Mgambo huku vijijini ni miungu watu.Mgambo pia anadharaulika. Labda uwe mgambo wa kundi la Hamas
Hakuna kazi ya kuwa na roho ngumu zote nizakichumba tu.1.Debt collector
2.Sales officer
3.Loan officer
4.Daktari
5.Nurse
6.Dereva
7.Polisi
8.Mgambo
9.Mtendaji wa mtaa
10.Mjumbe wa nyumba 10.
11.Mama lishe
12.Muuza genge
13.Mganga wa jadi
14.Mchungaji
15.chinga
16.Mangi shop
17.
18.
19.
20.
🤣🤣🤣yote ni utafutaji mkuu as long njia unayotumia haitakuletea shidaUkiwa Debt collector lazima uwe chizi matusi ya kutaja viungo vya uzazi ni kawaida, hasira zakufikia tu kama mama mjamzito na mimba changa
UMesahau wale jamaa wa OYA waliua mtu huko Mlandizi kwenye harakati za kudai deni lao🤣🤣🤣yote ni utafutaji mkuu as long njia unayotumia haitakuletea shida
Huko ni matumizi mabaya ya akili yaani ukifuata utaratibu sidhani tutafika level ya kukatishana maishaUMesahau wale jamaa wa OYA waliua mtu huko Mlandizi kwenye harakati za kudai deni lao
Da mie mwenyewe niliwahi fanya kama Loan officer kwenye Taasisi mojawapo ya mikopo ipo wilaya ya Bunda Mkoa wa Mara,kuna siku nipo katika harakati za kufatilia marejesho cna hili wa lile kilitokea kimbunga hicho cjui hata kilipozuka aisiii kule kuna wanga balaa nikaona isiwe tabu nikaachana nayo hyo kazi,kazi ya kudai ni ngumu sana wadaiwa wanaroga mnoSijui ndio nilikuwa debt collector au, nilikuwa nafanya kazi kama CSO katika ofisi moja hivi, mdai madeni akaacha kazi boss hakutaka kuajiri mwingine akaniongezea kazi hiyo bila nyongeza yoyote.
Hakuna rangi sikuacha kuona, wateja walikuwa wananisumbua mno halafu na Boss nae ananitukana nisipofanikiwa kulipwa kila siku nalia kama mtoto ikabidi niache tuu kazi. Kudai madeni inabidi uwe na akili za ziada aisee.
Kurogwa na kutishiwa maisha juu, Kuna mheshimiwa mmoja mkubwa tuu alikopa mzigo kwenye kampuni yetu hiyo, siku nimempigia simu na sikujua kama ni yeye nikajitambulisha natokea kampuni X kuna deni lako hapa wee alinichimba biti kabisa " unajua mimi ni nani tena mwisho kupiga simu kama unapenda maisha yako"Da mie mwenyewe niliwahi fanya kama Loan officer kwenye Taasisi mojawapo ya mikopo ipo wilaya ya Bunda Mkoa wa Mara,kuna siku nipo katika harakati za kufatilia marejesho cna hili wa lile kilitokea kimbunga hicho cjui hata kilipozuka aisiii kule kuna wanga balaa nikaona isiwe tabu nikaachana nayo hyo kazi,kazi ya kudai ni ngumu sana wadaiwa wanaroga mno