Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 7,090
- 13,527
Mungu ni mwema atakupa kwa wakati. Anza na kidogo ulichonacho cha msingi usinuke jashonapenda kunukia kweli ila tatizo salio langu linataka ninukie monaco au kiss of love splash😭😭😭
Mungu ni mwema atakupa kwa wakati. Anza na kidogo ulichonacho cha msingi usinuke jashonapenda kunukia kweli ila tatizo salio langu linataka ninukie monaco au kiss of love splash😭😭😭
Nitaiweka kwenye list hii mana kitambo umekua ukiirecommendView attachment 3560793hiki hapa binam
Utatuletea review yakoNitaiweka kwenye list hii mana kitambo umekua ukiirecommend
Huwa naichukulia poa ngoja ntaijaribu
Dah naona huyu emat kwasasa mjini instagram ana wafuasi wengi na mirejesho ni mingi japo nami nlichukuaga sauvage dior miaka 5 nyuma ilikua yamoto sanaView attachment 3560797perfume za kupima ambazo zinakaa.
Barracat na black opium.
Yule emat scent enzi ameamza alikua anauzia uko makumbusho.
Package yake ilikua mbovu mno ila juice 🔥.
Hakika ile quality ya perfumes za mwanzo angeendelea nazo hata angeuza laki ama zaidi still bado tungenunua..
Sasa anatujazia maji, nishamkimbia.
Wote wanaomsifia sababu hawakuwepo toka mwanzo na hawajui perfume nzuri. Saiz anauzia jina tu.
Kuna dada alikua hapo mlimani city anaitwa kim perfume, alikua na perfume nzuri japo hazikai sana, sijui kama bado yupo, alipokuja emat scent wote tukakimbilia kwake tukayapotezea machimbo ya zaman.
Inabidi ukajaribu tena utuletee mrejesho.. alikua na kitu inaitwa bitter peach 🍑 (not for everyone)Dah naona huyu emat kwasasa mjini instagram ana wafuasi wengi na mirejesho ni mingi japo nami nlichukuaga sauvage dior miaka 5 nyuma ilikua yamoto sana
Hii Dior Sauvage ninayo kuna dogo kaipenda kaitaifisha imekuwa yake sasa, pamoja na Versace Man Eau Fraiche.Clone ya Dior Sauvage Eau de Parfum bei gani?
Nmetumia cd intense man edt zingine sijawahi, hiyo nlivyotumia mm nlikua haruf hata siihisi ila nlikua naambiwa tu na watu wa jiran kwamba hata kabla sijafika harufu ya unyunyu wangu inasikikaClub de nuit intense man
Club de nuit limited edition
Club de nuit urban elixir
Club de nuit intense man Untold
Jaman tamu inayokaa muda mrefuuu na harufu yake Mita 20 anaisikia ,wataalam
HahaaaaaNmetumia cd intense man edt zingine sijawahi, hiyo nlivyotumia mm nlikua haruf hata siihisi ila nlikua naambiwa tu na watu wa jiran kwamba hata kabla sijafika harufu ya unyunyu wangu inasikika
Naam, afu sio bei kiviilehili nyunyu la Azzaro most wanted ni kwikwi aisee...nmechukua sample tangu niipige kwa nguo siku ya 3 ni cheche tu chumba kizima
Untold halitoki kwenye nguo hata kwenye ngozi linakera halafu haliishi, ninalo toka mwez wa nne mwaka jana, hata robo halijapunguaClub de nuit intense man
Club de nuit limited edition
Club de nuit urban elixir
Club de nuit intense man Untold
Jaman tamu inayokaa muda mrefuuu na harufu yake Mita 20 anaisikia ,wataalam
Mbona sion watumiaji wa pineapple vintage hata wa bahati mbaya.mmeotea humu ndani, hamna vyuma vipya tunukie
Inapatikana wapi na bei yake ipojeMbona sion watumiaji wa pineapple vintage hata wa bahati mbaya.
Hii inaipiga chini clone zote za aventus hata nuit intense by armaf haigusi hapa🔥