List ya Mastaa Bongo wanaoongoza kwa kupigilia Suti kali, Diamond kinara!

Hizo single button ni za mabitoz na watoto ila sisi watu wazima hatuvai hizo.Wala hukuti mtu mwenye heshima kwa jamii kavaa single button.
 
Msanii anayengoza kwa kutupia Bongo ni Jux na Dimpoz kwa mbali, ila daimond mwili wake na suti hauendani hata kidogo

Hadi huku unaleta u team kiba kazi kweli kweli πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Heading inasema "mastaa wanaoongoza kwa kupiga suti kali" sasa hapa neno "suti kali" halimaanishi kupendeza, nilivyoelewa limetumika kuelezea suti interms of quality & cost.
 
Hadi huku unaleta u team kiba kazi kweli kweli πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Nimemtaja kiba wapi kedrick, huyo ni jux na omy au?? soma vizuri
 
kwa jux umezingua kinoma yani bora ungemuweka hata joh makini mzee wa kuvaa suti na raba kidogo afadhali ila hapo!
 
Sema mimi siyo staa tu,ila nikitupia kaunda suti yangu...aaaah...macho yote kwangu
 
Mimi naomba unipatie dodoso ulilotumia kukusanyia maelezo hadi umetuletea matokeo haya, Vinginevyo ni UTASHI, USHABIKI na UPENDO wako kwa viumbe hawa
 
bila kujali ustar wala nini na mambo mengnee....!! hakuna kma HEMEDY PHD kwa wasanii na mitupio ya suit apa tanzania...iyo list ako ni mbovuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…