List ya Expensive Perfumes na clones zake kwa wenye vipato vya chini

IMG_6007.jpeg

Nakapenda mno haka, nakamalizia nihamie kwenye Legend, arufu ni same same sema longitivity Legend kasimama kinara
 
MashaAllah ♥️
Mkuu Nasubiri review
Napenda mnukie vizuri.

Bado nasisitiza pimapima.
Black opium ukichanganya na cool water. Katika watu 10 watu wanne wenye ujasiri watakuuliza ni perfume gani hii, huu mchanganyiko umenip credit nyingi na wachumba wengi enzi za ujana wangu.
 
Ni kwa njinsia zote?
Hii ni ya kiume ila perfume zote za kiume wadada wanaweza kutumia haina shaka ila mwanaume ukitumia perfume ya kike watu watabaki na maswali. Ila mimi mbona natumia black opium na ni ya kike.

Recommendation kwa perfume ya kike kuna ile inaitwa scandal. Hii ni noma sana. Afu inakaa
 
Mkuu nitaleta mrejesho 👌
 
Shukran
sisi hatuna complected nyingi
 
IMG_6009.jpeg
perfume za kupima ambazo zinakaa.
Barracat na black opium.

Yule emat scent enzi ameamza alikua anauzia uko makumbusho.
Package yake ilikua mbovu mno ila juice 🔥.
Hakika ile quality ya perfumes za mwanzo angeendelea nazo hata angeuza laki ama zaidi still bado tungenunua..
Sasa anatujazia maji, nishamkimbia.
Wote wanaomsifia sababu hawakuwepo toka mwanzo na hawajui perfume nzuri. Saiz anauzia jina tu.
Kuna dada alikua hapo mlimani city anaitwa kim perfume, alikua na perfume nzuri japo hazikai sana, sijui kama bado yupo, alipokuja emat scent wote tukakimbilia kwake tukayapotezea machimbo ya zaman.
 
Mwanaume anatakiwa anukie janaba..
Nukia pesa na janaba litakufata.
Wakati wewe unawaza janaba mimi najiuliza kwanini mimi nipande economy wakati kuna watu wanapanda first class, kwanini nitumie toyota wakati watu wanatumia gari za kijeruman.. tunatofauti gani na wao??
Mkuu ngono itakupeleka wapi??
 
View attachment 3560797perfume za kupima ambazo zinakaa.
Barracat na black opium.

Yule emat scent enzi ameamza alikua anauzia uko makumbusho.
Package yake ilikua mbovu mno ila juice 🔥.
Hakika ile quality ya perfumes za mwanzo angeendelea nazo hata angeuza laki ama zaidi still bado tungenunua..
Sasa anatujazia maji, nishamkimbia.
Wote wanaomsifia sababu hawakuwepo toka mwanzo na hawajui perfume nzuri. Saiz anauzia jina tu.
Kuna dada alikua hapo mlimani city anaitwa kim perfume, alikua na perfume nzuri japo hazikai sana, sijui kama bado yupo, alipokuja emat scent wote tukakimbilia kwake tukayapotezea machimbo ya zaman.
Hivi utagundua vip kama imejazwa maji ?
 
Hivi utagundua vip kama imejazwa maji ?
Mkuu kujua imejazwa maji sina utaalam huo ila ninachofanya. Kabla ya kununua Na test kupulizia kwenye vile vikaratasi vyao. Halafu naenda navyo home naviweka dirishani kwenye upepo mpaka asubuh. Utanusa tena utakua umepata majibu kama inakaa ama lah
 
Afu kwanini biashara za wabongo zinaanza vizuri baadae wanachakachua zinakufa na hawajifunzi.
Mfano kwa emat scent alikua na bidhaa nzuri sana ila kulikua na kibinti sijui ni kindugu chake wakati wote kimenuna, hakichangamki yaani kama hakipendezwi wewe kwenda hapo dukani, ukijaribu ku test perfume zaidi ya moja kinavokuangalia vibaya, ukikiuliza hakikupi ushirikiano, pamoja na yote hatukua tunajali, sababu bidhaa ni nzuri tulikua bado tunaenda, now bidhaa ni mbovu na customer care mbovu…
Msiseme hatukuwaambia. Hatumwaribii mtu biashara bali tunasema ukweli, sifa nzuri mpokee na mkiboronga mpokee pia
 
nipe chimbo linalo eleweka sasa nikajaribu bahati
 
Back
Top Bottom