List ya Expensive Perfumes na clones zake kwa wenye vipato vya chini

Dah naona huyu emat kwasasa mjini instagram ana wafuasi wengi na mirejesho ni mingi japo nami nlichukuaga sauvage dior miaka 5 nyuma ilikua yamoto sana
 
Dah naona huyu emat kwasasa mjini instagram ana wafuasi wengi na mirejesho ni mingi japo nami nlichukuaga sauvage dior miaka 5 nyuma ilikua yamoto sana
Inabidi ukajaribu tena utuletee mrejesho.. alikua na kitu inaitwa bitter peach 🍑 (not for everyone)
 
hili nyunyu la Azzaro most wanted ni kwikwi aisee...nmechukua sample tangu niipige kwa nguo siku ya 3 ni cheche tu chumba kizima
 
Club de nuit intense man
Club de nuit limited edition
Club de nuit urban elixir
Club de nuit intense man Untold

Jaman tamu inayokaa muda mrefuuu na harufu yake Mita 20 anaisikia ,wataalam
 
Club de nuit intense man
Club de nuit limited edition
Club de nuit urban elixir
Club de nuit intense man Untold

Jaman tamu inayokaa muda mrefuuu na harufu yake Mita 20 anaisikia ,wataalam
Nmetumia cd intense man edt zingine sijawahi, hiyo nlivyotumia mm nlikua haruf hata siihisi ila nlikua naambiwa tu na watu wa jiran kwamba hata kabla sijafika harufu ya unyunyu wangu inasikika
 
Club de nuit intense man
Club de nuit limited edition
Club de nuit urban elixir
Club de nuit intense man Untold

Jaman tamu inayokaa muda mrefuuu na harufu yake Mita 20 anaisikia ,wataalam
Untold halitoki kwenye nguo hata kwenye ngozi linakera halafu haliishi, ninalo toka mwez wa nne mwaka jana, hata robo halijapungua
 
Paco Rabanne invistuc eau de toilette for him.
Unyama huo hapo harufu yake imepoa sio kali sana na uhakika inakufanya uwe na confidence kila wakati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…