List ya kazi ambazo ukifanya yakupasa uwe na roho ngumu

List ya kazi ambazo ukifanya yakupasa uwe na roho ngumu

Da mie mwenyewe niliwahi fanya kama Loan officer kwenye Taasisi mojawapo ya mikopo ipo wilaya ya Bunda Mkoa wa Mara,kuna siku nipo katika harakati za kufatilia marejesho cna hili wa lile kilitokea kimbunga hicho cjui hata kilipozuka aisiii kule kuna wanga balaa nikaona isiwe tabu nikaachana nayo hyo kazi,kazi ya kudai ni ngumu sana wadaiwa wanaroga mno
Maboko microfinance hao
 
Kurogwa na kutishiwa maisha juu, Kuna mheshimiwa mmoja mkubwa tuu alikopa mzigo kwenye kampuni yetu hiyo, siku nimempigia simu na sikujua kama ni yeye nikajitambulisha natokea kampuni X kuna deni lako hapa wee alinichimba biti kabisa " unajua mimi ni nani tena mwisho kupiga simu kama unapenda maisha yako"
Ndio wenzangu wakaniambia huyo ni mbunge fulani deni lake lina miaka mingi huwa hapokei hata simu ( za ofisi)
Sasa mbunge nae anawachimba mkwara kweli?
 
Waosha maiti kwenye vyumba vya kuhifadhia.
 
Kurogwa na kutishiwa maisha juu, Kuna mheshimiwa mmoja mkubwa tuu alikopa mzigo kwenye kampuni yetu hiyo, siku nimempigia simu na sikujua kama ni yeye nikajitambulisha natokea kampuni X kuna deni lako hapa wee alinichimba biti kabisa " unajua mimi ni nani tena mwisho kupiga simu kama unapenda maisha yako"
Ndio wenzangu wakaniambia huyo ni mbunge fulani deni lake lina miaka mingi huwa hapokei hata simu ( za ofisi)
Duh balaa so ofisi wamemsamehe.? Kudos maden ni kaz ngumu sana aisee kutukanana ,kupigwa na kulogwa ni kawaida.
 
1.Debt collector
2.Sales officer
3.Loan officer
4.Daktari
5.Nurse
6.Dereva
7.Polisi
8.Mgambo
9.Mtendaji wa mtaa
10.Mjumbe wa nyumba 10.
11.Mama lishe
12.Muuza genge
13.Mganga wa jadi
14.Mchungaji
15.chinga
16.Mangi shop
17.
18.
19.
20.
Chai
 
Back
Top Bottom