana mtu kama Donald Trump kwani Marekani
ina maadui wengi hivyo inahitaji Raisi shupavu, kete hii inambeba sana hasa
kwa wahafidhina wa Marekani.

Donald Trump akishinda na kuwa Raisi dunia itachangamka. Poleni sana
Shithole Countries msiopenda Donald Trump msema kweli.

View attachment 3139102
Tusubiri tuone. ....
 
Mbona povu, marinda utatuliwe huko hasira uniletee mimi, tamaa zako ndiyo zimekuponza
Umeshampa haki ya kikatiba dada yako ? hongera ila umekosea kuingia kwa njia ya kwa [/QUOTE]Umeshampa haki ya kikatiba dada yako ? hongera ila umekosea kuingia kwa njia ya kwa Mpalange.
 
Umeshampa haki ya kikatiba dada yako ? km tayari hongera ila umekosea kuingia kwa njia ya kwa
Umeshampa haki ya kikatiba dada yako ? km tayari hongera ila umekosea kuingia kwa njia ya kwa mpalange.
[/QUOTE]
Huu usengere wako wapelekee machoko wenzako sina mijadala na mashoga kama wewe.
 
Ingekuwa vizuri ukajiridhisha maana ya popular votes na electoral college.
We ndiyo usome hapa itakusaidia..kwamba unaweza kupata popular votes lakini usiwe Rais wa Marekani kama mama Cliton.

Mimi kwa mtizamo wangu na kulingana na kura za awali na imani

Donald Trump atashinda uchaguzi wa Marekani, ambao unategemewa
kufanyika tarehe 5 November 2024.

Kwa sasa Marekani inamuhitaji sana mtu kama Donald Trump kwani Marekani
ina maadui wengi hivyo inahitaji Raisi shupavu, kete hii inambeba sana hasa
kwa wahafidhina wa Marekani.

Donald Trump akishinda na kuwa Raisi dunia itachangamka. Poleni sana
Shithole Countries msiopenda Donald Trump msema kweli.

View attachment 3139102
Ni given lazima Trump atashinda hata bila kupepesa macho na huu ndio msimamo wa wamarekani.
 
Trump anaongoza mpaka sasa kwa electrol vote 207 wakati Kamala ana 91

Trump lazima ashinde na inawekana Kamala asifikie vote alizofikia

Hillary Clinton 2016
 
Wale wana mifumo inayofanya kazi, Katiba yao ni bora pamoja na sheria zao katika kila jimbo, pia Mahakama zao zipo huru ambapo Rais akifanya ujinga anapandishwa kizimbani bila shida.
Kwa wenzetu hata wakipata Rais wa sampuli ipi, maamuzi critical ya nchi yanafanywa na Rais pamoja na Bunge. Wasipoelewana basi Mahakama yao inachukua nafasi kuona yupi yupo sahihi kulingana na Sera / sheria zao.

Kwetu hapa kwa Katiba hii ndugu zangu ukapata Rais wa ajabu - utaimba haleluya.
Kwa katiba hii ya kwetu ww unahc tulishawai kupata rais bora?
 
This is true ni mapema sana Marekani kuongozwa na Mwanamke.

Hillary Clinton alikuwa famous na powerful kuliko huyo Kamala ila
Electerol college ilimtosa.
Unatumia kigezo kipi kusema ilimtosa ?

Inaonekana wengi mnamiliki smartphone lakini hampo smart.
 
Back
Top Bottom