List ya Expensive Perfumes na clones zake kwa wenye vipato vya chini

List ya Expensive Perfumes na clones zake kwa wenye vipato vya chini

hawa kwasasa ubora wao upoje
 

Attachments

  • Screenshot_20250628_091000_Instagram.jpg
    Screenshot_20250628_091000_Instagram.jpg
    169.8 KB · Views: 52
Upo vizuri. Nyingine zinazidi hata ubora wa Original zenyewe. Mfano club de Nuit intense man limited edition parfum ipo vizuri zaidi kwenye kila sector kuliko Creed.
Naitaka hiyo, bei ikoje?
 
creed og bei ni laki 3 na nusu hii imenifanya nitomb3 sana mademu wakat nafanya kazi Azam tv tabata 2019-2022.
 
"Perfume ya Issey miyake ,ukinicheck msafi chokoza uone moto ,sitokei masaki natokea king'oko,kitu nanyonga mwenyewe simuamini pusha hawakiii kukuuzia famba ukaambiwa cha Arusha".
 
Waambie wakupe batch ya 2020. au kama mfuko unaruhusu chukua club de Nuit intense man limited edition parfum. Zote harufu sawa ila limited edition itakaa kwenye nguo mpaka mwakani 😁
Club nuit wamezingua na hizo batch unazosema kuzipata ni ngumu.

Tembea na pineapple vintage utanishukuru baadae
 
Nishauro perfume ya kutumia as a gentleman, isiyozidi 250,000 lakinj iwe quality ikiwezekana genuine... Mi hua natumia zaidi One Million ila nataka kubadili sasa
Nina list pana ila hii iko apo juu

Azzaro crome Legend
 
Ambition plus
chimbo gani kwa sasa linajitahid kweny kutoa pafyum z kupima zenye ubora mana naona kuna machimbo niliyazoea ila saivi naona ubora wao umepungua
 
Ambition plus
chimbo gani kwa sasa linajitahid kweny kutoa pafyum z kupima zenye ubora mana naona kuna machimbo niliyazoea ila saivi naona ubora wao umepungua
Mkuu nimesafiri kidogo ila kulikua na kiduka flani cha wahindi hapo morogoro round about ya mjini kama kabla ujafika sheli. Nimepoteza mawasiliano yao walisema na dar wana duka la pima pima pia. Nilipimisha black opium, cool water na one million. Wako sawa sana.

Shida ya moro biashara hazidumu, pamedorora mzunguko mdogo wa pesa na walivyohamisha hio stand ya daladala ndio pamezorota zaidi.

Kama kuna mtu yuko moro town hapa anaweza kututazamia kama hicho kiduka bado kipo
 
IMG_6003.jpeg
wapenzi wa creed aventus, club nuit intense by armaf, pineapple vintage n.k.
Nawaibia siri, ukiweza kuipata hii clone utanishukuru baadae. Hii ni masaa 12+ kwenye ngozi, kwenye nguo haitoki labda ufue mara zaidi ya mbili. Hii kitu ni noma. Ila sasa upatikanaji wake ni kasheshe. Yeyote atakayepata chimbo anijulishe na mimi.
 
IMG_6004.jpeg
kingine hichi hapa, hatari sana, kinatengenezwa ujeruman hiki, bei ya wastani 😂.
Super sweet 🍬, kama hupend sweet perfume kipitie mbali.
Kimenipa compliment nyingi.
 
Cool water.
Kwanini watu hawakipendi hichi kidude?
Kina unyama wake japo hakikai mda mrefu. Hiki unajimwagia 4 to 8 sprays twice a day kama vile prescription za dactari… hinaleta heshima sana. Kama unapenda kusifiwa jaribu hata ya kupima.
 
Most wanted azzaro
Leo najiskia ku chat 💬
Niwape madini…
Je umejaribu azzaro chrome Legend?
Hii ina kiherehere hata ukimtembelea mtu, harufu inabaki kwenye makochi na kila sehem ambayo ikigusana na eneo ulilopulizia. Ukilala kwa mchuchu harufu inabaki kwenye mashuka mto na kila kitu, ukioga labda mara mbili ndio harufu itoke kama lile clone la baraccat rouge from club de nuit-untold.
Babake hilo kwenye nguo haitoki hata ufue ukianika juani ama ukipasi ndio kama umejipulizia, na hata kwenye ngozi halitoki hata ujisugue.. harufu yake haijanipendeza japo lina compliment nyingi mno mana linanukia hata mwezi nguo usipoifua mara kadhaa. Hili bora kulitumia kwenye baridi kwenye joto litakukera.
Nimeshawachanganyia madawa hapa. Turudi kwenye mada.

Azzaro chrome Legend ni nzuri mno harufu ya kizungu, harufu ya pesa, harufu ya ki gentlemen. Mtu anabaki na kumbukumbu yako
 
IMG_6006.jpeg
hili linang’ang’aniaga halitokagi.
Afu ni spray mbili tu, linanukia hadi mtaa wa saba
 
Back
Top Bottom