BRN
JF-Expert Member
- Nov 18, 2013
- 5,475
- 7,029
40-50 elfu
Bei yake ikoje?
Bei yake ikoje?
Tofauti na hawa wa kupima wa kawaida?Kama pia mnahitaj oil based perfumes jaribun zile za jamaa wanajiita syrian perfumes, naona wako makin na bidhaa zao ziko poa.
Tofauti na hawa wa kupima wa kawaida?Kama pia mnahitaj oil based perfumes jaribun zile za jamaa wanajiita syrian perfumes, naona wako makin na bidhaa zao ziko poa.
Same dna lakin harufu zina utofauti kidogo, sahihi armaf upate batch ya 2020 or 2021, batch za miaka ya mbele wamefail longitivity, malalamiko ni mengiWaambie wakupe batch ya 2020. au kama mfuko unaruhusu chukua club de Nuit intense man limited edition parfum. Zote harufu sawa ila limited edition itakaa kwenye nguo mpaka mwakani 😁
Issey miyak ni nzuri na naipenda harufu yake, akiwa amepuliizia mwingine. LolKuna utanashati na
Kuna umaridadi....
Kupendeza....
Kunukia vizuri....
Kuna mahali nilikuwa nanunua perfume Kariakoo, duka bayaaa chafuuu ila perfume za ukweli na bei nafuu. Sasa nikawa nikijipulizia unyunyu kuna mdada akashindwa kuvumilia akaniuliza aina ya perfume na ataipata wapi.
Kiroho safii tuu nikampa location ile kizuri kula na wenzio khaaa...!!! Bora ningemlangua nikachukua cha juu niwe supplier wake kila akitaka.
Alikuja siku moja kazini na maneno ya shombo, mbele ya staff kibao heee jamanii yaani huyu Kasinde, kanipeleka mahala huko nusu niibiwe, mara nusu nijikate na kutu, nusu sijui nitapike sijui nijiharishie.... I was like whaaaat....!!! Nikapiga kimya ila alinikeraaaaa.
Wakati ananiuliza kuhusu perfume alinifata faragha, negative feedback mbele ya hadhira...!!
Nikajisemea no wonder kuna watu ukiwauliza wapi umenunua kitu ulichopenda hawakuoneshi ama wakwambie uwape hela wakakuletee au watakwambia ameletewa zawadi.
Najua hizi perfume sikuhizi hazipo ila Bondage ilinifanya mwanaume akanipenda.
Na Issey Miyak ilinifanya nimdondokee mwanaume puuuh mpaka ardhini mzimamzima.
Don't over do your perfume.
Don't underestimate the power of perfume.
Wanapatikana wapi kwa hapa Dar es Salaam? bway hermitKama pia mnahitaj oil based perfumes jaribun zile za jamaa wanajiita syrian perfumes, naona wako makin na bidhaa zao ziko poa.
Tenda wema uende zako..... Mungu atakulipia. Naomba location ya hili chimbo lako tafadhali Kasie kama hutajali, ili nami nikajaribu bahati yangu. Hizo perfumes za malaki kwa sasa hiyo nguvu haipo.Kuna utanashati na
Kuna umaridadi....
Kupendeza....
Kunukia vizuri....
Kuna mahali nilikuwa nanunua perfume Kariakoo, duka bayaaa chafuuu ila perfume za ukweli na bei nafuu. Sasa nikawa nikijipulizia unyunyu kuna mdada akashindwa kuvumilia akaniuliza aina ya perfume na ataipata wapi.
Kiroho safii tuu nikampa location ile kizuri kula na wenzio khaaa...!!! Bora ningemlangua nikachukua cha juu niwe supplier wake kila akitaka.
Alikuja siku moja kazini na maneno ya shombo, mbele ya staff kibao heee jamanii yaani huyu Kasinde, kanipeleka mahala huko nusu niibiwe, mara nusu nijikate na kutu, nusu sijui nitapike sijui nijiharishie.... I was like whaaaat....!!! Nikapiga kimya ila alinikeraaaaa.
Wakati ananiuliza kuhusu perfume alinifata faragha, negative feedback mbele ya hadhira...!!
Nikajisemea no wonder kuna watu ukiwauliza wapi umenunua kitu ulichopenda hawakuoneshi ama wakwambie uwape hela wakakuletee au watakwambia ameletewa zawadi.
Najua hizi perfume sikuhizi hazipo ila Bondage ilinifanya mwanaume akanipenda.
Na Issey Miyak ilinifanya nimdondokee mwanaume puuuh mpaka ardhini mzimamzima.
Don't over do your perfume.
Don't underestimate the power of perfume.
Hawa jamaa nilienda kununua kwenye Banda lao kwenye maonesho ya Sabasaba Mwaka Jana MbagalaKama pia mnahitaj oil based perfumes jaribun zile za jamaa wanajiita syrian perfumes, naona wako makin na bidhaa zao ziko poa.
😥 Daa!Duka lilishafungwa hiyo ilikuwa kitamboo.
Naona picha ya farasi. Je, inaitwaje? Na vipi kuhusu bei- ni rafiki kwa mtu mwenye kipato cha kawaida? Au ndio zile za bei mbaya!
Ikifika zamu ya pafyumu za tusio na kipato kabisa naomba nistue!
Hawa jamaa nilienda kununua kwenye Banda lao kwenye maonesho ya Sabasaba Mwaka Jana Mbagala
Nahisi walikuwa wamechakachua mzigo, perfumes zao zilikuwa hazikawii kupoteza harufu
maweshakuwa matapeli zamani vitu vyao vilikuwa durable na quality sasa hivi wamebaki jina tu
Sgr station floor ya kwanzaWanapatikana wapi kwa hapa Dar es Salaam? bway hermit
duh inawezekanaHawa jamaa nilienda kununua kwenye Banda lao kwenye maonesho ya Sabasaba Mwaka Jana Mbagala
Nahisi walikuwa wamechakachua mzigo, perfumes zao zilikuwa hazikawii kupoteza harufu
Unajua Bongo hii, udanganyifu ni mwingi sanaduh inawezekana