Maboko microfinance haoDa mie mwenyewe niliwahi fanya kama Loan officer kwenye Taasisi mojawapo ya mikopo ipo wilaya ya Bunda Mkoa wa Mara,kuna siku nipo katika harakati za kufatilia marejesho cna hili wa lile kilitokea kimbunga hicho cjui hata kilipozuka aisiii kule kuna wanga balaa nikaona isiwe tabu nikaachana nayo hyo kazi,kazi ya kudai ni ngumu sana wadaiwa wanaroga mno
Sasa mbunge nae anawachimba mkwara kweli?Kurogwa na kutishiwa maisha juu, Kuna mheshimiwa mmoja mkubwa tuu alikopa mzigo kwenye kampuni yetu hiyo, siku nimempigia simu na sikujua kama ni yeye nikajitambulisha natokea kampuni X kuna deni lako hapa wee alinichimba biti kabisa " unajua mimi ni nani tena mwisho kupiga simu kama unapenda maisha yako"
Ndio wenzangu wakaniambia huyo ni mbunge fulani deni lake lina miaka mingi huwa hapokei hata simu ( za ofisi)
Ndio nilishangaa mno kwanza hakutakiwa kutolipa deni lile.Sasa mbunge nae anawachimba mkwara kweli?
ππππMgambo pia anadharaulika. Labda uwe mgambo wa kundi la Hamas
Mlinzi wa geti la IkuluUna maanisha nini unaposema kua lazima uwe na roho ngumu?
Duh balaa so ofisi wamemsamehe.? Kudos maden ni kaz ngumu sana aisee kutukanana ,kupigwa na kulogwa ni kawaida.Kurogwa na kutishiwa maisha juu, Kuna mheshimiwa mmoja mkubwa tuu alikopa mzigo kwenye kampuni yetu hiyo, siku nimempigia simu na sikujua kama ni yeye nikajitambulisha natokea kampuni X kuna deni lako hapa wee alinichimba biti kabisa " unajua mimi ni nani tena mwisho kupiga simu kama unapenda maisha yako"
Ndio wenzangu wakaniambia huyo ni mbunge fulani deni lake lina miaka mingi huwa hapokei hata simu ( za ofisi)
Chai1.Debt collector
2.Sales officer
3.Loan officer
4.Daktari
5.Nurse
6.Dereva
7.Polisi
8.Mgambo
9.Mtendaji wa mtaa
10.Mjumbe wa nyumba 10.
11.Mama lishe
12.Muuza genge
13.Mganga wa jadi
14.Mchungaji
15.chinga
16.Mangi shop
17.
18.
19.
20.